Kwanini Hayati Rais Magufuli alishindwa Kudhibiti 'SIRI' za Serikalini 'Kuvuja' ila kwa Rais Samia ameweza kwa muda mfupi tu huu?

Kumbuka pia Rais Mama Samia amesema kuwa nyinyi mnaosema uongo kuhusu sababu za kifo cha Hayati Rais Magufuli siku zenu zinahesabika!
Mama ni jasusi mbobezi aliyewekwa pale kwa maslahi mapana na wazanzibar
 
Mtakuwa naye for 15 years, maana mna akili ya kuku.
binafsi wala sihitaji wala kumaanisha hayo. wapo wazuri na wenye uwezo zaidi yake na wana haki kama yeye ya kuongoza. miaka yake aliyoandaliwa na katiba inatosha. nisichopenda ni hii tabia yenu ya kipumbavu (samahani) ya kujaribu kumchafua mtu bila sababu kwakuwa tu hamumpendi....kwakuwa tu kuna mtu (labda wa kwenu (kikabila au ukanda au udini, sijui!)) alifanikiwa kuwabrainwash vya kutosha kiasi hicho.
 
pole sana, alipangalo Mungu binadamu kamwe hawezi kufanya lolote.

Mungu, kwa namna aliyoiona na kuipanga yeye, aliamua mama Samia aje kuwa raisi wa nchi hii tangu 2015 kupitia kwa marehemu raisi John Pombe Magufuli alipomteua kuwa makamu wa raisi. alilolipanga linalokuja kwa sasa hatujui hadi pale atakapoamua na kulidhihirisha.

hivyo basi, chuki zako, fitna, hisia hasi na nia mbaya yako binadamu wewe dhidi ya mama huyu ambaye ni raisi wetu hazitasaidia ikiwa mwenyewe hajaamua kufanya lolote. mtagaagaa, mtazunguka vyombo vyote vya habari na mitandao na mtaendelea kumuona akifanya shughuli zake bila wasiwasi.......shutuma kali na zenye kukera km hizi ndiyo kwanza zitampatia baraka zaidi na fanaka tele na ujasiri wa kutubadilishia maisha watanzania huku tukipata tiba nzuri ya maneno yenye kutupa imani ya kusonga mbele.

poleni sana sana!
Nani kataja jina la mtu flani kwenye nchi ya Tanzania ndani ya hiyo post apo juu?? Una mihemko ya kisiasa ww
 
Ha ha ha kitu jamaa ananifraishaga jambo lakuandika paragraph mbili anaandika kitabu.

Kipindi Niko shule kuna watu walikuwa wanaandika booklet mbili. Mimi ata nusu sifiki lakini matokea mpka unaona huruma.
Hanipendi halafu hapo hapo bado tu 24/7 huachi Kunifuatilia hapa JamiiForums. Pumbavu.
 
Genta, maelezo yako yote yako sahihi kwa 100%

Hayati alidhani kuwa watu walio karibu yake wanamuunga mkono kumbe walikuwa ndio wavujisha siri nambari one, usoni walionesha wako nae wakati mioyoni hawakuwa wakimuunga mkono badala yake walikuwa wakilinda vibarua vyao.
uzuri ni kwamba kwa hilo huwezi aminika tena,kwahiyo hata wa sasa baada ya kuingia alijua tu.

timua wote jengo zima.
 
Hata sidhani kama kuna ufundi mkubwa uliotumika hapo, simply ni kwamba wale maadui wa Magufuli waliokuwa wanatoa siri ndio marafiki wa Samia wanaozificha.
 
Sikumbuki ni wapi katika huu Uzi wangu nimesema kuwa nina Taarifa za Siri za Kifo cha Hayati kama umeona mahala nimesema hilo kwa uhakika nakuruhusu unionyeshe ili niumbuke na Wasomaji hapa.

Ukiwa na IQ kubwa ( ambazo bahati mbaya huna ) na utaendelea hivyo hivyo Kufikiri kutokea katika Makalio yako ( Nyabe ) ukiusoma huu Uzi wangu utaelewa kuwa hapa Content yangu ni ya Mimi kuwa tu na Mashaka ( hasa ya Kinadharia na Kimazingira ) na sijamshutumu Mtu yoyote Yule.

Umesema kuwa Mimi GENTAMYCINE najifanya najua sana Taarifa za 'System' au najifanya ni Mtu wa 'System' pia. Kwakuwa unajifanya kunijua sana na kunifuatilia mno hapa JamiiForums huku ukiwa na Chuki zako za Kipumbavu na Kiuswahili sema ni lini Mimi nilijinasibu ( nilijigamba ) hapa kuwa ni TISS Agent ili Wahusika wanikamate kwa 'Impersonation Case' na bahati nzuti kuna Watu Watatu wa huko huko wanajua hii ID yangu na mpaka ninapolala na Kuishi hivyo wakiamua Kunikamata ni dakika Moja tu.

