Kwanini Hayati Rais Magufuli alishindwa Kudhibiti 'SIRI' za Serikalini 'Kuvuja' ila kwa Rais Samia ameweza kwa muda mfupi tu huu?

Hapa wala tusidanganyane kuna 'Mtu' hivi sasa kila akija na Taarifa na Kujiamini nayo kabisa ama inakuwa ya Uwongo au hata isitokee kabisa na kabaki tu 'Kupuyanga' na Umaarufu wake taratibu kuanza Kushuka.

Hata hivyo GENTAMYCINE hapa nina Maswali mengi sana ya kwanini kwa Uongozi wake Hayati Rais Magufuli kulikuwa na uvujaji mkubwa wa SIRI za Serikali ( ambazo 85% ) zilikuwa za Kweli lakini ndani ya muda mfupi tu wa Uongozi wa Rais Samia SIRI nyingi za Serikali zimedhibitiwa na wala hazivuji tena kitu ambacho nakipongeza sana.

Taratibu sasa naanza kuielewa ile Kauli ya Rais Samia kuwa Watu wa Mitandaoni hasa Wazushi au Wapotoshaji ( siyo GENTAMYCINE ) siku zao zinahesabika na muda wowote ule watakamatwa ( mtakamatwa )

Pia GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa kuna Uwezekano mkubwa sana Hayati alikuwa 'amewakumbatia' Maadui zake huku Yeye akidhani ni Wana ( Marafiki ) zake ambao huenda ndiyo hao hao ndiyo walikuwa 'Wakivujisha' Taarifa zake nyingi ambazo zingine ni za Maisha yake binafsi kabisa.

Vile vile GENTAMYCINE nimeenda mbali zaidi kuwa huenda hata 'System' ya nchi hii iliyokuwa na dhamana Kubwa Kwake nayo ilikuwa imeshagawanyika na kuwepo kwa 'Mpasuko' mkubwa hali iliyopelekea Taarifa 'Nyeti' za kuanzia Ikulu hadi Serikalini kwa Watendaji na Wateule wake 'Kuvuja' kwa wingi mpaka Kwetu Sisi Watu wa kawaida ( Mangumbaru )

Kwa Kitendo hiki cha muda wake huu mfupi tu Uongozini kwa Rais Samia SIRI nyingi za Serikalini 'Kutokuvuja' kama ilivyokuwa kwa Hayati Rais Magufuli GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa waliotulia sasa 'Kutozivujisha' wamemkubali, wanamheshimu na wanampenda vilivyo Rais Samia na huenda hata Yeye Rais Samia anawakubali.

Mwisho kabisa GENTAMYCINE naanza kuielewa vyema ila Kauli ( Msemo ) wa Kihenga usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO na kwamba ANAYEKUMALIZA ANAKUJUA VYEMA kabisa.

Baada ya Kutathmini kwa mbali sana Kuna Kitu 'Kimenishtua' na GENTAMYCINE najua kuwa Kazi ya Kuzitwaa Roho za Sisi waja wake ni yake kwa Uratibu mzuri wa Israeli, ila kwa Mtazamo wangu binafsi ( na mtanisamehe kwa wale nitakaowakwaza ) naona Kuondoka ghafla vile ( Kufariki ) kwa Hayati Rais Magufuli 'Kuliratibiwa' na Kundi fulani na kwa 'Makubaliano' fulani pia.

Sina tu uwezo ila kama ningekuwa nao ( kwa nia njema tu ) ningeomba Kuundwe Kamati 'Maalum' ya Kuchunguza Kifo chake na tusiishie tu katika 'Kuaminishwa' kuwa ni tatizo lake la Moyo alilokuwa nalo muda mrefu ndiyo limeuondoa Uhai wake.

