Kwanini hawaachani mpaka wanauana?

Kwanini hawaachani mpaka wanauana?

Mbaya sana,afu kwa sasa tumechukulia kama ni jibu jepesi

Mwanamke au mwanamme ana haki ya kukuuliza umetoka wapi kama umerudi nje ya utaratibu ,sasa mtu anauliza for the good na wewe unatoa jibu la kashfa lazima kinuke tu....Mimi nina imani mme hawezi tu kufikiri niuue mke hapana ni kuna vitu hapa kati vinatokea ndiyo vinaibua kipigo.
 
Kwani na ww jamaa yupo mbali? Umeongelea watoto tu, mbona mnayetulizana hujamuweka?
 
Mwanamke au mwanamme ana haki ya kukuuliza umetoka wapi kama umerudi nje ya utaratibu ,sasa mtu anauliza for the good na wewe unatoa jibu la kashfa lazima kinuke tu....Mimi nina imani mme hawezi tu kufikiri niuue mke hapana ni kuna vitu hapa kati vinatokea ndiyo vinaibua kipigo.
Kuna mkuu hapo juu kacomment kuwa huenda uulizaji wako pia unakuwa haupo katika namna nzuri
 
Kuna mkuu hapo juu kacomment kuwa huenda uulizaji wako pia unakuwa haupo katika namna nzuri

Yeah hapo ndipo busara inatumika kwa mtoa maudhi .....Umeondoka bila kumuaga mumeo lazima awe mbogo sasa hata maswali yake yatakuwa ya kimbogombogo sasa na mke naye akipanda lazima vyuma viumane.
 
1. Watoto
Wanandoa wanakosa majibu ikiwa tutaachana malezi ya watoto yatakuwaje. Watalelewa na mama wa kambo? Baba anaona mzigo kulazimika kuhudumia watoto huku mama yao akiliwa na mtu mwingine

2. Kugawana mali
Hapa mwanaume ndio muathirika

3. Unafiki wa ndugu na viongozi wa dini
Ndugu tumekuwa wanafiki "aaah mimi sitaki kuwashauri waachane, wakirudiana nitaweka wapi uso wangu". Viongozi wa dini nao hawataki watu waachane, wanatengeneza zaidi kuliko kubomoa

4. Nitaonekanaje
Wanaume wanashindwa kulijibu hili swali
 
Binafsi sihofii kuachana. Kama usenge umeingia kati yetu piga chini
2&4 ndiyo imekuwa kisingizio Cha kwenda 🙌
 
🤣🤣🤣 Mwambie arudi kwao,usimuue
Hasira zikisha panda akili ya kumwambia rudi kwenu haipo.

Hata wanaofanya mauaji, unafikiri wanakuwa kwenye akili yenye utulivu wa kufikiri?

Yani hapo akili inakuwa provoked vibaya sana, Kiwango cha hasira kinakuwa kwenye maximum.

Baada ya kipigo au mauaji ndio akili inashtuka sasa kwamba ushaua.
 
Inaogopesha sana aisee
 
Ni Akili tu za wanandoa namna ya kukimbia.

Mimi nakimbia,afu ukikimbia hiyo nguchiro itarudi kukutafuta
 
Sipo kwenye ndoa ila kwa uelewa wangu mdogo, kuishi na binadamu mwenzio sio kitu rahisi. Kila mtu anahistoria yake, wengi hasa tulio kulia kwenye low na middle class income, hata wale wenye hela still kuna vitu kama trauma baggage ambazo sio mpk ziwe za kukosa hela, inaweza kuwa emotional neglect kutoka kwa watu wa karibu kama wazazi nk...

Pia kila mtu yuko unique na personality ndo kitu muhimu katika kupata mtu mnayeendana. Sio tu unaangalia shape, uzuri na pesa ambazo ni superficial zikiisha na upendo umeisha. Mwenzi wako anatakiwa awe rafiki kwanza, akupende wewe jinsi ulivyo. Changamoto na kupingana kauli vipo lazima ila ile bond yenu yapaswa kuwa kubwa kuvizidi.
 
Nimegundua sababu ya wanandoa kutokuachana hata kama Wana ugomvi ndani,....ni mazoea.
Ule muda wa amani kidogo tu,mkacheka pamoja na kujadili maendeleo ya familia pamoja....huo muda ni kumbukumbu tosha pale mwenzio anapokuwa mbali nawe....

Kuogopa kuachana sababu ya watoto huenda ikawa ni sababu kuu....lakini mazoea na kuogopa kuingiza kitu kigeni at mpaka umtambue vyema,umzoee inachukua kipindi kirefu.

Nilitaka kusema nini.... Long-distance marriage mjishikilie...hajazoea kuishi nawe,hajazoea kulala nawe,hajazoea kukuona ana kwa ana Kila siku au baada ya muda Fulani mfupi...mkikosana haoni kama amepunguka kitu.

Nimechukulia mfano kwa wanangu,wakisafiri kidogo tu Mimi ndani nahisi nimepungukiwa kilakitu...wakirudi nitafurahi lakini baada ya muda kidogo tunaanza kupigishana kelele na tunakaa sawa tena....bas maisha yanaendelea.

NB: Mkifika stage mnataka kuuana,tafadhali kama ni mazoea bas utazoeana hata na jirani yako ukiwa umekimbia hiyo nguchiro ya kike au kiume.Waoneeni huruma wanaobaki nyuma baada ya nyie kuchinjana,wanabaki katika wakati gani.TUJIFUNZE KUJIPENDA KWANZA KABLA YA KITU CHOCHOTE.Life is too short wakuu.
Ndoa tamu ww ..
😅😅
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom