Kwanini huyu dada anapenda kutuchafua wanaume wa hapa mjini kwenye mtandao wake?

Weka picha..!!!
By Mwanaume wa DARESALAMA
 
Aisee, huyo KIM ni typical kabisa mjomba wangu mmoja aliewahi kuwa na michezo hio enzi za miaka ya 90 kipindi mji haujachangamka sana kwa teknolojia mpaka maeneo ya 2009 hapo akaingia zake kijiji kukwepa masoo.
Aliwapiga sana wamama na masista duh ambao wote walionesha kuwa mambo safi hapa mjini! Hizo milion 3,4,5 ilikuwa kama kusukuma ubua hakiyanani na zote ziliteketezwa kwenye bata na mapapaa wa mjini ndio walikuwa rafiki zake!
 
Weka picha tumfahamu na sisi...ila umeshuka mistari sana...nahisi kuna jambo,...hata hivyo nampongeza jamaa ana kipaji...
 
Mkuu ungebadili heading. Mbona mange umemtaja sehemu ndogo sana. Nadhani kichwa cha habari kingemuhusu huyo kim na Mwele. Otherwise labda ulitaka ujumbe umfikie huyo mange na si Mwele
 
View attachment 373959huyu mrembo mbona habari zake huku hazikauki haipiti wiki bila habari zake kuletwa huku kweli huyu binti anawanyoosha na huyu alieleta huu mgaazeti lazima tu atakuwa ni lemutuz yeye ndio bingwa wa kushindana na mabint mitandaoni
Hata mimi nashangaa mkuu Habari hii imewataja wengi watu mashuhuri na viongoz lakini cha ajabu kichwa cha habari juu Kawekwa Mange Kimambi why!! Lemutuz aache ushankupe wake bwana ampumzishe mdada wa watu
 
Hata mimi nashangaa mkuu Habari hii imewataja wengi watu mashuhuri na viongoz lakini cha ajabu kichwa cha habari juu Kawekwa Mange Kimambi why!! Lemutuz aache ushankupe wake bwana ampumzishe mdada wa watu
Ni dhahiri shahiri Huyu mleta mada ana issue binafsi na mange na ndio maana kafanya hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…