FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
- Thread starter
-
- #81
Kutoka mwanzo mi naona mawazo yangu yapo tofauti na wachangiaji wengi hapa...
Mdada alifanya vizuri kutomweleza mapema. Angemueleza mapema kuna uwezekano jamaa angesepa mapema. But 'usiri' wake umemwezesha kuenjoy mapenzi kwa miaka 5. Something is better than nothing jamani, na tusijidanganye kwa miaka 5 walikuwa wanaandaa kuishi pamoja baadae, no walikuwa wanaenjoy life, kama wapenzi... Pia, kwa kumkawiza jamaa kusepa, amempa jamaa nafasi ya kumjua kiundani zaidi. Probably kama M ana positives nyingine, huyu jamaa frustrations zikiisha atakumbuka na chance ya kurudi ni kubwa. Angesepa mapema, asinge-learn kitu chochote positive kwa huyu M na probability ya kurudi ingekuwa zero.
Niseme tu kwamba, huyu dada kuona kama kuwa na mtoto ni anguko, inategemea na vision ya maisha yake. Kwa kweli kwa mdada ambaye anadream kuishi maisha ya ndoa, kupata mtoto na mtu ambaye hakumuoa, ni disaster kwa dream yake...
jasiri haachi asili FirstLady1, ndio hivyo inavyokuwaga kwa wale wenye uelewa mdogo, aliyempa mimba huyo dada, ukute yupo hapa jamvini, na kuoa alioa siku nyingiiiiiii, bila kikwazo kutoka kwa mkewe, ila kwavile ni mwanamke ambaye huwa anabaki na mtoto ni issue! mmmhhh, its sooo sad kwa kweli!cacico mie nimebakia nashangaa kauli yake ya it is over kuanzia leo unisahau jamani ..mmh
Please nisaidie Dada! .ni kauli ya Meggy hiyo Kwangu.
Jamani mie namsaidiaje huyu rafiki ?
M & N Wamekuwa wapenzi for more than 5 years sasa long distance na wakikutana kila mmoja ana hamu na mwenzie.
Dada yuko 29 yrs old
Kabla ya hapo Bidada aliwahi kuzaa mtoto wake ana miaka tisa na alikuwa anajipanga ni lini amwambie mwenzie.
Jamaa amekuja kutoka huko ovasizi na ilikuwa next jmos wafanye engagement tayari kwa mambo mengine.
Meggy jmos ya tarehe 09 akamuomba mchumba wake watoke out kwa maongezi.
Jamaaa kwa Furaha akaitikia wito..wakiwa wametawaliwa na vicheko vya upendo ndipo Meggy kavunja ukimya kwa kumwambia Mchumba wake
Kuwa ana mtoto wa miaka 9 na alingoja tu wapate muda mzuri ili amwambie.
Jamaa alinyanyuka kwa hasira na kusema Kwa nini hukunambia mapema ?
it is over between us..naomba urudi nyumbani na unisahau milele.
Baada ya hapo Kaenda kwa mchumba nyumba imefungwa..
Toka hapo Meggy anapiga simu hapokei ..
anatuma message hazijibiwi ni week ya pili sasa
kabaki analia tu hata ukiongea nae ni machozi yanabubujika tu.
Jamani akina kaka/baba afanye nini huyu dada maana amekuwa mgonjwa ghafla
Kina mama/dada mpeni mawazo huyu binti namuona kila siku anazidi kuchanganyikiwa..
Nawasilisha....!
ndipo hapo ninapozungumzia kuwa upendo wa kweli HAUKUWEPO! Kama upo unasamehe mara moja, kwanza unajiona kuna kitu unakimiss na unajiona hujakamilika bila uwepo wa yule mtu! my dear RR tumepita kwingiiiii, tumevuka mengiiiiiii na kusamehe bila kikomo! ,maana najua ni wangu niliyepangiwa na MUNGU, na HAKUNA KUACHANA KATI YANGU NA YEYE! UPENDO DAIMA ILI UKAMILIKE NI SADAKA, U HAVE TO SACRIFICE! bila hivyo jiulize sana maswali, lazma kuna tatizo!cacico, sina tatizo kusamehe, hili ni jambo la hisia za mhusika. Huwezi kumpangia mtu msamaha!