Kuna Watu ( Wazee ) nawajua wana Matatizo ya Moyo tena Makubwa tu kuliko la Hayati lakini hadi hivi leo 'tunadunda' nao Mitaani na hata katika Nyumba za Kulala Wageni tunapishana nao 24/7 kama Dalalada za Mbagala - Stesheni wakiwa na 'Totooz' za maana.
Siri ni ndogo Sana,yeye hakutaka mawazo mbadala,na vyombo cya habari vilizibwa pumzi ili wanyonge wapatikane kwa wingi,ila mwenzake hataki hayo anaamini katika uhuru na haki za msingi ikiwa no pamoja na ile ya kupata habari.wakati huo huenda watu walifanya magendo ya habari kwa njia waliyoona inafaa.
 
Jiwe hakuwa na Siri hata yeye mropokaji mzuri.Utasikia anasema "Huyu ni usarama wa taifa sasa Kama mlikuwa hamjui "
Wale ambao wanalindwa kisheria wasitambuliwe ni agents tu. Lakini wale bosses ruksa kutambuliwa kwa majina.
 
Ha ha ha kitu jamaa ananifraishaga jambo lakuandika paragraph mbili anaandika kitabu.

Kipindi Niko shule kuna watu walikuwa wanaandika booklet mbili. Mimi ata nusu sifiki lakini matokea mpka unaona huruma.
Hamnipendi ila Kutwa mnanisoma tu JF.
 
Hapa wala tusidanganyane kuna 'Mtu' hivi sasa kila akija na Taarifa na Kujiamini nayo kabisa ama inakuwa ya Uwongo au hata isitokee kabisa na kabaki tu 'Kupuyanga' na Umaarufu wake taratibu kuanza Kushuka.

Hata hivyo GENTAMYCINE hapa nina Maswali mengi sana ya kwanini kwa Uongozi wake Hayati Rais Magufuli kulikuwa na uvujaji mkubwa wa SIRI za Serikali ( ambazo 85% ) zilikuwa za Kweli lakini ndani ya muda mfupi tu wa Uongozi wa Rais Samia SIRI nyingi za Serikali zimedhibitiwa na wala hazivuji tena kitu ambacho nakipongeza sana.

Taratibu sasa naanza kuielewa ile Kauli ya Rais Samia kuwa Watu wa Mitandaoni hasa Wazushi au Wapotoshaji ( siyo GENTAMYCINE ) siku zao zinahesabika na muda wowote ule watakamatwa ( mtakamatwa )

Pia GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa kuna Uwezekano mkubwa sana Hayati alikuwa 'amewakumbatia' Maadui zake huku Yeye akidhani ni Wana ( Marafiki ) zake ambao huenda ndiyo hao hao ndiyo walikuwa 'Wakivujisha' Taarifa zake nyingi ambazo zingine ni za Maisha yake binafsi kabisa.

Vile vile GENTAMYCINE nimeenda mbali zaidi kuwa huenda hata 'System' ya nchi hii iliyokuwa na dhamana Kubwa Kwake nayo ilikuwa imeshagawanyika na kuwepo kwa 'Mpasuko' mkubwa hali iliyopelekea Taarifa 'Nyeti' za kuanzia Ikulu hadi Serikalini kwa Watendaji na Wateule wake 'Kuvuja' kwa wingi mpaka Kwetu Sisi Watu wa kawaida ( Mangumbaru )

Kwa Kitendo hiki cha muda wake huu mfupi tu Uongozini kwa Rais Samia SIRI nyingi za Serikalini 'Kutokuvuja' kama ilivyokuwa kwa Hayati Rais Magufuli GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa waliotulia sasa 'Kutozivujisha' wamemkubali, wanamheshimu na wanampenda vilivyo Rais Samia na huenda hata Yeye Rais Samia anawakubali.

Mwisho kabisa GENTAMYCINE naanza kuielewa vyema ila Kauli ( Msemo ) wa Kihenga usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO na kwamba ANAYEKUMALIZA ANAKUJUA VYEMA kabisa.

Baada ya Kutathmini kwa mbali sana Kuna Kitu 'Kimenishtua' na GENTAMYCINE najua kuwa Kazi ya Kuzitwaa Roho za Sisi waja wake ni yake kwa Uratibu mzuri wa Israeli, ila kwa Mtazamo wangu binafsi ( na mtanisamehe kwa wale nitakaowakwaza ) naona Kuondoka ghafla vile ( Kufariki ) kwa Hayati Rais Magufuli 'Kuliratibiwa' na Kundi fulani na kwa 'Makubaliano' fulani pia.

