Kwanini hotuba za Rais Kikwete zinakosa mvuto?

Kwanini hotuba za Rais Kikwete zinakosa mvuto?

msoma hotuba mwenyewe hapendi kuzisikiliza hotuba zake .je wengine watazisikiliza
 
Ni kweli hatuba za JK hazina mvuto. Sababu kubwa ni kwamba wananchi wengi sasa tuna uelewa wakuchambua, kujua ukweli unaotoka rohoni na usanii. Pia sasa matarajio ya watanzania ni makubwa huku wakiwa maskini sana na wakati huo wanaona na kusikia mabilioni yakiibwa huku serikali yao ikitembeza bakuri ughaibuni.
 
Kwa kuwa amezeeka na sura yake imekosa mvuto uliompatia kura!
 
Rais alikuwa anawatakia watanzania heri ya mwaka mpya kupitia hotuba ile na si vinginevyo. Wewe ulitaka jipya gani?

Acha kiherehere,kama kwako ana jipya, mimi kwangu hana jipya
 
Habari zenu wanaJF,

Mara nyingi nimekuwa nikipitwa na hotuba za kila mwisho wa mwezi za rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania MHE. Jakaya Mrisho Kikwete tofauti na kipindi cha Mkapa ambapo watu walikuwa wanawahi majumbani kusikiliza hotuba zake.

Usiku huu nimebahatika kuisikiliza hotuba ya rais Kikwete ya kufunga mwaka kupitia "starTV"....

Nilishangaa ghafla nashikwa na usingizi na kulazimika kubadili "channel".

Je, ni kwa sababu umaarufu umeshuka au ni huku kusoma hotuba kuliko pitiliza?
ingekuwa itifaki inaruhusu, same day same time na chama kikuu cha upinzani nacho kinalihutubia taifa kupitia TV, tena DR.Slaa ndiyo awe msemaji basi siku hiyo ungejua upande mwingine ungekosa watanzamaji kabisaa.
 
Habari zenu wanaJF,

Mara nyingi nimekuwa nikipitwa na hotuba za kila mwisho wa mwezi za rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania MHE. Jakaya Mrisho Kikwete tofauti na kipindi cha Mkapa ambapo watu walikuwa wanawahi majumbani kusikiliza hotuba zake.

Usiku huu nimebahatika kuisikiliza hotuba ya rais Kikwete ya kufunga mwaka kupitia "starTV"....

Nilishangaa ghafla nashikwa na usingizi na kulazimika kubadili "channel".

Je, ni kwa sababu umaarufu umeshuka au ni huku kusoma hotuba kuliko pitiliza?

nadhani pia ww ni tatizo. you are not a good listener
 
Inasemwa kuwa - Watanzania wengi tuna tabia ya kutopenda kusoma, na ukitaka kumficha Mtz kitu weka kwenye MAANDISHI. je, kama ni hivyo utapendaje kusikiliza? Angalia wananchi wanavyopuuzia matangazo ya barabarani, magezetini, na hata babari redioni na hata kwenye TV. Unachiosema kina reflect hali halisi uliyonayo na si "MVUTO" wa hotuba.
 
Anacheka cheka tu bila sababu
 
Habari zenu wanaJF,

Mara nyingi nimekuwa nikipitwa na hotuba za kila mwisho wa mwezi za rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania MHE. Jakaya Mrisho Kikwete tofauti na kipindi cha Mkapa ambapo watu walikuwa wanawahi majumbani kusikiliza hotuba zake.

Usiku huu nimebahatika kuisikiliza hotuba ya rais Kikwete ya kufunga mwaka kupitia "starTV"....

Nilishangaa ghafla nashikwa na usingizi na kulazimika kubadili "channel".

Je, ni kwa sababu umaarufu umeshuka au ni huku kusoma hotuba kuliko pitiliza?

Nafikiri tatizo kubwa ni hotuba zinazoelezea juu ya matatizo (describe)tuliyo nayo badala ya kutoa ama kuonyesha effective answer/solution/way forward kwa matatizo ambayo tayari tunayajua. Tatizo haonyeshi njia muafaka na ni hotuba zisizo na maamuzi magumu! Si hotuba zenye kuonyesha vision!
 
nafikiri tatizo kubwa ni hotuba zinazoelezea juu ya matatizo (describe)tuliyo nayo badala ya kutoa ama kuonyesha effective answer/solution/way forward kwa matatizo ambayo tayari tunayajua. Tatizo haonyeshi njia muafaka na ni hotuba zisizo na maamuzi magumu! Si hotuba zenye kuonyesha vision!
wewe huwa unamsikiliza anapotoa hotuba?
 
Mipasho imemzidi bwana ,nani anataka hotuba za mipasho
 
Ndo siifatilii kbs,mara ya mwisho sikumbuki ilikua lini kwa sababu imejaa mipasho,anaandaliwa hotuba na TOT?
 
Awamu ya kwanza (2005) alishinda kwa sababu ya uzuri wa sura yake, awamu ya pili (2010) alichakachua! Kwa hiyo mnategemea nini kipya kutoka kwake?
 
Back
Top Bottom