imeshapitishwa hiyo,tunasubiri katiba mpya tuhalalishe.
Gwanda haliwezi kuwa fazi la taifa kwa sababu itakuwa ni vigumu sana kutofautisha na vazi la askari MgamboKwa sababu utaifa hauna chama. Gwanda lina wakilisha chama fulani wakati vazi la taifa lina takiwa liwakilishe makundi yote au mengi ya jamii. Kwa hiyo gwanda haliwezi kuwa vazi la taifa kama vile ambavyo shati la njano na kijani haliwezi kuwa vazi la kitaifa.
Nafikiri tusiendelee kutumia pesa na muda mwingi kutafuta Vazi la Taifa wakati kuna vazi ambalo naliona lipo tofauti sana na vazi lolote ktk nchi za Kiafrica ambalo ni Gwanda. Linafaa sana kwasababu hakutakua na haja ya kushona suti zenye gharama kubwa. Naomba kuwasilisha...
wakati mwingine mbowe akivaa gwanda anaonekana kama mgambo

Hii inazidi kuonyesha jinsi baadhi ya Wana'chadema walivyo na akili finyu kama ilivyo kwa baadhi ya wabunge wao,eti gwanda lipo tofauti na vazi lolote katika nchi za ki'africa,yaani hata hujui kama vazi hilo linafanana na yale mavazi ya Wana'mgambo wa LR Army wanaongozwa na Rebel Kony na Boko Haram,yaani vazi linaloshabihiana na mavazi ya "Boko Haram" ndo unapendekeza liwe vazi la Taifa,are U serious?
Na ndio nia yetu hasa, au wewe ulitaka Kamanda Mbowe aonekane kama nani, shoshti?
Mmekazana mgambo mgambo, NDIO. Tukiwa wote kama wangambo ndio rasilimali zetu hazitaibiwa. Sasa kwa kuwa mmekuwa wakaidi, nitaweka amri moja MURUA kabisa:
Sisi makamanda tutavaa GWANDA na nyie msiotaka kuonekana kama mgambo mtavaa khanga ili muendelee na umbea wenu vibarazani kuwa kuwa mgambo ni aibu. Kudadadeki zenu, hapa inayotuchelewesha ni katiba tu
Kamanda wangu wasikutishe hawa hawana lolote. We subiri 2015 ndo watachagua kuvaa kanga ama gwanda.