Sina tu uwezo ila kama ningekuwa nao ( kwa nia njema tu ) ningeomba Kuundwe Kamati 'Maalum' ya Kuchunguza Kifo chake na tusiishie tu katika 'Kuaminishwa' kuwa ni tatizo lake la Moyo alilokuwa nalo muda mrefu ndiyo limeuondoa Uhai wake.

Kuna Watu ( Wazee ) nawajua wana Matatizo ya Moyo tena Makubwa tu kuliko la Hayati lakini hadi hivi leo 'tunadunda' nao Mitaani na hata katika Nyumba za Kulala Wageni tunapishana nao 24/7 kama Dalalada za Mbagala - Stesheni wakiwa na 'Totooz' za maana.
Kikulacho kinguoni mwako.
Nazani hii inatosha kuelewa kwa nini siri zilivuja.
 
Ye mwenyewe alikuwa hana kifua kila kinachofanyika kwa siri anasema hadharani kwa mfano kuingilia mawasiliano ya watu alikuwa anatangaza hadharani na kupoteza maana ya kufanya hivyo.
 
Suala la mtu kufa haijalishi anakufa haraka au baadae,kufa ni wakati na wakati ukifika mola hukutwaa.

Wanaosema amekufa haraka siwaelewi. Aliyechelewa kufa ni nani? Hamjaona watoto na vijana wakifa? Kwanini mtu mnaambiwa alikua na ugonjwa kwa miaka kumi kisha mnasema ameuawa.

Je inakuaje mwingine akisema Mungu amemchelewesha kutokana na ugonjwa aliokua nao? Au huo ugonjwa mtasema hakua nao watu wanazusha?

Pia tumshukuru Mungu kwa maisha ya hayati kwani alikua akiumwa na amefanya kazi ambayo amekua anakiri kwamba ni ngumu. Mimi nadhani alaumiwe hayati mwenyewe na daktari wake kwakutojali ugonjwa huo hatari na kujibebesha majukumu mazito. Ona alivyopiga kampeni nchi nzima,sio kazi ndogo

Yeye ana walinzi mabunduki muda wote, ana daktatri na kila chakula kinapimwa kisha mnadai amepewa sijui vitu gani je walinzi walikua wapi? Daktari alikua wapi?

Kama amewahiwa mapema anatofauti gani na wanaokula holela kwa mama ntilie? Kwanini watu wake wakaribu hamuwataji mnataja watu ambao hawashindi nae,hawali na kunywa nae
Nani anayeweza kuthibitisha akaisaidie serikali?

Nimaoni yangu kwamba tusikosoe mapenzi ya Mungu kwani kufa kupotu,mbali na huo urais na yeye pia ni mwanaadamu wa kawaida,nimkosaji,nimdhaifu,anaumwa na hatimaye ametwaliwa.

Hayo nimawazo yangu nisionekane muasi
 
Nina hamu uanzishe mada ya tetesi ya Kifo cha Hayati na kundi lililoratibu kwa makubiano maalumu. Pia wamekubaliana na nani bila kutaja majina ya wahusika, taja wajihi tu. Naisubiri Sana mada hii, hata bungeni Mama kagusia hili Jambo.
Katika hili tuyaamini mapenzi ya Mungu mkuu,kifo kipotu muda ukifika unaondoka
 
Hii ni point muhimu sana watu hawaielewi Tanzania ni nchi kubwa sana style ya uongozi ya Rwanda hauwezi kuitumia Tanzania ukafanikiwa
PAKA na M.saba ndio waliompotosha mzee wetu alipopotoka nao wakamtosa hata kumzika awakuja
 
Ukizuia uhuru wa habari ndivyo uvuja zaidi na watu utamani kusikia zaidi hata kama ni umbea.Thus kigogo,mange nk walitrend sana.
Hakuna mwanadamu yeyeto duniani aliyewahi kuwasilence watu akafanikiwa,ukiwazuia kusema ndani watasemea nje ambayo ni mbaya sana.Waruhusu watu waseme zaidi wakimaliza kusema watachoka,
 
Nawaza kwa akili yakinifu ndani ya nchi yangu ya Taured.

