music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 500
- 888
Wataalam wa siasa mnisaidie kunielewesha. Kwanini kila kona ya nchi mtu anayeongelewa sana kwenye mijadala ni Magufuli?
Mwanzoni nilijua ni ishu temporary kutokana amekufa akiwa madarakani, ila kila kukicha ni kama moto unaotambaa kwenye nyasi kavu zilizotandazwa.
Of course kuna upande unamsifu sana na kuna upande unamsema vibaya sana.
Swali langu kwa nini yeye na kuna wastaafu wengi tu na walifanya mambo mengi (mabaya na mazuri)?
Maana nnaona dalili ya kizazi cha sasa awa waliozaliwa kuanzia 1997 hapo kuendelea wanaanza kumtumia kama reference as tulivyofanya sisi watu wazima kwa Nyerere.