Waliowahi kuprivate? Unajua wapo wangapi?Wamezidi tabia. Mhenga tukiwapata wanaume wa hivi Mara moja moja mbona wataacha umbea tuu.
Waliowahi kum private massage wajiandaa kuja kuvuliwa nguo hadharani .
Midume minafiki hii ndiyo dawa yao lazima uwachane direct.
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1289404/upi niende ule wa kifuani dkk 30...
sent from motorola bapa and nokia jeneza
huwezi juaa
sent from motorola bapa and nokia jeneza
nakuambia mpenzi wangu mimi ndo zangu!!!
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Huo mkos unipitie mbali tuNdugu usiwe mnafiki tuu.
Yenywe labda kuna
kabur halijafukuliwa
Mahali ngoja tusubr
Yanafukuliwa moja moja
[Color= yellow]Triple A[/color]
Aikutag na mimi nitag niunganishe matukio vizuriNitag huko sasa nikajioneee jamani dark angel. Hebu pulisss memda kanitag
Siku nyingi kweli my dear, ukisikia naanzisha uzi baadaye wa talaka usishangae naona wanaume tumebadilishana nao jinsia siku hizi.my angelita kwani honeymoon tayari usharudii...?!!!
mpe mwanangu haki yake tafadhali..ombi lako litafanyiwa kazii
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Hiii n ndoto ya mchana leoheeee....
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Thats jf ngabu, kila mtu msafi.Hapa tatizo kila mtu ataziponda hizo tabia na kuweka taswira kuwa yeye hanazo ila wengine ndo wanazo.
It's life!
leo....!!!Waliowahi kuprivate? Unajua wapo wangapi?
Watu sampuli yenu ndiyo mtaongea juu yangu haya maana tunaqoutiana Humu tu hamnijui japo 20%.
Na wanakusoma hapa wanakushangaa. Endeleeni kujimwaya mwaya na shoga ako.....
Mimi sitakuchamba hahahaNimevaa boxer nakunywa bia yangu...
Msije namm mkanisangaraisha namna hii siku moja....rubii wangu anachekea chooni tu nw
Ulifungwa kumbe. Duh!!! Lakini nyie wahenga wabaya. Hata kunitag jamani.mhenga huyu mimi simuwezi ujue...uzi ule umefungwa
sent from motorola bapa and nokia jeneza
Mhenga mwenzetu kambananisha mtu kwenye konaHaswaaaaa!!! Kama skar ndo
Imekolea kwenye chai
Mzee mwenzang
Nokia
[Color= yellow]Triple A[/color]
Nilikua kwenye uzi mmoja huku mmu mwanaume anatoa siri za mwanamke wa jf yaan umewafunda yameingia apa yametokea kule