Nabii yule, nabii John ndani ya nchi yangu ya Taured hakika alikuwa imaara sana, tatizo watu wake hawakuwahi kumuelewa.

Inakuwaje siku zile taarifa za ikulu yake mpaka bungeni zilkuwa zina vuja?

Tangu John afe taarifa nyeti hazikuwahi kuvuja, na tangu john afe kigogo hakuwahi kupata taarifa nyeti za serikali,, inanipa mwanga kuwa msaidizi wake namba moja ndiye haswaaa alikuwa kigogo.

Nahisi uliuwawa kaka, ilatu mungu akupe mapumziko mema.

Tupo gizani.
tapatalk_1611889264032.jpeg
 
Hapa wala tusidanganyane kuna 'Mtu' hivi sasa kila akija na Taarifa na Kujiamini nayo kabisa ama inakuwa ya Uwongo au hata isitokee kabisa na kabaki tu 'Kupuyanga' na Umaarufu wake taratibu kuanza Kushuka.

Hata hivyo GENTAMYCINE hapa nina Maswali mengi sana ya kwanini kwa Uongozi wake Hayati Rais Magufuli kulikuwa na uvujaji mkubwa wa SIRI za Serikali ( ambazo 85% ) zilikuwa za Kweli lakini ndani ya muda mfupi tu wa Uongozi wa Rais Samia SIRI nyingi za Serikali zimedhibitiwa na wala hazivuji tena kitu ambacho nakipongeza sana.

Taratibu sasa naanza kuielewa ile Kauli ya Rais Samia kuwa Watu wa Mitandaoni hasa Wazushi au Wapotoshaji ( siyo GENTAMYCINE ) siku zao zinahesabika na muda wowote ule watakamatwa ( mtakamatwa )

Pia GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa kuna Uwezekano mkubwa sana Hayati alikuwa 'amewakumbatia' Maadui zake huku Yeye akidhani ni Wana ( Marafiki ) zake ambao huenda ndiyo hao hao ndiyo walikuwa 'Wakivujisha' Taarifa zake nyingi ambazo zingine ni za Maisha yake binafsi kabisa.

Vile vile GENTAMYCINE nimeenda mbali zaidi kuwa huenda hata 'System' ya nchi hii iliyokuwa na dhamana Kubwa Kwake nayo ilikuwa imeshagawanyika na kuwepo kwa 'Mpasuko' mkubwa hali iliyopelekea Taarifa 'Nyeti' za kuanzia Ikulu hadi Serikalini kwa Watendaji na Wateule wake 'Kuvuja' kwa wingi mpaka Kwetu Sisi Watu wa kawaida ( Mangumbaru )

Kwa Kitendo hiki cha muda wake huu mfupi tu Uongozini kwa Rais Samia SIRI nyingi za Serikalini 'Kutokuvuja' kama ilivyokuwa kwa Hayati Rais Magufuli GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa waliotulia sasa 'Kutozivujisha' wamemkubali, wanamheshimu na wanampenda vilivyo Rais Samia na huenda hata Yeye Rais Samia anawakubali.

Mwisho kabisa GENTAMYCINE naanza kuielewa vyema ila Kauli ( Msemo ) wa Kihenga usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO na kwamba ANAYEKUMALIZA ANAKUJUA VYEMA kabisa.

Baada ya Kutathmini kwa mbali sana Kuna Kitu 'Kimenishtua' na GENTAMYCINE najua kuwa Kazi ya Kuzitwaa Roho za Sisi waja wake ni yake kwa Uratibu mzuri wa Israeli, ila kwa Mtazamo wangu binafsi ( na mtanisamehe kwa wale nitakaowakwaza ) naona Kuondoka ghafla vile ( Kufariki ) kwa Hayati Rais Magufuli 'Kuliratibiwa' na Kundi fulani na kwa 'Makubaliano' fulani pia.

