Kwanini hivi jamani?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,784
Kwenye foleni muda wa kwenda ofisini ukiona mwanamke yuko na mwanaume
halafu wana nyuso za furaha, wanaongea kwa kucheka na kwa upendo, ujue
hao ni ma boy friend na ma girl friend, au mtu na nyumba yake ndogo au
ni wachumba.
Lakini ukiona mtu na mwenzake wamenuna, sura zimekunjamana utadhani
wamepita karibu na choo cha soko ujue hao n i mtu na mkewe.
Je kwanini hali iko hivyo?
 
wamechokana
usiku pamoja
kweda job pamoja
kurudi hm pamoja
unakinai kabsaaaaaaaaaaa
 
bujibuji hizo tarakwimu zako nnawasi wasi nazo....................hivi kweli utajua kila anaepita na kucheka ni mchumba kweli?!

nakataa hii dhana ya kuwa watu wakioana wanaondokewa na furaha
 
ni stress za maisha tu, si kweli kwamba baada ya ndoa furaha inapotea. lakini si uongo pia kwamba kwenye ndoa kuna furaha tu, labda for ndoa mpya
 
Mfano hai ni kwako Bujibuji..
Kila mtu anakuwa anawaza ya kwake kichwani
 
Kwenye foleni muda wa kwenda ofisini ukiona mwanamke yuko na mwanaume
halafu wana nyuso za furaha, wanaongea kwa kucheka na kwa upendo, ujue
hao ni ma boy friend na ma girl friend, au mtu na nyumba yake ndogo au
ni wachumba.
Lakini ukiona mtu na mwenzake wamenuna, sura zimekunjamana utadhani
wamepita karibu na choo cha soko ujue hao n i mtu na mkewe.
Je kwanini hali iko hivyo?

Hii myth is so over. Jaribu nyingine.
 
Wanakuwa wanaliana timing, yaani mwanamke anawaza "mume akifa ntarithi magari, nyumba, mashamba na vitega uchumi vyote ili nile raha na serengeti boy wangu" na mwanaume anakuwa anawaza "huyu mwanamke akifa namuhamishia yule sekretari wangu nyumbani"! Yaani ili mradi tafrani!
 
Siyo kweli bujibuji. Hujawahi kuniona nikiwa na mke wangu weweeee!! yaaani ni furaha kwenda mbele. Ukiona tumenuna basi ujue foleni inatukera. hahahaha
 
MZEIYA HAPO UMEKOSEA...mie huwa nacheka na kufurahi nikiwa na wife kuliko navyokuwa na kazi ya nje...maana nikiwa na kazi ya nje najua tuu soon napigwa invoice ya ajabu kwa hiyo sicheki na kima mzee...si unajua ukimchekea ndio anapata loophole ya kukulilia njaa..

ila mamakubwa ahaaa..full kujiachia na utani kibao ili alegee mkifika petrol station anafront the bill kitu cha kuchakachuliwa full tank inamtoka kama 75 mzee...
 
The Following User Says Thank You to bht For This Useful Post:

Chrispin (Today)​

:closed_2::closed_2::closed_2:

The Following User Says Thank You to bht For This Useful Post:

Chrispin (Today)​
:closed_2::closed_2::closed_2:
Maumivu ya kichwa huanza taaaaaratibu!
Ya nini Malumano?? (Plain wife ameanza eeh??)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom