Wanafunzi walipaswa kusoma vitabu vya Mo Dewji, Ghalib Said, Bakhresa na Mengi

City Rider

JF-Expert Member
Jul 31, 2022
403
1,210
Hivi unawezaje kusomea kozi za biashara na kuwastudy wakina Robert kiyosaki au Elon musk wakati kuna matajiri waliofanikiwa katika ardhi yetu, wenye mbinu za kuweza kufanikiwa katika dunia ya tatu. Kiukweli namkubali sana KISHIMBA mbunge wa kanda ya ziwa aliyetoa wazo kuwa wanafunzi walipaswa kusoma vitabu vya akina mo dewji ili kujifunza the real meaning of being an entrepreneur.

Vijana wengi waliosoma mambo ya fedha wanapenda sana kutushauri kuhusu mambo ya Mortgage, bonds, hisa nk ilhali aina hizi za investment ni irrelevant kwetu kwa muda huu ambao tunahitaji kufanya Agricultural revolution.

Ninahisi vijana hawa wanafundishwa vitu ambavyo vina exist ulaya kidogo Africa.

Ni kwa nini serikali isiruhusu hawa matajiri wa tanzania na east Africa kutumika ku inspire vijana wetu, kwanini wasitoe vitabu hawa watu vijana wetu wasome na waendane na mazingira halisi ya EA
 
Tunapenda ngonjera za mabeberu zilizojaa nadharia kuliko uhalisia wa huku kwetu.

Tanzania ukimkuta mtu ni tajiri mkubwa basi tambua ana shule ndogo ya kwenye makaratasi au aliongeza shule baada ya kufanikiwa, nje ya hapo wasomi wenye hela ndefu wameambatana na wizi wa mali za umma
 
Mbinu wanazotumia matajiri wa kiafrika kujiimarisha kibiashara,nyingi ni illegal na zilizojaa hadaa. hazipo applicable kwenye economic/financial principles za kwenye vitabu vya vyuo vikuu.

Ndio maana ni agharabu sana kupata tajiri mwafrika anaweka wazi chanzo cha utajiri wake.
 
Ishu ni chanzo HALISI cha mitaji na connection za matajiri wa kitanzania. Wengi pesa zao zinatokana na biashara haramu (meno ya tembo, ubinafsishaji,madawa ya kulevya, magendo), kukwepa kodi, ufisadi na connection na wakubwa.

Umeelewa?
Usisahau masuala ya ndumba na makafara pamoja na wengine kurithi mitaji ya Wazazi au ndugu katika familia na kuiendeleza tu.
 
Mbinu wanazotumia matajiri wa kiafrika kujiimarisha kibiashara,nyingi ni illegal na zilizojaa hadaa mbalimbali. hazipo applicable kwenye economic and financial principles.

Ndio maana ni agharabu sana kupata tajiri mwafrika anaweka wazi chanzo cha utajiri wake.
Akikusimulia alikoanzia unabaki kushangaa tu maana unakuta kazi anayokuambia alianza nayo ndo unayoifanya na upo pale pale.
 
asilimia kubwa ya matajiri wa kitanzania hawako tiyar kuelezea kinagaubaga jinsi walivyofikia hapo mpaka kupata mafanikio. maana njia zao nyingi ni za ujanja ujanja mwingi.
nilifanikiwa kusoma kitabu cha marehemu mengi cha i can, i must i will.
nilichotegemea kukikuta ni tofauti kabisa na nilichokikutwa kwa robert kiyosaki katika reach dad poor dad, cash flow quordrant au before i quite my job au the reachest man in Babylon
vitabu vya matajiri wetu havitupi mbinu ya kusota kufikia malengo hawaelezi waliyoyafanya kufikia uhuru wa kiuchumi bali ni motivation talks na siasa ndo zimejaa katika vitabu vyao

leo hii mtafute mfanya biashara mkubwa umuulize aliyoyafanya kufikia uhuru wa kiuchumi!. i bet. kati ya 10 labda 1 au wawili watakuelezea waliyoyafanya kufika hapo
 
Ishu ni chanzo HALISI cha mitaji na connection za matajiri wa kitanzania. Wengi pesa zao zinatokana na biashara haramu (meno ya tembo, ubinafsishaji,madawa ya kulevya, magendo), kukwepa kodi, ufisadi na connection na wakubwa.

