Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 12,209
- 33,758
Kwa upande wa wanaume ambao ndio wauaji wakuu sababu kubwa ni uwekezaji kwenye mahusiano. Kuanzia mahusiano ya boyfriend and girlfriend mwanaume anabebeshwa majukumu ya baba wa mwanamke. Bado mahari, sometimes unakuta kamsomesha, kamfungulia biashara n.k
Sasa ukija wakati mnalazimika kuachana maamuzi ya ku-move on yanazidiwa nguvu na uwekezaji uliofanya ndipo hapo mtu anaamua kucharaza mapanga tu.
Wazungu hawana kesi nyingi kama izo kwa sababu boyfriend habebeshwi majukumu ya baba wa mwanamke, pia wakiingia kwenye ndoa wanachangia cost 50/50 hapo penzi likiisha ni rahisi mwanaume ku-move on bila kufanya tukio.
Ndio maana kila siku nawaambia vijana hapa jukwaani, usimpe kipaumbele mwanamke, usiwekeze kwa mwanamke, don't build your life and happiness around a woman vinginevyo unajiandalia mazingira ya kuwa simp au muuaji mtarajiwa.