mzee Chibai
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 980
- 243
Hasa wanawake ni wajinga sana mali zao, hela zao wanawapa wachungaji. Stupid
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Daaaahhh...mkuu turushie na mahekalu ya Mzee wa Efatha, Kakobe, Mzee wa Upako, Gwajima nkMbona hawa mitume na manabii wa kileo ni matajiri sana? Wao hawamfuati yesu?
Hili ni hekalu la CREFLO DOLLAR
![]()
Hekalu la JOYCE MEYER
![]()
Hekalu la GETRUDE LWAKATARE
![]()
Hatukatai Ndugu Yangu Sisi Sote Tunasali Na Tunamuamini MUNGU VIZURI TU. Ila Tunajituma Pia Kutafuta MKATE WA KILA SIKU
Hao tusiongelee hapa, tujadili hoja iliyoletwa kwanza.
Daaaahhh...mkuu turushie na mahekalu ya Mzee wa Efatha, Kakobe, Mzee wa Upako, Gwajima nk
Unakaa nyumba ya madirisha ya chuma/mbao au kioo? Kama ni ya kioo jiandae kwa mawe...Waislam wengi washika dini ndo wanaovaa ndala, kanzu zina viraka, baraghashia ina matobo, na wengi wanategemea misosi ya kwenye shughuli. Hakika uislam na umaskini ni kama mkate na blue band
Mkuu naona path ya link uliyonipa inakataa. Unaweza kuirekebisha kidogo....Ya Mwingira hii hapa.......
![]()
Hivi Mlima wa moto na Ufalme wa moto vinafanana?jibu lake jumapili njoo tusali kanisa la ufalme wa moto kwa mama rwakatale alafu uju humu uwape majibu
Unakaa nyumba ya madirisha ya chuma/mbao au kioo? Kama ni ya kioo jiandae kwa mawe...
Mkuu naona path ya link uliyonipa inakataa. Unaweza kuirekebisha kidogo....
Umeona sasa! okoka nawewe upate hela yako mwenyewe, yanini kuomba omba mwishowe utakumbana na manyang'au ya mjini...
Wakuu Habari!
Huwa Na Jiuliza Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Umaskini Na Ulokole, Kwani Nina Ndugu Yangu Kabla Ya Kuokoka Alikuwa Na Kibato Kizuri Tu, Na Gari Na Nyumba Nne. Lakini Baada Ya Kuokoka Amefilisika Kabisa Ameuza Gari Na Nyumba Mbili. Sasa Anashindwa Hata Kuwasomesha Watoto Wake Yaani Amechoka.
Swali La Kujiuliza Kwanini Idadi Kubwa Ya Watu Wanaojiita WALOKOLE Ukiingalia Maisha Yao Ni Duni Lakini Sio Wote. Sasa Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Ulokole Na Umaskini?
Suala la umasikini ni pana sana sio kama unavyoliweka hapa.Haya niambie Watanzania asilimia ngapi masikini na wangapi matajiri!? wewe umechukua sample ya ndugu yako mmoja tu na umeconclude na je ulifatilia kwa nini kawa hivyo!?
Acha zako kwani hujui kama mali zake amemalizia kwa Mchungji Nabii,, mtume... kwa ajili ya kishawishi cha miujiza??? au unatutaka maneno??? kila anavyozidi kufilishika ndo mjungaji anavyozidi kuneemeka.... That is mordern church brother
Hivi Mlima wa moto na Ufalme wa moto vinafanana?
Ume-quote sahihi kweli? hebu rudia kusoma upya tena...Huko sasa siko tunakojadili. Unachokoza Al Shabab, Boko Haram, Al Kaida n.k shauri lako mi sipo.