Umeelewa?
Je hii ina maana huwezi pata utajiri wa halali bongo?
 
Tunapenda ngonjera za mabeberu zilizojaa nadharia kuliko uhalisia wa huku kwetu.

Tanzania ukimkuta mtu ni tajiri mkubwa basi tambua ana shule ndogo ya kwenye makaratasi au aliongeza shule baada ya kufanikiwa, nje ya hapo wasomi wenye hela ndefu wameambatana na wizi wa mali za umma
kabisaaaa 100% matajiri halisi wa bongo si wasomi
 
asilimia kubwa ya matajiri wa kitanzania hawako tiyar kuelezea kinagaubaga jinsi walivyofikia hapo mpaka kupata mafanikio. maana njia zao nyingi ni za ujanja ujanja mwingi.
nilifanikiwa kusoma kitabu cha marehemu mengi cha i can, i must i will.
nilichotegemea kukikuta ni tofauti kabisa na nilichokikutwa kwa robert kiyosaki katika reach dad poor dad, cash flow quordrant au before i quite my job au the reachest man in Babylon
vitabu vya matajiri wetu havitupi mbinu ya kusota kufikia malengo hawaelezi waliyoyafanya kufikia uhuru wa kiuchumi bali ni motivation talks na siasa ndo zimejaa katika vitabu vyao

leo hii mtafute mfanya biashara mkubwa umuulize aliyoyafanya kufikia uhuru wa kiuchumi!. i bet. kati ya 10 labda 1 au wawili watakuelezea waliyoyafanya kufika hapo
lakini wanaweza kuwa na ujuzi mzuri wa business kiasi cha kusaidia vijana
 
Hivi unawezaje kusomea kozi za biashara na kuwastudy wakina Robert kiyosaki au Elon musk wakati kuna matajiri waliofanikiwa katika ardhi yetu, wenye mbinu za kuweza kufanikiwa katika dunia ya tatu. Kiukweli namkubali sana KISHIMBA mbunge wa kanda ya ziwa aliyetoa wazo kuwa wanafunzi walipaswa kusoma vitabu vya akina mo dewji ili kujifunza the real meaning of being an entrepreneur.

Vijana wengi waliosoma mambo ya fedha wanapenda sana kutushauri kuhusu mambo ya Mortgage, bonds, hisa nk ilhali aina hizi za investment ni irrelevant kwetu kwa muda huu ambao tunahitaji kufanya Agricultural revolution.

Ninahisi vijana hawa wanafundishwa vitu ambavyo vina exist ulaya kidogo Africa.

Ni kwa nini serikali isiruhusu hawa matajiri wa tanzania na east Africa kutumika ku inspire vijana wetu, kwanini wasitoe vitabu hawa watu vijana wetu wasome na waendane na mazingira halisi ya EA
Hao wakwepa kodi?
 
Ishu ni chanzo HALISI cha mitaji na connection za matajiri wa kitanzania. Wengi pesa zao zinatokana na biashara haramu (meno ya tembo, ubinafsishaji,madawa ya kulevya, magendo), kukwepa kodi, ufisadi na connection na wakubwa.

Umeelewa?
Hapa ndio shida inapoanzia.
Njia walizopitia hadi kutajirika hazina mtiririko wa kueleweka,hata akikuelezea bado hautashika kitu.
Kuna wengine biashara zao unakuta wanadhaminiwa na mafisadi wao wamewekwa kama kivuli,sasa unafikiri yote atakuelezea haya ni ngumu sana.
Kuna wengine walizaliwa wakarithishwa mali na wazee wao wakaziendeleza hata akikufundisha wakati nyumbani kwenu hakuna ulichorithi pia ni kazi bure.
 
Cha mengi ,mo sijui bakhresa vyote ni uongo mtupu havina maana ,Kuna mambo yemefichwa mno
 
Je hii ina maana huwezi pata utajiri wa halali bongo?
Ngumu sana,katika matajiri 100 utapata matajiri 3 tu ambao walitafuta kihalali hata hiyo njia ya halali wakikuelezea bado hutoboi inakuwa kama kismati tu kiliwaangukia.
Maana ukimuuliza atakwambia mimi nilianza kuuza cement nikapewa uwakala kitu ambacho ukijaribu na wewe hupewi huo uwakala utaishia kulangua tu na kupata faida za bukubuku.
 
Back
Top Bottom