Kwanini hawa kuku hawatagi?

Kwanini hawa kuku hawatagi?

mkalikali

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
363
Reaction score
131
Hawa kuku ni wakubwa na wanaafya lakini hawatagi. Naombeni msaada wakuu.
 
Attachments

  • 1404476456954.jpg
    1404476456954.jpg
    104.4 KB · Views: 496
kama wang wana huu mwez wa 9 hawjatag yai hat 1,ila wanatetea kila siku
 
Mkuu pengine lishe unayowapa haikidhi ushawishi wa wao kutaga!
Jitahidi uwachanganyie na lishe ya vifaranga ili waridhike kwamba hata wakitaga uhakika wa msosi wa vifaranga upo!
 
Mkuu pengine lishe unayowapa haikidhi ushawishi wa wao kutaga!
Jitahidi uwachanganyie na lishe ya vifaranga ili waridhike kwamba hata wakitaga uhakika wa msosi wa vifaranga upo!
hahahahahaha dah JF is never boring. Dah mkuu umenichekesha sana, ila ujue huyu jamaa ana shida kweli halafu wewe unazingua !!!
 
Mkuu mjasiria was kidding but the truth lies within!
ebu vaa uhusika mkuu, like unashindia ng'ongo na magimbi daily! ivi kweli utatamani kuwaleta mtoto ktk mazingira kama hayo!!?
CC chasha Marire Malila Mama JOE msaidieni mkuu mkalikali juu ya hitaji lake jamani!
 
Last edited by a moderator:
Kingine mie ni gependa kuuliza ni,kitu gani kinaweza kusababisha kuku kudonoa na kula mayai?????
 
Kuku kuto kutaga kunasababiswa na mambo mengi sana.
1. Kulishwa chakula hafifu, hapa ni kama kuku wanafungiwa ndani muda wote,

2. Kupewa chakula kingi sana kupita kiasi- Hapa kuku hunenepa na kushindwa kutaga au chakula chenye kiwango kikubwa sana cha protein.

3. Aina ya breeds kuna breeds huchukua hadi miezi 7 ndo zianze kutaga.

4. Wakati- Unaweza kuta kuku wako wamefikia kipindi cha kutaga wakati wa baridi hivyo wanaweza wasitage hadi kipindi cha joto.

5. Vitu kama utitiri, viroboto na vitu kama wanyama vinaweza watia hofu wakachelewa kutaga.

6. Kama unawafuga nje unaweza kuta walisha anza kutaga bila wewe kujua na wanatagia kwenye machaka kuna kuku wanaweza taga hadi wakaatamia na kutotoa bila wewe kujua.
 
Mkuu Ngamba dawa yake ni kuichoma moto au kata ncha ya mbele ya mdomo wa kuku huyo. Pia fanya uchunguzi eneo analoatamia pengine kuna utitiri so anakosa uhuru kwa kudonoa sehemu ya chini ya mwili wake na hatimae kutoboa mayai.
 
Last edited by a moderator:
Kuku kuto kutaga kunasababiswa na mambo mengi sana.
1. Kulishwa chakula hafifu, hapa ni kama kuku wanafungiwa ndani muda wote,

2. Kupewa chakula kingi sana kupita kiasi- Hapa kuku hunenepa na kushindwa kutaga au chakula chenye kiwango kikubwa sana cha protein.

3. Aina ya breeds kuna breeds huchukua hadi miezi 7 ndo zianze kutaga.

4. Wakati- Unaweza kuta kuku wako wamefikia kipindi cha kutaga wakati wa baridi hivyo wanaweza wasitage hadi kipindi cha joto.

5. Vitu kama utitiri, viroboto na vitu kama wanyama vinaweza watia hofu wakachelewa kutaga.

6. Kama unawafuga nje unaweza kuta walisha anza kutaga bila wewe kujua na wanatagia kwenye machaka kuna kuku wanaweza taga hadi wakaatamia na kutotoa bila wewe kujua.

Mkuu nimekupata vizuri. Kwanza hawa kuku ni chotara muda mwingi wapo ndani mara chache sana wamekua wakitoka nje. Pili nipo machame huku kuna baridi kali hasa.
Jogoo wamekuwa wakubwa hadi hiyo ngozi ya juu inafunika jicho la upande mmoja.
 
Attachments

  • 1404648738267.jpg
    1404648738267.jpg
    74 KB · Views: 289
Ishu ya chakula na magonjwa ikoje katika banda lako?
 
Mkuu nimekupata vizuri. Kwanza hawa kuku ni chotara muda mwingi wapo ndani mara chache sana wamekua wakitoka nje. Pili nipo machame huku kuna baridi kali hasa.
Jogoo wamekuwa wakubwa hadi hiyo ngozi ya juu inafunika jicho la upande mmoja.

Mama wewe kuku ni mkubwa sana huyo.
 
Hao watakuwa wamepigwa ban! :A S wink:. Kama wewe ni muamini, muite mtumishi wa Mungu awawekee mikono wapate kufunguliwa...
 
Madawa nawapati. Banda ni zuri na hawajawah kuumwa mkuu.

Kipengere namba tatu alichotoa mdau hapo juu ni muhimu sana, yaani aina ya breed. Jaribu kufuatilia sana ulikowatoa hao kuku, kisha jaribu kuuliza kwa wafugaji jirani zako kama wapo.

Kuna kuku mmoja mbegu ya Malawi jike, tangu afike shambani kwangu hatagi yy anajaza choo !!!!! Lakini wengine unakuta wanarudi na watoto bandani, kwa hiyo nikajifunza kitu.

Mbegu bora kwa kila kitu ni muhimu sana. Nina ng`ombe mmoja jike ameleta mtoto baada ya miaka mingi, wakati mwenzake amepiga round mbili.
 
Mkuu nimekupata vizuri. Kwanza hawa kuku ni chotara muda mwingi wapo ndani mara chache sana wamekua wakitoka nje. Pili nipo machame huku kuna baridi kali hasa.
Jogoo wamekuwa wakubwa hadi hiyo ngozi ya juu inafunika jicho la upande mmoja.
Huyu Jogoo mbona hana sifa za Jogoo Bora?? jogoo bora huo upanga hautakiwi kulala..unatakiwa uwe wima, na pia umbo la jogoo wako ni dogo sana japo anaonekana amekomaa jogoo Bora anatakiwa kuwa kuwa na umbile kubwa!!....tafuta mbegu nzuri ya Jogoo
 
Back
Top Bottom