Kwanini Idadi Kubwa Ya Walokole Ni Maskini?

Status
Not open for further replies.

The Businessman

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
7,397
Reaction score
9,264
Wakuu Habari!
Huwa Na Jiuliza Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Umaskini Na Ulokole, Kwani Nina Ndugu Yangu Kabla Ya Kuokoka Alikuwa Na Kibato Kizuri Tu, Na Gari Na Nyumba Nne. Lakini Baada Ya Kuokoka Amefilisika Kabisa Ameuza Gari Na Nyumba Mbili. Sasa Anashindwa Hata Kuwasomesha Watoto Wake Yaani Amechoka.
Swali La Kujiuliza Kwanini Idadi Kubwa Ya Watu Wanaojiita WALOKOLE Ukiingalia Maisha Yao Ni Duni Lakini Sio Wote. Sasa Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Ulokole Na Umaskini?
 
Jibu wanalo wachungaji wao...

mwenye nacho huongezewa, na aliye na kidogo hunyang'anywa kabisa!
 
walokole wa wapi? Bill Graham alikuwa maskini? Gaither maskini?
 
Wanauza mali zao wamfuate kristo kwani Yesu hakuwa na mali wala mahali pa kuweka kichwa chake.
 
Mlokole ni mtu ameacha mapato haramu;na hivyo ataonekana kwa muda anaishi kimaskini;mwanzo alikuwa tajiri kwa ufisadi nk
 
Wanauza mali zao wamfuate kristo kwani Yesu hakuwa na mali wala mahali pa kuweka kichwa chake.

Mbona hawa mitume na manabii wa kileo ni matajiri sana? Wao hawamfuati yesu?

Hili ni hekalu la CREFLO DOLLAR

tumblr_inline_mxayqa86fh1ss6hjj.jpg

Hekalu la JOYCE MEYER

meyercompound%20(1).jpeg

Hekalu la GETRUDE LWAKATARE

moja1.jpg

eti eh.....lakini Mbona viongozi ni matajiri wa kutisha?
 
Wanauza mali zao wamfuate kristo kwani Yesu hakuwa na mali wala mahali pa kuweka kichwa chake.
Lakini wachungaji wao wanajilimbikizia mali na kuendekeza fahari za duniani tofauti na hekima za Bwana Yesu, sasa tumuamini nani?

Unakutana na mchungaji hata kwenda supermarket anapelekwa kwa Helicopter....... Kweli!
 
Wakuu Habari!
Huwa Na Jiuliza Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Umaskini Na Ulokole, Kwani Nina Ndugu Yangu Kabla Ya Kuokoka Alikuwa Na Kibato Kizuri Tu, Na Gari Na Nyumba Nne. Lakini Baada Ya Kuokoka Amefilisika Kabisa Ameuza Gari Na Nyumba Mbili. Sasa Anashindwa Hata Kuwasomesha Watoto Wake Yaani Amechoka.
Swali La Kujiuliza Kwanini Idadi Kubwa Ya Watu Wanaojiita WALOKOLE Ukiingalia Maisha Yao Ni Duni Lakini Sio Wote. Sasa Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Ulokole Na Umaskini?
Mkuu...
Hata mashuleni huwa hawafanyi vizuri, wanaishia kuwa viongozi tu. Au ndio wanaconcetrate na mambo ya dini na kusahau shule? Wengi wa wanafunzi walokole wanafanya vibaya kwenye mitihani yao.
 
Si kweli ila mungu uwa anaanza upya na mtu baada ya kuokoka nashukuru umesema sio wote masikini,umasikini ni neno kubwa sana na uwezi kuconclude fulani ni maskini kirahisi hivyo,ninacho jua wengi walipata utajiri kwa nguvu za.giza au wizi na ufisadi na mungu kamwe awezi kuchangia utukufu na.binadamu lazima yeye asimame kuwa mungu wa baraka za halali na ndio maana wengi uanzishwa upya kupata utajiri wa kiungu changamoto ni kuwa wengi ukosa uvulimivu wa kusisubiria ahadi za mungu zitimie
 
  • Thanks
Reactions: J C
Wakuu Habari!
Huwa Na Jiuliza Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Umaskini Na Ulokole, Kwani Nina Ndugu Yangu Kabla Ya Kuokoka Alikuwa Na Kibato Kizuri Tu, Na Gari Na Nyumba Nne. Lakini Baada Ya Kuokoka Amefilisika Kabisa Ameuza Gari Na Nyumba Mbili. Sasa Anashindwa Hata Kuwasomesha Watoto Wake Yaani Amechoka.
Swali La Kujiuliza Kwanini Idadi Kubwa Ya Watu Wanaojiita WALOKOLE Ukiingalia Maisha Yao Ni Duni Lakini Sio Wote. Sasa Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Ulokole Na Umaskini?

