dadaake
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,115
- 1,084
Nimeshindwa kupata majibu kwanini watumishi wa majumbani wanapoamua kuanza maisha yao ya ndoa inakuwa ni vita na waajiri wao?
Huwa wanawapunguzia nini?
Sio wote hawapendi watumishi wao wa majumbani wasipate kuanza maisha ya ndoa
Binafsi namuombea Mungu binti nilienae aje apate ndoa na kuanza maisha yake rasmi nitajisikia vibaya zaidi km atabebeshwa mimba na kukimbiwa
Mungu atamsaidia