SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 7,495
- 7,099
Soma tena ulichoandika.60% za content zilizopo kwenye internet zipo in English,
So waweza jua maarifa mengi yapo kwa lugha gani
Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi.
Inafikirisha Sana hili jambo.
Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Naelewa ila kutokana na ulichoandika ilibidi iwe intelligence na sio intelligent.
Nakuelewa, na ndio maana nimesema huo ni mjadala tofauti/mwingine.Hakuna aliyebisha, mimi naongelea katika mazingira ambayo elimu ya juu inatolewa kwa kiingereza, utasemaje umesoma na huijui lugha inayotumika kufikisha elimu husika kwa wanafunzi?
Unataka tuishi kama karne ya nane,? Mzee dunia ipo tayari on motion, kuna vitu vikikupita huna haja ya papara zako,Soma tena ulichoandika.
Maarifa hayapo kwenye Lugha.
Wale wa Timbuktu walijua vipi kuhusu utambuzi wa sayari? Walikuwa wanajua Kiingereza?
Ukienda kwa wa Aztec au Waborijino wa New Zealand n.k ambao walikuwa na maarifa mengi hata ya nyoka gani ana sumu gani na jinsi ya kupata antidote kwa sumu zao.... walikuwa wanajua kiingereza? Walioata maarifa kwa Kiingereza.
Itoshe, hata mchina mrusi au mtanzania akitaka kupata maarifa anaweza kupata kwa lugha yake.
Unataka kusema wewe hauna maarifa na akili kwa sababu hujui Kichina?
Kwahiyo mkuu umegoma kabisa kukubali hamna kitu kama Level of intelligent?Ndo hivyo endelea kujifunza utaelewa part of speech
Side effects za dumu Fabio hizo so uta-upgrade taratibu.
Kwahiyo mkuu umegoma kabisa kukubali hamna kitu kama Level of intelligent?
Basi acha Chaliifrancisco hebu njoo na ule mkitabu wa grammar
Unaweza ukajua kingereza Ila kukiongea ikawa shida, kazi IPO pale paleNB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Una maanisha nini?Unataka tuishi kama karne ya nane,?
Kwamba wewe ndio unijuze hayo? Tulia. Wacha upuuzi.Mzee dunia ipo tayari on motion, kuna vitu vikikupita huna haja ya papara zako,
Kakudanganya nani? Manake huo ni uwongo. Umepumbazwa. Fact.Language of sky ni English, language ya hospital ni English, so unaweza kuta ni kiasi gani English imetawala,
?? Wacha upuuzi. Ndio ulitaka kusema nini hapo?Hata kwa kiswahili utapata maarifa ila ni maarifa gani ?
Labda niseme kwa kiingereza. You're showing a coginitive dissonance.Unataka maarifa ya space utapata kwa kiswahili? Vipi kuhusu medical knowledge?
Ni kweli kabsa, ukiangalia dunia kwa sasa maisha yetu ya kila siku yanatawaliwa na china, kama kuna nchi haijui kiingereza au kichina wananchi wake wanapata taabu sana ya maisha.English ni lugha ya hela. Kuifahamu tu vizuri tayari ni hatua muhimu kwenye mapambano dhidi ya umaskini. Hata nchi zinazozungumza kifaransa kwa sasa zinapambana kujua kiingereza. Wakongo wengi kwa sasa wanahakikisha watoto wao wanaimudu lugha ya malkia. Hata kiswahili nacho kwa huu ukanda wetu kinazidi kushika kasi. Majirani hasa wa SADC wanapambana sana kukijua.
Sawa mkuuSoma hapa chini usipende kukosoa usichokijua angalia muktadha MTU alitaka au alimaanisha nini usikariri utachelewa kuelewa mambo jikiklte katika kuelewa.
Both phrases, "level of intelligent" and "level of intelligence," are grammatically correct.
However, the usage may depend on the context.
- "Level of intelligent" could refer to evaluating an individual's level or degree of being intelligent. For example, "John's level of intelligent exceeds everyone else in his class."
- On the other hand, "Level of intelligence" is a more commonly used phrase when discussing or describing the amount or degree of intelligence in general. For example, "The level of intelligence required for this job is quite high."
Tunatumia lugha ya kiingeleza toka kidato cha kwanza hadi vyuo vikuu na vingine vya kawaida.Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama Naomi.
Inafikirisha Sana hili jambo.
Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
NB : vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Kuna uhusiano mkubwa kati ya uchumi wa nchi na lugha yake.Ni kweli kabsa, ukiangalia dunia kwa sasa maisha yetu ya kila siku yanatawaliwa na china, kama kuna nchi haijui kiingereza au kichina wananchi wake wanapata taabu sana ya maisha.
Kwa Tanzania, Kama unasomea kada ya kugha, elimu itatolewa kwa lugha unayobobea. Ila kama ni kada nje ya lugha, utafundishwa kwa Kiingereza tu..Nakuelewa, na ndio maana nimesema huo ni mjadala tofauti/mwingine.
Naomba kuuliza kabla sijaendelea.
Elimu ya juu inatolewa kwa kiingereza peke yake?
Elimu ya Juu ndio nini? Na ni nani anayetoa elimu hiyo?
Aliyekurekebisha yuko sahihi. Kubali kujifunza.Intelligent ni Adjective
Mtu mwenye akili huitwa intelligent na intelligence ni nomino
Elewa,
Kumrekebisha mtu ambae anafanya makosa huku yeye akiamini 100% kuwa yupo sawa sio kazi rahisi.Kwahiyo mkuu umegoma kabisa kukubali hamna kitu kama Level of intelligent?
Basi acha Chaliifrancisco hebu njoo na ule mkitabu wa grammar