Kwanini idadi kubwa ya wanawake wasomi hawaolewi?

Kwanini wanawake wasomi hawaolewi.

Kuna mengi hapa.

1. Labda hawataki kuolewa miongozi mwa ambao hawajaolewa.

2. Waoaji wa kuwaoa hawapo...sababu zinaweza kuwa za mwanamke mwenyewe au muoaji mwenyewe.

3. Labda hata sio wengi umeangalia na wasio wasomi wangapi hawajaolewa??


Mawazo binafsi yenye muhemko.
Wanawake wanapenda kutawaliwa kujiona inferior mbele ya mwanaume wampendao. Mwanamke anajiona mkamilifu pale mmewe anapokuwa yupo juu yake.

Wasomi soko lao la wanaume wa aina hiyo ni finyu saana. Na ni wanawake wachache watakaokubali kuolewa na mwanaume anayemzidi akili, elimu na kipato....kwa wanaume nako vivyo hivyo.

Na wanaume wenzangu mnajuafika hawa wenzetu wakikuzidi kipato..akili na elimu wqnavyokuwa (hili tutalijadili kwenye vikao vya ndani vya chama tena tukiwa wajumbe wa kamati kuu tu wasije sikia).
 
Hakuna kitu. Mi wa kwangu alisema hivyohivyo kabla sijamuoa...kwa ajili ya watoto nikamvumilia baada ya miaka zaidi ya kumi ...akawa anaota mapembe kila kukicha nikaona isiwe tabu ndoa nikaipiga chini sababu mwisho tungegawana majengo ya serikali yaani jela na monchuwari bora tutengane tuwe hai tulee watoto....msomi mwanasheria unategemea nini?
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
No man in his right state of mind will ever make a move to a woman who has already lost her femininity and asking for marriage! hayupo.

Hao wengi wao ni wanaume wenye jinsia ya kike acha waishi wenyewe.

Hata binti yangu nitamwambia kabisa, akiruhusu usomi wake ukamuondolea uanamke wake shauri lake.
I chuckledinsecurity will mentality destroy y'all!! Don't live in fear that they all becoming masculine these days. Wife material( wasomi) they still exist.

I know y'all just fear the dark because, you cannot see the danger japo hamna hatari yoyote!!! Kikubwa wanaume mnapenda watu wa kuwapandia kichwani na kuwaongoza kama mazombi , mtu asiyejua kuhoji chochote that's Y...smh

I know, the simple minded can't comprehend this and you are not.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom