kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 17,659
- 21,868
shughuli yake sio yahapa akivurugwaMtata sana huyu
Ova
shughuli yake sio yahapa akivurugwaMtata sana huyu
Ova
India wanafuga nyati majiWataalamu waje watusaidie hilo je nyati wa India ni tofauti na nyati wa Tanzania ? Kiasi kuwa kule India waweza fugika majumbani?
Unazungumza nyati maji sio huyo anayesemwa hapaHao Nyati hata huku wapo nenda Mpwapwa na Tabora yule mjeshi Warden alikuwa nao ila sio hawa pure Nyati.
Usichanganye nyati na faruUkiona tu pua ilivyo na pembeni zake hutatamani kumfuga. Akikufukuza ujifanye unapanda kwenye mtu, mwamba anakojolea mkia wake na anakurushia mkojo ukiwa juu ya mtu. Mkojo unavyowasha utadondoka nae atakumaliza. Ni WA kufuga??
Simba ni paka ,pamoja na ugumu akifugwa Toka utoto maelekezo hua anafata bilashidaMkisema nyati hafugiki ni jeuri, mbona simba na ubabe wake anafugwa na maliasili huwa tunamuona pale kwenye maaonyesho ya sabasaba dar? Vipi kuhusu chui naye anafugika?
nyati akiwa pekeake ,mana yake kunahatari tayari alishakutana nayo hivyo kaeskepu ,hivyo Kila atakaye mwona kwake msositena ni heri ukutane na kundi la nyati wengi porini, lakini usiombe ukutane na nyati akiwa peke yake... na pia anatabia ya kuvamia kwa kushtukiza
Simba sio poa Mungu mwenyewe anajiita SIMBA WA YUDA sio Chui wala nyati wa yudaWatu wamekariri simba simba simba.
Kipori pori simba ni paka mkubwa tu,kula yake ni ya shida na shuruba nyingi,tofauti na anvyoonekana ni mnyama asiyejiamini kabisa,ndio maana unaweza mkimbiza na akakimbia,usijefanya hii kwa chui ama nyati usijaribu kabisa wala kuwaza.
Ujasiri wa chui angekuwa na umbo kubwa kama la simba,hakuna mnyama angemsumbua.


chui ni hatari, huyu sio wa kumfanyia masihara kabisa kabisa.. ukitaka kujua kwamba hanaga muda wa mazoeaWatu wamekariri simba simba simba.
Kipori pori simba ni paka mkubwa tu,kula yake ni ya shida na shuruba nyingi,tofauti na anvyoonekana ni mnyama asiyejiamini kabisa,ndio maana unaweza mkimbiza na akakimbia,usijefanya hii kwa chui ama nyati usijaribu kabisa wala kuwaza.
Ujasiri wa chui angekuwa na umbo kubwa kama la simba,hakuna mnyama angemsumbua.
uzuri wa faru ni kwamba hayupo vizuri kwenye ku sight (kuona) isipokuwa anafuata harufu, hivyo ni mzuri sana wa kujua na kufuata harufu na ndio maana sehemu yenye faru huwa watu wanaenda against na upepo... huyu nae dakika mbili tu anakupeleka aheraNyati ukimkuta kajitenga peke yake porini usimkaribie ni hatari zaidi ya hatari tofauti akiwa katika kundi pamoja na wenzake.
Wanayama wawili porini ambao muda wote wao wana hasira ni Kifaru (faru) na Nyati.
Hatari yao kubwa ni pembe zao zilizochongoka ila mbaya zaidi ni kifaru na wanakimbia balaa
Unachanganya Nyati na Ng'ombe maji sijui takataka gani! Ila Mzee wa Ngwasuma hafugiki! Ile ngoma acha tu, kidogo initoe roho Lake Manyara..hakuna mdudu mkorofi, jeuri kama yeye! Wewe usipomuona sio issue yake ye anakuwinda! Unaweza kukaa umetulia kumbe anakulia timing, mnyama mnduku sana huyo!India Nyati wanafugwa kama ng'ombe tu na wafugaji wa kawaida tu vijijiji na huwatumia kulima mashambani na kukokota mikokoteni ya mizigo
Waweza pishana nao kibao wakichungwa na kijana mdogo tu kupelekwa malishoni
India hata tembo wanafugwa majumbani vijijini na hutumika kwa kazi mbalimbali za kilimo na kubeba mizigo na hata kuwatumia kama punda .mtu anapanda tembo anaenda aendako
Umelinganisha mambo pasipo ulinganifu. Tofauti na hao uliowataja nyati mahitaji yake hayatofautiani na ng'ombe.Nadhani kutunza jamaa yako ni kazi kweli kweli kiasi cha kuweza kutumia kuliko anachoweza kuzalisha. Si huyo tu. Iko wapi zoo ya twiga, tembo au fisi?
Si kweli. Nyati hana ushirikiano kama ng'ombe. Hivyo, mahitaji yake kiulinzi ni mzigo mkubwa so to speakUmelinganisha mambo pasipo ulinganifu. Tofauti na hao uliowataja nyati mahitaji yake hayatofautiani na ng'ombe.
BalaaaaaaNyati mkorofi
Huyu mungu alijua kumkomesha hizo pembe zingikuwa zimechongeka kuangalia mbele yaani simba wangekuwa wanakufa sana.Hapo predator kama simba ambao ndio adui wao mkuu,wakimkuta hivi wanakosa hata pa kuanzia na wakijifanya kulianzisha watakula kwanza tope hadi liishe hilo ,ndio vingine vifuateView attachment 2586814