Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,563
- 3,203
Na washangaa mnavyopotoshana tu juzi Kati MWANAJESHI aliyekuwa anachukua mafunzo awali ya ukomando ngere ngere morogoro kasafirisha na nyati Tena nyati jike na anakatoto kadogo nyati bado anaendelea na maisha yake
