Kwanini hakuna ugaidi China?

Kwanini hakuna ugaidi China?

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
22,767
Reaction score
36,318
Habari za jioni wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa nikijiuliza sana kwamba pamoja na China kuwa ni taifa ambalo limenyanyasa sana waislamu ambao wengi wao wanatokea jimbo la magharibi mwa nchi Tianjeng, ambapo ripoti kadhaa za umoja wa mataifa 2016 ziliripoti kuwa waislam zaidi ya million 1 wamehamishiwa kwenye makambi huku wakiitwa magaidi na wakipata mateso mazito pamoja na ukatili mwingine wa kinyama sasa najiuliza kwanini sijasikia nchi za kiarabu zikipiga kelele au makundi ya kigaidi kama ISIS au Al qaeda kufanya mashambulizi huko china au hata balozi za china maeneo mengine duniani?? Ambapo ni tofauti kabisa kama tulivyozoea kwamba nchi zinazokandamiza waislam hasa mataifa makubwa lazima yakumbane na mashambulio ya kigaidi!!! Najua humu kuna wataalam wa siasa za kimataifa ningeomba mnisaidie na hili swali.

SOURCE:BBC
UN alarmed at China 'detention camps'

Cc Malcom Lumumba chige JokaKuu Richard Wick
 
China mwaka 2010 karibia na olimpik ya beijing kulitokea mlipuko by then nilikuwa shangai walikufa nafikir watu wawili. Kingine ni kuwa hiz nchi za kikomunist hasa china mambo yao mengi ni siri mbaya kabisa. Ni vigum yawe waz. Mfano ukitoa ile miji ambayo iko ki international zaid ukienda miji mingi hakuna chanel za kiingereza ni kichina tena kile cha mandarin so wale ni wazee wa kufukia sana mambo yao.
Ukija nje ya china ni kuwa serikali ya china nje ya nchi yao hawajishulishi na mambo ya nchi nyingine kama kukemea tawala katili au haki za binadam au mambo kama hayo wao wanadeal na maslah yao tu. Wewe kama ni mtawala flan katika nchi flan hata kama unaua watu wako lakin kwao maadam wanaweza kukusainisha mikataba yao ya kukupiga hayo mengine kwao sio kipaumbele. Sasa ukija wazungu sivyo pamoja na kwamba nao wanatupiga lakin ukikiuka haki zaid wanakugeuka. Kingine usisahau wazungu na waarabu wana vita yao ya kidini waliopigana miaka mingi na waislam walishindwa so huu ulimwengu unaendeshwa katika mfumo ambao ni kama wakizungu flan ambao kwa waislam wanauona kama mfumo kristo so kila nyakat kunaibuka vikundi vikiwa na ndoto ya kuurudisha ule mfumo wao wanaamin ni mfumo kiislam na wanawaona wazungu kama ndio kikwazo kwao so ndio kunatokea mambo hayo ya ugaid wa kulazimisha wao wasikilizwe nk.so kwa kifupi ugaid haitaisha utaendelea kuwepo maadam bado wanaamin mfumo uliopo sio unawakilisha dini au jamii zao.
 
Media zinasimamiwa na serikali 100% hivyo kila kinacholushwa kipo under Serikali......West wao wapo kibiashara matukio mabaya kama majanga ugaidi vita nk ni rahisi kuvuta watazamaji wengi basi pia hiyo ni fursa ya matangazo ya biashara na faida kubwa kwao na kumbuka hawapo chini ya serikali ni tasisi huru
 
Inawezekana kweli wanacontrol kinachorushwa kama habari ila kuna nchi nyingi tu za kiarabu ambazo ubalozi wa china upo kiasi ukifanyiwa shambulizi dunia nzima itajua hata kma china itaficha ila bado sijawahi sikia hata jiwe limerushwa ilihali marekani,uingereza au ufaransa zikikosea kidogo tu wanakutana na hasira za magaidi

Why
 
Sababu ya msingi kabisa! Hivi yale mapigano yasiyoisha huko Morogoro yameishia wapi? Mleta mada ajiulize hilo swali.
Vipi kuhusu balozi zao zilizopo uarabuni... Hata maandamano tu sijawahi ona ina maana hao waislam hawayaoni mateso ya wenzao?? Mbona israel inavyomistreat wapalestina huwa tunaona jinsi magaidi wanavyowatandika kama kule argentina n.k ila not china??
 
