Kaka mimi sio mchumi lakini ni kweli fedha ya Kenya kwa miaka zaidi ya 15 imeandelea kucheza kati ya 1Kshs = Tshs 18 - 22. Lakini hiyo haimaanishi uchumi wetu sio mzuri, ila kinachoangaliwa ni thamani ya hiyo fedha inaweza kufanya nini. Kama Mkate mmoja unaweza kununuliwa kwa Tshs. 1,000 ya Tanzania, Je ukienda ukachenji hiyo Tshs. 1,000 na kupata fedha ya Kenya, ambayo ni almost Ksh.47.6 JE UNAWEZA KUPATA MKATE WA SIZE KAMA ULIONUNUA TANZANIA KWA TSHS. 1,000?.Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu,hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu tatizo ni Nini ...
Nchi inaongozwa na mtu elimu yake inatiliwa shaka, Ina utata, hata maamuzi yake ni ya utata, hayafuati sheria, katiba, kanuni na miongozo ya utumishi, maamuzi yake yanaangalia nani? Na itegemea ameamkaje? Siku hiyo unategemea nini? Uchumi wa kati wa kusadikika .Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu,hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu tatizo ni Nini?...
Vipi kuhusu uchumi wa Zimbabwe na exchange rate yao??AsanteNchi inaongozwa na mtu elimu yake inatilwa shaka , Ina utata , hata maamuzi yake ni ya utata ,hayafuati sheria , katiba , kanuni na miongozo ya utumishi , maamuzi yake yanaangalia nani ? Na itegemea ameamkaje ?siku hiyo unategemea nini ? Uchumi wa kati wa kusadikika .
... kilichowafanya muwafukuze wazungu ni kipi?kenya wazungu bado wapo hawakuwafukuza kama sisi .viwanda vingi ni vya wazungu wana export sana kwa wazungu wenzao ulaya mashemeji nk
Hera ya kenya ina thamani kubwa lakini hera ya Tanzania ina nguvu zaidi ya manunuzi
mfano ukiwa na Elfu moja Tz unanunua vitu vingi kuliko ukiwa kenya
hivyo basi sisi tupo vizuri zaidi kuliko kenya
Kama bongo zozo sio, mh balazoKenya pia ni shamba la bibi la wazungu....
Hatufanyi vizuri katika biashara ya kimataifa. Tumekalia porojo na kujisifu tu. Soko la fedha za kigeni limeporomoka. Supply ya fedha za kigeni imesinyaa kuliko mahitaji.Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini?...
Pata muda soma sheria zetu zinazogusa vyanzo vya uchumi. Soma sera zetu vizuri. Ukimaliza njoo uulize swali sasa.Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini?...
Matusi kwa mkulima anayelima kwa bidii halafu vyakula vinamuozea....Average ya 1:20 imekaa miaka mingi.... Hii inatokana na mvutano wa nguvu ya soko...endeleeni kufanya kazi kwa bidii shillingi yenu ihitajike zaidi