Sina tu uwezo ila kama ningekuwa nao ( kwa nia njema tu ) ningeomba Kuundwe Kamati 'Maalum' ya Kuchunguza Kifo chake na tusiishie tu katika 'Kuaminishwa' kuwa ni tatizo lake la Moyo alilokuwa nalo muda mrefu ndiyo limeuondoa Uhai wake.

Kuna Watu ( Wazee ) nawajua wana Matatizo ya Moyo tena Makubwa tu kuliko la Hayati lakini hadi hivi leo 'tunadunda' nao Mitaani na hata katika Nyumba za Kulala Wageni tunapishana nao 24/7 kama Dalalada za Mbagala - Stesheni wakiwa na 'Totooz' za maana.
Una uhakika hazivuji? Labda wewe ndio huzipati wengine wanazipata subiri hakuna Siri ya Watu wawili zitatoka tu
 
Nawaza kwa akili yakinifu ndani ya nchi yangu ya Taured.

Nabii yule, nabii John ndani ya nchi yangu ya Taured hakika alikuwa imaara sana, tatizo watu wake hawakuwahi kumuelewa.

Inakuwaje siku zile taarifa za ikulu yake mpaka bungeni zilkuwa zina vuja?

Tangu John afe taarifa nyeti hazikuwahi kuvuja, na tangu john afe kigogo hakuwahi kupata taarifa nyeti za serikali,, inanipa mwanga kuwa msaidizi wake namba moja ndiye haswaaa alikuwa kigogo.

Nahisi uliuwawa kaka, ilatu mungu akupe mapumziko mema.

Tupo gizani.View attachment 1789380
pole sana, alipangalo Mungu binadamu kamwe hawezi kufanya lolote.

Mungu, kwa namna aliyoiona na kuipanga yeye, aliamua mama Samia aje kuwa raisi wa nchi hii tangu 2015 kupitia kwa marehemu raisi John Pombe Magufuli alipomteua kuwa makamu wa raisi. alilolipanga linalokuja kwa sasa hatujui hadi pale atakapoamua na kulidhihirisha.

hivyo basi, chuki zako, fitna, hisia hasi na nia mbaya yako binadamu wewe dhidi ya mama huyu ambaye ni raisi wetu hazitasaidia ikiwa mwenyewe hajaamua kufanya lolote. mtagaagaa, mtazunguka vyombo vyote vya habari na mitandao na mtaendelea kumuona akifanya shughuli zake bila wasiwasi.......shutuma kali na zenye kukera km hizi ndiyo kwanza zitampatia baraka zaidi na fanaka tele na ujasiri wa kutubadilishia maisha watanzania huku tukipata tiba nzuri ya maneno yenye kutupa imani ya kusonga mbele.

poleni sana sana!
 
Hapa wala tusidanganyane kuna 'Mtu' hivi sasa kila akija na Taarifa na Kujiamini nayo kabisa ama inakuwa ya Uwongo au hata isitokee kabisa na kabaki tu 'Kupuyanga' na Umaarufu wake taratibu kuanza Kushuka.

Hata hivyo GENTAMYCINE hapa nina Maswali mengi sana ya kwanini kwa Uongozi wake Hayati Rais Magufuli kulikuwa na uvujaji mkubwa wa SIRI za Serikali (ambazo 85% ) zilikuwa za Kweli lakini ndani ya muda mfupi tu wa Uongozi wa Rais Samia SIRI nyingi za Serikali zimedhibitiwa na wala hazivuji tena kitu ambacho nakipongeza sana.

Taratibu sasa naanza kuielewa ile Kauli ya Rais Samia kuwa Watu wa Mitandaoni hasa Wazushi au Wapotoshaji ( siyo GENTAMYCINE ) siku zao zinahesabika na muda wowote ule watakamatwa (mtakamatwa)

Pia GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa kuna Uwezekano mkubwa sana Hayati alikuwa 'amewakumbatia' Maadui zake huku Yeye akidhani ni Wana ( Marafiki ) zake ambao huenda ndiyo hao hao ndiyo walikuwa 'Wakivujisha' Taarifa zake nyingi ambazo zingine ni za Maisha yake binafsi kabisa.