Inawezekana kweli wanacontrol kinachorushwa kama habari ila kuna nchi nyingi tu za kiarabu ambazo ubalozi wa china upo kiasi ukifanyiwa shambulizi dunia nzima itajua hata kma china itaficha ila bado sijawahi sikia hata jiwe limerushwa ilihali marekani,uingereza au ufaransa zikikosea kidogo tu wanakutana na hasira za magaidi

Why
mkuu ugaidi ni mtaji wa wazungu kuingiza wizi na uzandiki wao,china hakuna ugaidi sababu china hufuata mkataba tu akishapata anafanya kilichomleta.lakini ugaidi au vita ya wenyewe kwa wenyewe ni kitongozeo cha kuanzisha pakuibia.
 
china hata akitokea gaidi akaua kijiji kizima unaweza usisikie.
kumbuka yale maandaman ya wanafunzi hadi leo haieleweki walikufaje na waliuwawa wangapi.Media Sensorship iko juu.
 
China mwaka 2010 karibia na olimpik ya beijing kulitokea mlipuko by then nilikuwa shangai walikufa nafikir watu wawili. Kingine ni kuwa hiz nchi za kikomunist hasa china mambo yao mengi ni siri mbaya kabisa. Ni vigum yawe waz. Mfano ukitoa ile miji ambayo iko ki international zaid ukienda miji mingi hakuna chanel za kiingereza ni kichina tena kile cha mandarin so wale ni wazee wa kufukia sana mambo yao.
Ukija nje ya china ni kuwa serikali ya china nje ya nchi yao hawajishulishi na mambo ya nchi nyingine kama kukemea tawala katili au haki za binadam au mambo kama hayo wao wanadeal na maslah yao tu. Wewe kama ni mtawala flan katika nchi flan hata kama unaua watu wako lakin kwao maadam wanaweza kukusainisha mikataba yao ya kukupiga hayo mengine kwao sio kipaumbele. Sasa ukija wazungu sivyo pamoja na kwamba nao wanatupiga lakin ukikiuka haki zaid wanakugeuka. Kingine usisahau wazungu na waarabu wana vita yao ya kidini waliopigana miaka mingi na waislam walishindwa so huu ulimwengu unaendeshwa katika mfumo ambao ni kama wakizungu flan ambao kwa waislam wanauona kama mfumo kristo so kila nyakat kunaibuka vikundi vikiwa na ndoto ya kuurudisha ule mfumo wao wanaamin ni mfumo kiislam na wanawaona wazungu kama ndio kikwazo kwao so ndio kunatokea mambo hayo ya ugaid wa kulazimisha wao wasikilizwe nk.so kwa kifupi ugaid haitaisha utaendelea kuwepo maadam bado wanaamin mfumo uliopo sio unawakilisha dini au jamii zao.
Siri ya Ugadi wanaijua Marekani. Kama hao magaidi wanatetea waislam kwanini wasiende Palestinina au Burma?
 
Habari za jioni wana JF, kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa nikijiuliza sana kwamba pamoja na China kuwa ni taifa ambalo limenyanyasa sana waislamu ambao wengi wao wanatokea jimbo la magharibi mwa nchi Tianjeng, ambapo ripoti kadhaa za umoja wa mataifa 2016 ziliripoti kuwa waislam zaidi ya million 1 wamehamishiwa kwenye makambi huku wakiitwa magaidi na wakipata mateso mazito pamoja na ukatili mwingine wa kinyama sasa najiuliza kwanini sijasikia nchi za kiarabu zikipiga kelele au makundi ya kigaidi kama ISIS au Al qaeda kufanya mashambulizi huko china au hata balozi za china maeneo mengine duniani?? Ambapo ni tofauti kabisa kama tulivyozoea kwamba nchi zinazokandamiza waislam hasa mataifa makubwa lazima yakumbane na mashambulio ya kigaidi!!! Najua humu kuna wataalam wa siasa za kimataifa ningeomba mnisaidie na hili swali.