Kinachowafanya muendelee kuwa Wapumbavu na Kutwa tu Kuteseka na Mimi ama kuwa Knowledgeable na Well Informed kwa Mambo mengi 'Mtambuka' ni kwamba napenda mno Kufuatilia Mambo, Taarifa mbalimbali na pia Kujisomea sana Vitabu mbalimbali vya Masuala ya 'Espionage' hivyo kunifanya angalau naweza kuwa na a,b,c's ya huko hata kama si Mmoja wao kwani duniani kote 'Principles' zao ni zile zile na zikibadilika huwa ni chache tu.

Huwa mnanilazimisha niwe nawapuuza.
Achana nao wana wivu.
 
Hapa wala tusidanganyane kuna 'Mtu' hivi sasa kila akija na Taarifa na Kujiamini nayo kabisa ama inakuwa ya Uwongo au hata isitokee kabisa na kabaki tu 'Kupuyanga' na Umaarufu wake taratibu kuanza Kushuka.

Hata hivyo GENTAMYCINE hapa nina Maswali mengi sana ya kwanini kwa Uongozi wake Hayati Rais Magufuli kulikuwa na uvujaji mkubwa wa SIRI za Serikali (ambazo 85% ) zilikuwa za Kweli lakini ndani ya muda mfupi tu wa Uongozi wa Rais Samia SIRI nyingi za Serikali zimedhibitiwa na wala hazivuji tena kitu ambacho nakipongeza sana.

Taratibu sasa naanza kuielewa ile Kauli ya Rais Samia kuwa Watu wa Mitandaoni hasa Wazushi au Wapotoshaji ( siyo GENTAMYCINE ) siku zao zinahesabika na muda wowote ule watakamatwa (mtakamatwa)

Pia GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa kuna Uwezekano mkubwa sana Hayati alikuwa 'amewakumbatia' Maadui zake huku Yeye akidhani ni Wana ( Marafiki ) zake ambao huenda ndiyo hao hao ndiyo walikuwa 'Wakivujisha' Taarifa zake nyingi ambazo zingine ni za Maisha yake binafsi kabisa.

Vile vile GENTAMYCINE nimeenda mbali zaidi kuwa huenda hata 'System' ya nchi hii iliyokuwa na dhamana Kubwa Kwake nayo ilikuwa imeshagawanyika na kuwepo kwa 'Mpasuko' mkubwa hali iliyopelekea Taarifa 'Nyeti' za kuanzia Ikulu hadi Serikalini kwa Watendaji na Wateule wake 'Kuvuja' kwa wingi mpaka Kwetu Sisi Watu wa kawaida (Mangumbaru)

Kwa Kitendo hiki cha muda wake huu mfupi tu Uongozini kwa Rais Samia SIRI nyingi za Serikalini 'Kutokuvuja' kama ilivyokuwa kwa Hayati Rais Magufuli GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa waliotulia sasa 'Kutozivujisha' wamemkubali, wanamheshimu na wanampenda vilivyo Rais Samia na huenda hata Yeye Rais Samia anawakubali.

Mwisho kabisa GENTAMYCINE naanza kuielewa vyema ila Kauli ( Msemo ) wa Kihenga usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO na kwamba ANAYEKUMALIZA ANAKUJUA VYEMA kabisa.

Baada ya Kutathmini kwa mbali sana Kuna Kitu 'Kimenishtua' na GENTAMYCINE najua kuwa Kazi ya Kuzitwaa Roho za Sisi waja wake ni yake kwa Uratibu mzuri wa Israeli, ila kwa Mtazamo wangu binafsi ( na mtanisamehe kwa wale nitakaowakwaza ) naona Kuondoka ghafla vile ( Kufariki ) kwa Hayati Rais Magufuli 'Kuliratibiwa' na Kundi fulani na kwa 'Makubaliano' fulani pia.

Sina tu uwezo ila kama ningekuwa nao ( kwa nia njema tu ) ningeomba Kuundwe Kamati 'Maalum' ya Kuchunguza Kifo chake na tusiishie tu katika 'Kuaminishwa' kuwa ni tatizo lake la Moyo alilokuwa nalo muda mrefu ndiyo limeuondoa Uhai wake.

Kuna Watu ( Wazee ) nawajua wana Matatizo ya Moyo tena Makubwa tu kuliko la Hayati lakini hadi hivi leo 'tunadunda' nao Mitaani na hata katika Nyumba za Kulala Wageni tunapishana nao 24/7 kama Dalalada za Mbagala - Stesheni wakiwa na 'Totooz' za maana.
Ebu tuambie baadhi ya siri za serikali zilizovuja kipindi cha mwendazake ili na sisi tuzijue.Kuhusu kifo cha raisi Magufuli bado ni fumbo kubwa sana.
 
Ukiona siri zako zinatoka ujue una maadui wengi au watu wanatafuta what next ? hutabiriki.Mama wanajua hakurupuki ,anakuandaa,anakutafuta,unamkosoa nk.So watu hawaogopi kuwa kuna surprises.JIWE alijenga mfumo ambao sio rafiki wa utoaji habari na utekelezaji wa kazi zake
We subiri tu ata huyo mama yenu maccm yanamvutia pumzi tu, hakuna chama cha kinafiki kama CCM.
 
