Kwanini hivi jamani...

Nitag huko sasa nikajioneee jamani dark angel. Hebu pulisss memda kanitag
 
Wamezidi tabia. Mhenga tukiwapata wanaume wa hivi Mara moja moja mbona wataacha umbea tuu.
Waliowahi kum private massage wajiandaa kuja kuvuliwa nguo hadharani .
Midume minafiki hii ndiyo dawa yao lazima uwachane direct.
my@Bonny where are you...?!!!

sent from motorola bapa and nokia jeneza
 

Unajikuta mchambuzi mzuri poyeeeeeeee. Huu ni ubuyu anakula kila mtu ndiyo maana uliweka Uzi public.
Nilifuatilia vizuri ile skendo usinione wa kuja.
Baada ya wewe kusema cute alikufuata pm watu pale ndiyo wakaanza kuuliza ahaaa kumbe cute dem wa mshikaji.
Watu usiojuana nao hata pm? Ulitaka kila unayegombana naye aje pm ujuane nae kwanza?
Jipaaaangeee Leo ni ubuyu tuu mwanaume kashikwa umbea
 
Nilikua kwenye uzi mmoja huku mmu mwanaume anatoa siri za mwanamke wa jf yaan umewafunda yameingia apa yametokea kule
upi niende ule wa kifuani dkk 30...


sent from motorola bapa and nokia jeneza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…