Kwa sababu utaifa hauna chama. Gwanda lina wakilisha chama fulani wakati vazi la taifa lina takiwa liwakilishe makundi yote au mengi ya jamii. Kwa hiyo gwanda haliwezi kuwa vazi la taifa kama vile ambavyo shati la njano na kijani haliwezi kuwa vazi la kitaifa.
wakati mwingine mbowe akivaa gwanda anaonekana kama mgambo
....ujinga huu,sio anaonekana kama mgambo ni mgambo tu,akili finyu ya wanasiasa chwala ya kulinganisha vazi la taifa na vazi la vikundi halamu vya alkaeida..kweli mkipewa nchi mtaweza kama mnatoa maoni kama haya ya kijinga?
Nilitaka nikujibu vikali lkn kuangalia ID yako nimekusamehe. Nikiwa na akili timamu, sitarajii Muha awe na akili za kuona vitu kwa uhalisia wake. Maoni ya kijinga ni kama haya yako uliyeshindwa kuona kuwa watu hapa wamefanya utani tu. Mishipa ya koo imekutoka mwenyewe ukaona unagawa dozi, haya labda nikuulize; nani alikwambia kuwa muanzisha mada ni sehemu ya uongozi wa nchi?
Mimi kwa maoni yangu, serikali ya CCM iache hii dhambi ya kuusahau mkoa wa Kigoma. Ni funza waliotafuna miguu ndio wameathiri mpk ubongo. Cha pili itabidi niwaletee BANGI kutoka Tarime kwa babu yangu muamshe vichwa hivyo. Asubuhi chai na chikichi na mwilini mnajipaka hayo hayo mawese, tutemegee nini?
Halafu mtani, kesho sema HARAMU sio HALAMU, sawa?
Salam kwa Maha, Muhehe, Bonabucha, Chobanga na Zehe, ah na Luyagaza pia.
Vipi watanzania wakikubalina na hilo?????? Kumbuka kauli ya Mwalimu "......Kitendo chochote kilichoamuliwa na wengi, ni kitendo cha kimaendeleo, hata kama hakiongezi shibe wala afya......"
Haya mamie mwali, weye ungependa tuvae nini eti?
Nafikiri tusiendelee kutumia pesa na muda mwingi kutafuta Vazi la Taifa wakati kuna vazi ambalo naliona lipo tofauti sana na vazi lolote ktk nchi za Kiafrica ambalo ni Gwanda. Linafaa sana kwasababu hakutakua na haja ya kushona suti zenye gharama kubwa. Naomba kuwasilisha...