Ebu tuambie baadhi ya siri za serikali zilizovuja kipindi cha mwendazake ili na sisi tuzijue.Kuhusu kifo cha raisi Magufuli bado ni fumbo kubwa sana.
Kama uko TISS rudi tena Chuo ukapikwe kwani uwezo wako wa Kudadisi, Kupeleleza na Kuchokoza Jambo ili uyajue mengi ni mdogo mno. Nimekudharau sana.
 
Jiwe hakuwa na Siri hata yeye mropokaji mzuri.Utasikia anasema "Huyu ni usarama wa taifa sasa Kama mlikuwa hamjui "
Yaani alikuwa mshamba sana aisee! JK na timu yake hata sijui ilikuaje wakaingia mkenge kutupa mtu wa vile!
 
Hapa wala tusidanganyane kuna 'Mtu' hivi sasa kila akija na Taarifa na Kujiamini nayo kabisa ama inakuwa ya Uwongo au hata isitokee kabisa na kabaki tu 'Kupuyanga' na Umaarufu wake taratibu kuanza Kushuka.

Hata hivyo GENTAMYCINE hapa nina Maswali mengi sana ya kwanini kwa Uongozi wake Hayati Rais Magufuli kulikuwa na uvujaji mkubwa wa SIRI za Serikali (ambazo 85% ) zilikuwa za Kweli lakini ndani ya muda mfupi tu wa Uongozi wa Rais Samia SIRI nyingi za Serikali zimedhibitiwa na wala hazivuji tena kitu ambacho nakipongeza sana.

Taratibu sasa naanza kuielewa ile Kauli ya Rais Samia kuwa Watu wa Mitandaoni hasa Wazushi au Wapotoshaji ( siyo GENTAMYCINE ) siku zao zinahesabika na muda wowote ule watakamatwa (mtakamatwa)

Pia GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa kuna Uwezekano mkubwa sana Hayati alikuwa 'amewakumbatia' Maadui zake huku Yeye akidhani ni Wana ( Marafiki ) zake ambao huenda ndiyo hao hao ndiyo walikuwa 'Wakivujisha' Taarifa zake nyingi ambazo zingine ni za Maisha yake binafsi kabisa.

Vile vile GENTAMYCINE nimeenda mbali zaidi kuwa huenda hata 'System' ya nchi hii iliyokuwa na dhamana Kubwa Kwake nayo ilikuwa imeshagawanyika na kuwepo kwa 'Mpasuko' mkubwa hali iliyopelekea Taarifa 'Nyeti' za kuanzia Ikulu hadi Serikalini kwa Watendaji na Wateule wake 'Kuvuja' kwa wingi mpaka Kwetu Sisi Watu wa kawaida (Mangumbaru)

Kwa Kitendo hiki cha muda wake huu mfupi tu Uongozini kwa Rais Samia SIRI nyingi za Serikalini 'Kutokuvuja' kama ilivyokuwa kwa Hayati Rais Magufuli GENTAMYCINE nimeanza Kuamini kuwa waliotulia sasa 'Kutozivujisha' wamemkubali, wanamheshimu na wanampenda vilivyo Rais Samia na huenda hata Yeye Rais Samia anawakubali.

Mwisho kabisa GENTAMYCINE naanza kuielewa vyema ila Kauli ( Msemo ) wa Kihenga usemao KIKULACHO KI NGUONI MWAKO na kwamba ANAYEKUMALIZA ANAKUJUA VYEMA kabisa.

Baada ya Kutathmini kwa mbali sana Kuna Kitu 'Kimenishtua' na GENTAMYCINE najua kuwa Kazi ya Kuzitwaa Roho za Sisi waja wake ni yake kwa Uratibu mzuri wa Israeli, ila kwa Mtazamo wangu binafsi ( na mtanisamehe kwa wale nitakaowakwaza ) naona Kuondoka ghafla vile ( Kufariki ) kwa Hayati Rais Magufuli 'Kuliratibiwa' na Kundi fulani na kwa 'Makubaliano' fulani pia.

Sina tu uwezo ila kama ningekuwa nao ( kwa nia njema tu ) ningeomba Kuundwe Kamati 'Maalum' ya Kuchunguza Kifo chake na tusiishie tu katika 'Kuaminishwa' kuwa ni tatizo lake la Moyo alilokuwa nalo muda mrefu ndiyo limeuondoa Uhai wake.

Kuna Watu ( Wazee ) nawajua wana Matatizo ya Moyo tena Makubwa tu kuliko la Hayati lakini hadi hivi leo 'tunadunda' nao Mitaani na hata katika Nyumba za Kulala Wageni tunapishana nao 24/7 kama Dalalada za Mbagala - Stesheni wakiwa na 'Totooz' za maana.

Alishindwa vipi wakati alimwamini msoga a.k.a Kigogo. Huyo ndio master plan hata kifo cha mzee baba anakijua vizuri kwa kumtumia swahiba wake Membe
 
Back
Top Bottom