Chantaburi
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 749
- 194
mwanamke akimchukia mtu hupenda hata bwana wake naye amchukie huyo mtu,acha kuleta wivu wakike.
Kikwete amevutia sana watz kusikiliza speeech za kila mwezi na hapa JF ni ushahidi tosha.
Kipindi cha mkapa watu hawakupenda kumsikiliza walishamuona miyayusho, kwa kuwaletea UKAPA.
Alikuwa akitoa hotuba zinazochosha kusikiliza hata kusoma.Tuondoe chuki za kike hata kama humpendi lakini kuwa mkweli
hamnazo, mbulula unatawajua tu badala ya kujibu hoja anaupaka lotion uso wa bi kizee.