KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,153
wewe unaweza kucheka ki u mbea mbea?
Wadau mimi niko na swali kwa muda mrefu limenikaa kichwani na kinywani pia!hivi kwanini hakunaga mtangazaji wa kipindi cha taarab wa kiume?hii ni kote kote kwenye tv na redio stations zote bongo?au ajira hizo zinztolewa kwa upendeleo kwa kina mama tu au kuna shida gani hapa tujue kama shida ni kwa kina baba tuwasaidie kama kwa kina mama tufunguke ....kwanini ni kina gea,mishi,dida,miriam migomba,vai mzindakaya n.k.
mbona mzee yusuf anaweza
Sasa huyu ni mtangazaji?
Ukishapewa kuwa mtangazaji wa kidolejuu umbea hata kama ni bbc ungeona kama ni usawa wa beijing? unaonaje km wakipata wao tu, unapungukiwa na nn? Migodi yetu ya dhahabu na wanyama wetu wanaibiwa cc tunashindania kutangaza taarab je, ni sawa na cc tuamue kutolewa mahali na kuolewa basi ili usawa wa bin Adamu uwepo? Kijana shindania mabo ya msingi kama kusiwepo na viti vya upendeleo bungeni kupunguza gharama ta matumizi yasiyo ya lazima na kama mwanamke anataka viti apiganie kama wote tukiwa shule tunasoma kwann kuwepo upendeleo, je wasipokuwepo unadhani mambo hataenda sw?
tubuni ya maana na cyo rusha roho, au uliomba kazi hiyo ukanyimwa?
unamfahamu isa kibajaji..
kwa sababu wasikilizaji wengi wa vipindi hivyo ni wanawake
lugha yao wanaelewana
weeeee!
Mbona kenya wapo kibao...redio citezen kuna 1 anaitwa Hassan Mwana wa Ally anatazangaza mara nying sana,anatoka pande ya mombasa,kw wanafutilia matangazo ya mpira ya citzen radio pia anatangaza mara nying akiwa na Mwemedi Juma Njuguna,Torome Tirike 'double T' na Vicent Atea..
kwa hiyo kwa vile tunaibiwa dhahabu haya mengine tuyakalie kimya..?Ukishapewa kuwa mtangazaji wa kidolejuu umbea hata kama ni bbc ungeona kama ni usawa wa beijing? unaonaje km wakipata wao tu, unapungukiwa na nn? Migodi yetu ya dhahabu na wanyama wetu wanaibiwa cc tunashindania kutangaza taarab je, ni sawa na cc tuamue kutolewa mahali na kuolewa basi ili usawa wa bin Adamu uwepo? Kijana shindania mabo ya msingi kama kusiwepo na viti vya upendeleo bungeni kupunguza gharama ta matumizi yasiyo ya lazima na kama mwanamke anataka viti apiganie kama wote tukiwa shule tunasoma kwann kuwepo upendeleo, je wasipokuwepo unadhani mambo hataenda sw?
tubuni ya maana na cyo rusha roho, au uliomba kazi hiyo ukanyimwa?
Hapana,ni nani huyo?
weeeee!
Mbona kenya wapo kibao...redio citezen kuna 1 anaitwa Hassan Mwana wa Ally anatazangaza mara nying sana,anatoka pande ya mombasa,kw wanafutilia matangazo ya mpira ya citzen radio pia anatangaza mara nying akiwa na Mwemedi Juma Njuguna,Torome Tirike 'double T' na Vicent Atea..