SOURCE:BBC
UN alarmed at China 'detention camps'

Cc Malcom Lumumba chige JokaKuu Richard Wick
Kwani Tanzania kuna ugaidi?
 
Siri ya Ugadi wanaijua Marekani. Kama hao magaidi wanatetea waislam kwanini wasiende Palestinina au Burma?
Iko hiv bro
Ni kama ulivyokuwa unamsikia ponda enz zile analalamikia waislam wananyanyaswa na mfumo kristo cjui nini so wazungu wakikuta sehem wanahtaji kitu au wamenyimwa maslah yao wakikutana na watu kama hao wanawatafuta waislam wenzao na kuwapamp kuwa kweli mnanyanyaswa then wanawafinace ndio ugaid unazaliwa hivyo. Lakin lazima ujue waislam wanataman kuwa na impire ubwa kama ya wakristo yaan wanataman nao wawe na marekan yao na huko nyuma ilikuwepo ile ya Ottoman sasa mzungu akaisambaratisha so kwenye mindset za waislam wengi ni kuwa mhimili wa yote hayo masaibu yanayowakuta mpaka lile la palestina ni kwasababu ya wazungu hasa marekan so wana hasira ila hawana nguvu. So kwao china sio kipaumbele ni wazungu
 
Kama ni hivyo kwanini Ugadi asilimia kubwa ufanyike kwenye nchi ambazo tayari zina utawala wa kiislam.
1.Somalia kulikuwa kuna serikali ya umoja wa mahakama za kiislam Al-Shabab wakaupindua
2.ISIS, AL-QAIDA Wamejazana Syria Saudia na Iraq ambazo ni nchi za kiislam
3.Boko Haram wanateka wanafunzi kutoka shule ambazo majority ni muslims.
Ukitazama Al Jazeera utaona kila siku Ugadi unatokea nchi ambazo ni za kiislam je ni mfumo kristo upi wanaotaka kuutoa ilhali tayari wapo katika mfumo Islam.
Kuhusu kurudisha Empire za Kiislam utawezekana vipi ikiwa Saudia(muislam) Anampiga Yemen(muislam)?
 
china hata akitokea gaidi akaua kijiji kizima unaweza usisikie.
kumbuka yale maandaman ya wanafunzi hadi leo haieleweki walikufaje na waliuwawa wangapi.Media Sensorship iko juu.
Je kwenye balozi zao huko uarabuni ikitokea shambulio wanaweza ficha?? Au hata kwenye biashara za wachina au uwekezaji wao uliotapakaa sana nchi za kiarabu je huko wataweza kuficha?
 
Kwani Tanzania kuna ugaidi?
Kwani kuna waislam million 1 ambao wamewekwa kwenye makambi ya mateso?? Hapa nakumbuka wakati inadaiwa mahakama ya Kadhi yaliibuka makundi huko zanzibar na bara kuanza kusbambulia viongozi wa kidini wote tuliona tension ilivyokuwa kubwa lakini cha kushangaza china ambako jimbo la kiislam linateswa na UN ishapiga kelele sana kwa miongo mingi ila sioni nchi za kiarabu/kiislam zikija juu au hata al qaeda kulipiza kisasi

Hapo ndipo najiuliza nakosa majibu
 
mtoa mada kuna kitu ujajifunza jirani asiyekufanyia visa huna haja ya kumchukia je umewahi sikia china kuna magaidi kadhaa wamefanya shambulio kama hujawahi sikia sasa inakuaje ukamuhukum mtu dhambi asiyokufanyia
Mkuu nimeweka hapo link kuna ripoti ya UN yenye ushahidi kwamba huko China kuna waislam million 1 wanateswa kwenye makambi. China haijakana hyo ripoti bali imesema "imewabadilishia makazi wenye misimamo mikali"..... Ikimaanisha tukio ni la kweli sasa basi cha kujiuliza mbona sioni nchi za kiislam kama Iran zikipiga kelele na mbona makundi ya kigaidi sijasikia yakilipua makazi ya wachina huko uarabuni au hata balozi zao ama hata ndani ya uchina yenyewe???

Hapo ndipo pananitatiza
 
Back
Top Bottom