Salaam kwenu.
Tunafahamu umuhimu wa kusoma vitabu. Ni namna moja wapo ya kupata maarifa ya kiuchumi, taaluma, siasa, mapenzi ,kijamii nk.
Kwa utafiti mdogo niliofanya katika mazingira niliyopo watu wengi hawapendi kusoma vitabu.
Kwanini watu hawapendi kusoma vitabu? Kwanini hupendi kusoma vitabu?
Nini kinakukwamisha unapotaka kusoma vitabu?
Tiririka
Sent using
Jamii Forums mobile app