Kwanini hatupendi watumishi wetu wa majumbani waanzishe familia zao?

Aiseee!!.......hongera sana,i wish you won't pay a price of it!!.....mke wangu niliemuoa ametokea kwenye familia kama hiyo ya kwako,kuna siku nilimuomba anipikie chapati akapika chapati yenye pembe tisa,ninavyokuandika hapa am single again!!
 
We ulikuwa unataka chapati yenye pembe ngapi?
Alafu bebe rafiki mi najua kupika,usinione hivi
 
Mtu uliekuwa unapikiwa,kufuliwa nguo,kufanyiwa usafi wewe kazi yako ni kuchat na kunyoosha miguu kuangalia movie kwenye tv mambo ya kupika utayajulia wapi!!
 
Wakwetu ana miaka zaidi ya 10 saizi na hana mpango wa kuondoka, alikuja kigoli wa miaka 16 saizi ni mdada mtu mzima kabisa.

Nadhani wengine wanakuwa na roho ya kuridhika tu, na kama mnaishi nae vizuri anakuwa ni part ya familia, regardless
 
Daaahhh kweli mkuuu....yaaaan wenye nyumba wengi Mara nyingi hawataki housemaids wao wawe ma familia...sasa usiombe km ni housegirl achumbiwe na jamaa mtanashati ,HB ,,anamawe ..mamaaaaaaaaaaweeeee ...mama wanyumba yupo tayar aliwe yeye lkn Mdada wawatu asipate.
Mkuu huenda una hadithi nzuri juu ya hili hebu tueleze
 
Back
Top Bottom