Please nisaidie Dada! .ni kauli ya Meggy hiyo Kwangu.
Jamani mie namsaidiaje huyu rafiki ?
M & N Wamekuwa wapenzi for more than 5 years sasa long distance na wakikutana kila mmoja ana hamu na mwenzie.
Dada yuko 29 yrs old
Kabla ya hapo Bidada aliwahi kuzaa mtoto wake ana miaka tisa na alikuwa anajipanga ni lini amwambie mwenzie.
Jamaa amekuja kutoka huko ovasizi na ilikuwa next jmos wafanye engagement tayari kwa mambo mengine.
Meggy jmos ya tarehe 09 akamuomba mchumba wake watoke out kwa maongezi.
Jamaaa kwa Furaha akaitikia wito..wakiwa wametawaliwa na vicheko vya upendo ndipo Meggy kavunja ukimya kwa kumwambia Mchumba wake
Kuwa ana mtoto wa miaka 9 na alingoja tu wapate muda mzuri ili amwambie.
Jamaa alinyanyuka kwa hasira na kusema Kwa nini hukunambia mapema ?
it is over between us..naomba urudi nyumbani na unisahau milele.
Baada ya hapo Kaenda kwa mchumba nyumba imefungwa..
Toka hapo Meggy anapiga simu hapokei ..
anatuma message hazijibiwi ni week ya pili sasa
kabaki analia tu hata ukiongea nae ni machozi yanabubujika tu.
Jamani akina kaka/baba afanye nini huyu dada maana amekuwa mgonjwa ghafla
Kina mama/dada mpeni mawazo huyu binti namuona kila siku anazidi kuchanganyikiwa..
Nawasilisha....!
Mimi huwa sielewi unawezaje kaa na mtu kwa wiki nzima hujamtaja mwanao kama unaye.
Hainiingii akilini sababu mwanangu ni part and parcel yangu.
Yaani nikianza kumtamani tu mtu atajua nina watoto 3 kila mmoja na baba yake na hata majina ya baba zao atayajua.
Sio fair hata kidogo kuficha, yaani mtu unalala naye 24hrs hajajua kama una watoto?
Babu Dark City njoo unieleweshe hapa maana mie sioni kwa nini Meggy anashangaa kuachwa na kwa nini aendelee kumsumbua huyo kijana wa watu kwa mimeseji
Kuna mmoja alimwambia mpenzi wake kwamba mtoto ni wa kaka yake aliyefariki kitambo yeye na mkewe kwa ajali, na akamlazimisha mwanae awe anamuita shangazi.....
Baada ya miaka mitano ya ndoa likabumburuka, hakuachika lakiini ndoa yao ilijenga ufa mkubwa na muime mapenzi yamepungua, nadhani wanishi kwa sababu ya watoto wao wawili waliozaa katika ndoa yao....
Ni vyema kusema mapema ili kuepuka suprise.................
Hivi mambo kama hizi si huwa ni za kwanza kuelezana? Hasa katika ile stage ya kwanza kabisa wakati wa kufahamiana majina, kabila na hobbies zenu? Why amesubiri miaka yote hiyo??.......... nway better late than never na ni bora ameeleza kabla ya kuengajiwa
Unajua nini Kongosho,
Huyu dada pamoja na matatizo yaliyomkuta, kama ningekuwa karibu naye ningemlabua vibao kwanza!!!
Babu DC!!
sio dhambi harooo mie kweli kitu cha kwanza ningesema hapa nilipo niko very proud mupenzi tayari nina mtoto ,,sijui mchumba Angekata konaDuuuh aisee.....huyo kiboko.....mwanao wa kumzaa umkane na umlazimishe akuite shangazi kisa mwanaume????.....aisee yaani kama mimi huyo ni mamangu sitamsamehe kamwe......hivi kwanis kuwa na mtoto ni dhambi jamani???
sio dhambi harooo mie kweli kitu cha kwanza ningesema hapa nilipo niko very proud mupenzi tayari nina mtoto ,,sijui mchumba Angekata kona