Kwanini ID mpya tu ndio zinatafuta mchumba?!

Kwanini ID mpya tu ndio zinatafuta mchumba?!

Kwa new ID. Halafu wengine nahisi wanapima upepo tu humu.

Jiulize mtu anajiunga Leo na siku hiyo hiyo anatafuta mchumba

Ulijuaje mdogo wangu? Hebu nifundishe jinsi ya kutengeneza id nije fasta.
 
Ulijuaje mdogo wangu? Hebu nifundishe jinsi ya kutengeneza id nije fasta.
Dada yangu. Nikufundishe kutengeneza ID mpya tena? Ili ulete bandiko LA kutafuta mchumba humu hahahaha
 
Nalisubiri hilo bandiko. Kama unam target mtu mfuate PM ukiweka hapa ni tumo!
Hivi wewe si ulileta bandiko humu lile la kiunyanyapaa!! Vipi ulipata au bado nafasi iko wazi?
 
Back
Top Bottom