Vile vile GENTAMYCINE nimeenda mbali zaidi kuwa huenda hata 'System' ya nchi hii iliyokuwa na dhamana Kubwa Kwake nayo ilikuwa imeshagawanyika na kuwepo kwa 'Mpasuko' mkubwa hali iliyopelekea Taarifa 'Nyeti' za kuanzia Ikulu hadi Serikalini kwa Watendaji na Wateule wake 'Kuvuja' kwa wingi mpaka Kwetu Sisi Watu wa kawaida (Mangumbaru)

Kwa Kitendo hiki cha muda wake huu mfupi tu Uongozini kwa Rais Samia SIRI nyingi za Serikalini 'Kutokuvuja' kama ilivyokuwa kwa Hayati Rais Magufuli GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa waliotulia sasa 'Kutozivujisha' wamemkubali, wanamheshimu na wanampenda vilivyo Rais Samia na huenda hata Yeye Rais Samia anawakubali.

Mwisho kabisa GENTAMYCINE naanza kuielewa vyema ila Kauli ( Msemo ) wa Kihenga usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO na kwamba ANAYEKUMALIZA ANAKUJUA VYEMA kabisa.

Baada ya Kutathmini kwa mbali sana Kuna Kitu 'Kimenishtua' na GENTAMYCINE najua kuwa Kazi ya Kuzitwaa Roho za Sisi waja wake ni yake kwa Uratibu mzuri wa Israeli, ila kwa Mtazamo wangu binafsi ( na mtanisamehe kwa wale nitakaowakwaza ) naona Kuondoka ghafla vile ( Kufariki ) kwa Hayati Rais Magufuli 'Kuliratibiwa' na Kundi fulani na kwa 'Makubaliano' fulani pia.

Sina tu uwezo ila kama ningekuwa nao ( kwa nia njema tu ) ningeomba Kuundwe Kamati 'Maalum' ya Kuchunguza Kifo chake na tusiishie tu katika 'Kuaminishwa' kuwa ni tatizo lake la Moyo alilokuwa nalo muda mrefu ndiyo limeuondoa Uhai wake.

Kuna Watu ( Wazee ) nawajua wana Matatizo ya Moyo tena Makubwa tu kuliko la Hayati lakini hadi hivi leo 'tunadunda' nao Mitaani na hata katika Nyumba za Kulala Wageni tunapishana nao 24/7 kama Dalalada za Mbagala - Stesheni wakiwa na 'Totooz' za maana.
Dhalim alikuwa anatumia mabavu badala ya akili.
 
pole sana, alipangalo Mungu binadamu kamwe hawezi kufanya lolote.

Mungu, kwa namna aliyoiona na kuipanga yeye, aliamua mama Samia aje kuwa raisi wa nchi hii tangu 2015 kupitia kwa marehemu raisi John Pombe Magufuli alipomteua kuwa makamu wa raisi. alilolipanga linalokuja kwa sasa hatujui hadi pale atakapoamua na kulidhihirisha.

hivyo basi, chuki zako, fitna, hisia hasi na nia mbaya yako binadamu wewe dhidi ya mama huyu ambaye ni raisi wetu hazitasaidia ikiwa mwenyewe hajaamua kufanya lolote. mtagaagaa, mtazunguka vyombo vyote vya habari na mitandao na mtaendelea kumuona akifanya shughuli zake bila wasiwasi.......shutuma kali na zenye kukera km hizi ndiyo kwanza zitampatia baraka zaidi na fanaka tele na ujasiri wa kutubadilishia maisha watanzania huku tukipata tiba nzuri ya maneno yenye kutupa imani ya kusonga mbele.

poleni sana sana!
Mtakuwa naye for 15 years, maana mna akili ya kuku.
 
Hayati alikuwa amecross redline na lile libichwa lake,alifikia hata hatua ya kumkosoa askofu madhabahuni

Karaha ya milele umpee bwana
 
Back
Top Bottom