Habari! Walimwengu.
Kama kusoma nimesoma lakini maisha yamekuwa tofauti na mategemeo yangu! Kiukweli, kazi imekua ngumu kupata, sina hela sina connections yoyote!. Yani nadharaulika! Mpaka nimechoka, niliomaliza nao std 7, form 4&6 ndo nawanyenyekea kuwaomba msaada wa pesa, connections mpaka kazi wananiahidi then wananpotezea!
Sitaki kumkufuru mungu au kuamini kuwa nina mkosi au familia yetu sio ya kufanikiwa! Lakin hata kaz yoyote ya kupata cha kujikimu tu! imeshindikana kuomba nimeomba mpaka kwa sauti ya huruma lkn bado! Mim ndio wakwanza na pekee kufika chuo kwenye ukoo wetu lakini sioneshi ahueni ili ndg wengine waige kwangu! Bali nimekuategemezi kwao kwasababu wao washauzoea mtaa!.
Nimechoka! Nimechoka! Nimechoka!, nitajiajirije wakati hata buku ya vocha na usafiri shida, nitalimaje wakati ndugu wote wakulima na bado hatuna kitu. Imeniuma sana mpaka nkaamua kuleta kilio changu kwenu ni pale; kwanza cv yangu haina chochote zaidi ya wapi nilisoma kwasababu sijawah fanya kazi kokote ni shule tu!,basi jana usiku
Nilipomwambia mdogo wangu mmoja shida zangu anafanya kazi kweny kampuni moja hivi namuita mdogowangu kwasababu nlimuacha shule(o'level) na anaelimu ya form four tu! akaniambia "eti andaa cv yako vizuri' form 4 anamwambia mwenye degree"afu akaingia mitini.dunia haiko fair kabsaa!!. Namuomba mungu awazidishie muweze kunisaidia amina! Kazi njema!