Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,365
- 91,919
Nimegundua sababu ya wanandoa kutokuachana hata kama Wana ugomvi ndani,....ni mazoea.
Ule muda wa amani kidogo tu,mkacheka pamoja na kujadili maendeleo ya familia pamoja....huo muda ni kumbukumbu tosha pale mwenzio anapokuwa mbali nawe....
Kuogopa kuachana sababu ya watoto huenda ikawa ni sababu kuu....lakini mazoea na kuogopa kuingiza kitu kigeni at mpaka umtambue vyema,umzoee inachukua kipindi kirefu.
Nilitaka kusema nini.... Long-distance marriage mjishikilie...hajazoea kuishi nawe,hajazoea kulala nawe,hajazoea kukuona ana kwa ana Kila siku au baada ya muda Fulani mfupi...mkikosana haoni kama amepunguka kitu.
Nimechukulia mfano kwa wanangu,wakisafiri kidogo tu Mimi ndani nahisi nimepungukiwa kilakitu...wakirudi nitafurahi lakini baada ya muda kidogo tunaanza kupigishana kelele na tunakaa sawa tena....bas maisha yanaendelea.
NB: Mkifika stage mnataka kuuana,tafadhali kama ni mazoea bas utazoeana hata na jirani yako ukiwa umekimbia hiyo nguchiro ya kike au kiume.Waoneeni huruma wanaobaki nyuma baada ya nyie kuchinjana,wanabaki katika wakati gani.TUJIFUNZE KUJIPENDA KWANZA KABLA YA KITU CHOCHOTE.Life is too short wakuu.