Fafanua.1. Maadili
2. Utamaduni
Explaine with vivid example these point above
Fafanua.1. Maadili
2. Utamaduni
Explaine with vivid example these point above
Naweza kuelewa hilo suala la pili. Kuna dada zenu wana maumbile kama wazungu hawana tako wala nini ila wakivaa inakuwa tafraniWazungu wengi hawana matako makubwa mazuri au umbo la kubana bukta au chupi au mahips kama waafrika, hivyo hata akivaa unamuona kama mwanaume tu, ila wako wazungu wachache sana wamejaliwa makalio au matako makubwa mashallaah mashallaah, hao hawawezi vaa vibukta hadharani, waafrika wana shape wengi are very attractive..!!
Suala la pili ni mila, kwa mila za kizungu ni kawaida kuvaa hivyo, ila mila zetu hasa Tanzania ni aibu sana mwanamke kuvaa bukta mtaani anatembea, ataonekana mhuni au yuko uchi..!!
Ha ha ha hawana maajabu, Ila, paja la kiafrika ni hatari lina tuvitu vitu hahaKwanini wanawake wa kizungu wanaweza kuvaa vikaptula au nguo fupi sana zinazoacha sehemu kubwa ya maungo yao wazi na wakatembea mitaa kama ya Kariakoo bila shida yoyote au kusumbuliwa na Wanaume wa kibongo tofauti na Wanawake weusi wa kibongo ambao wakivaa hivyo wanapata kila aina ya usumbufu kutoka kwa Wabongo wenzao weusi.
Yani Mwanamke wa kizungu anaweza kupita hata amavaa boxer Kariakoo na hakuna atakayempigia miluzi, kelele, kumsonga au kumvuta tofauti kabisa na mwanamke wa kibongo ambaye akipita hivyo lazima mtaa mzima uvurugike kama wehu, wendawazimu au watu wenye mapepo na clips za huyo mwanamke zitapandishwa mitandaoni kujadiliwa!
... White is fashionWanawake weusi wazuri,watamu,warembo.Ukiwa na mwanamke mweusi raha sana.Na kila akizidi weusi,raha inazidi.Black is beauty.
Wee Dr Lizzy weee acha mambo yako bhana 😄 unataka watu watembee uchiHuo utamaduni wa kuvaa nguo mlitoa wapi kama sio kwa wageni??🙄
Suala sio kuvaa nguo, suala ni kujisitiri...kipindi cha nyumba hatukuvaa nguo hizi but watu walivaa magome ya miti, nguzi...etc...Huo utamaduni wa kuvaa nguo mlitoa wapi kama sio kwa wageni??
Labda uzungumzie utamaduni wa Kitanzania, lakini sio wa Ki-Africa au wa Kibantu.1.Sio tamaduni zetu kuwaona mama zetu, dada zetu, watoto wetu wa kike wakitembea mapaja na ma.t..k..nje. ( Hatujazoea)....
2.Maumbile ya wanawake wa kiafrika na wazungu tofauti sana..huku kuna..weusi wanavutia sana...
3.Hata huko kwao...wanawake weusi na baadhi ya wazungu wanamaumbo ya kuvutia...Sema wameweka sheria kali sana...watu wanaona wakae tu kimya..kwa nini kujitafutia kesi wakati mapaja na ma..t..ko ni ya kwake..
Mpaka miaka ya 1960' Marekani baadhi ya majimbo kutembea uchi au hivo vichupu ilikua marufuku...miaka ya late 70' 80' 90' ndo kutembea uchi publically kumeshamiru
Mwisho hata huko Ulaya kama si maeneo ya starehe mfano beaches n.k..still utakuta asilimia kubwa wanavaa vizuri tu..vichaa sio wote
Asantreeeeee
Kawaulize waliokulea.UTamaduni wetu ni upi kuhusu mavazi?
zamani walikuwa wanapata raha sana hakuna kuvaa nguo mkikutana na mikasi tu bila kucheleweshana.na hakuna sheria mambo ya ubakaji ni wewe na nguvu zako tu unakula mzigo.Huo utamaduni wa kuvaa nguo mlitoa wapi kama sio kwa wageni??🙄
Watu weusi huwa mnapenda kujifarijiiWazungu hawana mvuto. Wala msisimuko, sio hapa hata huko kwao wanavaa hivyo na hawana mzuka.
🤣🤣🤣Wee Dr Lizzy weee acha mambo yako bhana 😄 unataka watu watembee uchi
Yalikua yanafunika mwili mzima???Suala sio kuvaa nguo, suala ni kujisitiri...kipindi cha nyumba hatukuvaa nguo hizi but watu walivaa magome ya miti, nguzi...etc...