Kwanini Hayati Rais Magufuli alishindwa Kudhibiti 'SIRI' za Serikalini 'Kuvuja' ila kwa Rais Samia ameweza kwa muda mfupi tu huu?

Suala la mtu kufa haijalishi anakufa haraka au baadae,kufa ni wakati na wakati ukifika mola hukutwaa.

Wanaosema amekufa haraka siwaelewi. Aliyechelewa kufa ni nani? Hamjaona watoto na vijana wakifa? Kwanini mtu mnaambiwa alikua na ugonjwa kwa miaka kumi kisha mnasema ameuawa.

Je inakuaje mwingine akisema Mungu amemchelewesha kutokana na ugonjwa aliokua nao? Au huo ugonjwa mtasema hakua nao watu wanazusha?

Pia tumshukuru Mungu kwa maisha ya hayati kwani alikua akiumwa na amefanya kazi ambayo amekua anakiri kwamba ni ngumu. Mimi nadhani alaumiwe hayati mwenyewe na daktari wake kwakutojali ugonjwa huo hatari na kujibebesha majukumu mazito. Ona alivyopiga kampeni nchi nzima,sio kazi ndogo

Yeye ana walinzi mabunduki muda wote, ana daktatri na kila chakula kinapimwa kisha mnadai amepewa sijui vitu gani je walinzi walikua wapi? Daktari alikua wapi?

Kama amewahiwa mapema anatofauti gani na wanaokula holela kwa mama ntilie? Kwanini watu wake wakaribu hamuwataji mnataja watu ambao hawashindi nae,hawali na kunywa nae
Nani anayeweza kuthibitisha akaisaidie serikali?

Nimaoni yangu kwamba tusikosoe mapenzi ya Mungu kwani kufa kupotu,mbali na huo urais na yeye pia ni mwanaadamu wa kawaida,nimkosaji,nimdhaifu,anaumwa na hatimaye ametwaliwa.

Hayo nimawazo yangu nisionekane muasi

Uko serous?
 
Hakuna binadamu aliyemlazimisha Jiwe kuondoka isipokuwa kachukuliwa na ISRAEL!!! Hizo conspiracy theories ni za wale wanaokosa faida ya kuwepo kwa Mwendazake!!
Utoto tu unaotokana na kusoma story au kuangalia movie za kipelelezi. Dogo anajaribu kuigiza movie yake.
 
Kwanza fahamu NGUMBARU au huyo mtu wa kawaida sana ni WEWE na nafsi yako
Ukijishusha na kujiona inferior ni wewe...

Mimi siyo ngumbaru. Nina heshma yangu na kwa jamii inayonizunguka
 
Jibu ni moja tu, alizungukwa na wanafiki, waliokuwa wanajiandaa kumlia timing.
Kisa chake nakifananisha na kisa kabla ya Mapinduzi ya Komredi Robert Mugabe R.I.P.
Walimjaza akajaa, akapumbazika, kila kitu wakamsifia, kila eneo wakalibatiza jina lake.

Everyday is Saturday................................:cool:
 
Back
Top Bottom