Kwanini GST haitoi onyo juu ya matetemeko?

Kwanini GST haitoi onyo juu ya matetemeko?

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
7,529
Reaction score
22,252
Nchini saivi kuna matetemeko yanatokea mara kwa mara, leo yenyewe limepita moja hapa nilipo.

Kwanini hakuna taarifa rasmi kutoka kwa chombo husika au wataalam wetu wako likizo?
Au mpaka maafa yatokee ndio mjitokeze?
 
Back
Top Bottom