Kama mtu muda wote anashinda kanisani, anazalisha muda gani. Aidha, hebu angalia kama maisha ya viongozi wao yanafanana na waumini !!!!!!
 
Lakini wachungaji wao wanajilimbikizia mali na kuendekeza fahari za duniani tofauti na hekima za Bwana Yesu, sasa tumuamini nani?

Unakutana na mchungaji hata kwenda supermarket anapelekwa kwa Helicopter....... Kweli!
ukisha okoka unatakiwa kusoma neno la Mungu na kulijua na kulifamyia kazi!!!PERIOD,,,ukishindwa hapo ni umaskini kwa kwenda mbele
 
Wakuu Habari!
Huwa Na Jiuliza Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Umaskini Na Ulokole, Kwani Nina Ndugu Yangu Kabla Ya Kuokoka Alikuwa Na Kibato Kizuri Tu, Na Gari Na Nyumba Nne. Lakini Baada Ya Kuokoka Amefilisika Kabisa Ameuza Gari Na Nyumba Mbili. Sasa Anashindwa Hata Kuwasomesha Watoto Wake Yaani Amechoka.
Swali La Kujiuliza Kwanini Idadi Kubwa Ya Watu Wanaojiita WALOKOLE Ukiingalia Maisha Yao Ni Duni Lakini Sio Wote. Sasa Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Ulokole Na Umaskini?

Mkuu umeuliza swali la muhimu sana,bidii yako katika kusoma neno la Mungu na kulifanyia kazi yaani kuliweka katika matendo ni muhimu sana,kuokoka ni swala la Mungu ndiye anayekufanya uokoke,kuishi maisha safi ni juu yako kwa ktumia Menu yaani bible,kufanikiwa the same unasoma bible na kuifanyia kazi,hao maskini ni kutokujua neno la Mungu
 
Hili swali lako lipo valid dunia nzima au Tanzania na nchi zinazofanana na tanzania pekee?
 
Wakuu Habari!
Huwa Na Jiuliza Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Umaskini Na Ulokole, Kwani Nina Ndugu Yangu Kabla Ya Kuokoka Alikuwa Na Kibato Kizuri Tu, Na Gari Na Nyumba Nne. Lakini Baada Ya Kuokoka Amefilisika Kabisa Ameuza Gari Na Nyumba Mbili. Sasa Anashindwa Hata Kuwasomesha Watoto Wake Yaani Amechoka.
Swali La Kujiuliza Kwanini Idadi Kubwa Ya Watu Wanaojiita WALOKOLE Ukiingalia Maisha Yao Ni Duni Lakini Sio Wote. Sasa Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Ulokole Na Umaskini?

Kwa sababu ukiupata utajiri wa dunia yote utakusaidia nini? Mambo tunayoyaangaikia ambayo wewe unaita "utajiri" ni ubatili mtupu maana baada ya siku zako hapa duniani hutandoka hata na kitasa cha mlango au wiper ya gari au hata tuu ATM card
 
Imeandikwa ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni.
 
Wakuu Habari!
Huwa Na Jiuliza Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Umaskini Na Ulokole, Kwani Nina Ndugu Yangu Kabla Ya Kuokoka Alikuwa Na Kibato Kizuri Tu, Na Gari Na Nyumba Nne. Lakini Baada Ya Kuokoka Amefilisika Kabisa Ameuza Gari Na Nyumba Mbili. Sasa Anashindwa Hata Kuwasomesha Watoto Wake Yaani Amechoka.
Swali La Kujiuliza Kwanini Idadi Kubwa Ya Watu Wanaojiita WALOKOLE Ukiingalia Maisha Yao Ni Duni Lakini Sio Wote. Sasa Kuna Uhusiano Gani Kati Ya Ulokole Na Umaskini?

Mi hayo siyajui maana nikienda kwa rwekatale nakutana na mamilionea tu
 
NENO LA MUNGU linasema
"Utafuteni ufalme wa MUNGU kwanza na mengine mtazidishiwa"

"jiwekeeni hazina huko mbinguni ambapo nondo wala kutu hawaingii kuharibu,,,,,itamfaa mtu kitu gani kuupata ulimwengu wote na kuukosa uzima wa milele"

"mambo yote ni ubatili mtupu,,,kazi yenu ni bure mnaoamka mapema na kukawia kwenda kulala na kula chakula cha tabu, yeye humpa mpenzi wake usingizi mzito,,
BWANA asipoujenga mji waujengao wajenga bure, BWANA asipoulinda mji aulindae akesha bure"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom