Kwanini Hayati Magufuli hapoi?

Shetani haachwi kutajwa hata kwenye nyumba za ibada nk.
 
Hapoi kwa sababu kuna Magufuli Bus Terminal, Magufuli Hostels, Magufuli Secondary School, Magufuli Bridge, Magufuli Town-Dodoma, Magufuli Legacy, na Magufuli policy
Pia zipo familia za Saanane, Azory, Mawazo, Saguye, Lissu nk ambazo pengine kila asubuhi zinaomba Mola amuongezee kipigo huko aliko

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Jpm ndo alikuwa wa hivyo Sana na uchaguzi wa 2020 ungekuwa huru basi wabunge wa ccm wasingefika kumi
 
Jiwe alikuwa mtu wa hovyo Sana, ndio Maana akafa kibwege,
 
Uwanja wa ndege wa Chato Kwa sasa unatumika kuanikia Mpunga
 
Ibilisi haachwi kutajwa hata kwenye nyumba za ibada
 
Hapoi kwa sababu kuna Magufuli Bus Terminal, Magufuli Hostels, Magufuli Secondary School, Magufuli Bridge, Magufuli Town-Dodoma, Magufuli Legacy, na Magufuli policy
Pia tusisahau kuwa hawezi kupoa Kwa Sababu anapigwa Kuni za Moto wa Hatari huko aliko
 
Dead & gone....
MUNGU katuamua....hukumu ya MUNGU haikosei na hivyo iko sahihi

Death to dictator
 
Ni wewe unaye muongelea... alishapoa kitambo mbona...
 
Fuvu litapasuka mkuu, hebu tafuta clip inayoonyesha ziara yake ya kwanza sikumoja tu baada ya kuingia madarakani alafu urudi usome tena posti yako.

Huna haja ya kutumia miguvu kupambana na marehemu sababu hayupo.

Miaka mi 5 tu imetosha kumuwekea magu kuwa kiongozi Bora wa mfano katika kupambana na umaskini, angalia miradi yote ya kimkakati akili zitakurudia.
 
Shetani haachwi kutajwa hata kwenye nyumba za ibada nk.
Aacha upotoshaji Mitume ndio wanatajwa sana kwenye nyumba za ibada NK.

Huyo shetani unamtaja sana kwenye ibadazenu za kishirikina huko
 
Pia zipo familia za Saanane, Azory, Mawazo, Saguye, Lissu nk ambazo pengine kila asubuhi zinaomba Mola amuongezee kipigo huko aliko

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Pia zipo familia za mamilioni ya watanzania wakiwepo wajomba zako na nduguzako vijijini kwenu huko wanamuombea heri na raha ya milele huko mbinguni astarehe kwa amani.

Despite miga threats.
 
Wafuasi huchagua kuona mazuri machache tu, na kupotezea mengi mabaya.
 
Sijui kuna ibada itapita bila shetani kutajwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…