Kwanini Google inawaonea waTanzania hivi??

komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
2,187
Points
1,500
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
2,187 1,500
mi mwnywe naona ...labda ni vile wazungu wanaowaonea vile wao wana practise ujamaa...
naona sisi capitalist tumepewa favour sana karibia kila kitu...hata GDP yao iko sawa na ya egypt...
 
Chamoto

Chamoto

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2007
Messages
3,503
Points
2,000
Chamoto

Chamoto

JF-Expert Member
Joined Dec 7, 2007
3,503 2,000
Lakini Google si watu wazuri
Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiri au kutokujua google inavyofanya kazi. Ni dhahiri huelewi hata "latent semantic indexing" ni nini. Kiufupi ni teknolojia inayotumiwa na google algorithms kutoa relevant search engine result pages (SERP ).

"Neural network analysis" ambayo imekuwa ni core architecture ya google algorithms kwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni tofauti na ile ya zamani iliyoitwa "Pagerank" au "link analysis" imekuwa ina favors results kutokana na kitu kinaitwa "social response" na geo targeting (geographic position).

Social response based algorithms zinaangalia zaidi "user generated content sites" kama Facebook, JF, Youtube, Instagram n.k kuona nani yuko wapi na anaongea nini.

Kwa lugha rahisi google hutoa SERP kutokana na mahali ulipo, sasa wewe umeona hiyo 67.9% poverty rate ukakurupuka na kuja kuanzisha mada. Usichokijua ni kuwa google imekupa hiyo SERP kwa kuwa imebaini (baada ya kufanya Neural network analysis) kuwa wakenya wanafurahia kuisema vibaya Tanzania na results hizi zitakuwa more favorable kwa mtu aliye Kenya. Kwa ushamba wako ukadhani kila mtu duniani aki google "tanzania poverty rate" atapata results kama zako.

Keyword hiyo hiyo, niki search hapa Marekani napata results tofauti kabisa kwa kuwa google inajua watu wa hapa hawana shida na Tanzania kwa hiyo results za google zinakuwa unbiased.

Utaona kwenye results zangu hapo chini inaonesha tofauti na zako, umasikini ukiwa 49.1% kwa mwaka 2011 kutoka 55.1% mwaka 2007. Kwa trend hiyo inamaanisha kwa mwaka huu, 2019 umasikini utakuwa umepungua zaidi kama page ya worldbank inavyothibitisha hapo chini.

screenshot_2019-05-15-tanzania-poverty-rate-google-search-png.1098107
 
fareed uziel

fareed uziel

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2015
Messages
423
Points
250
fareed uziel

fareed uziel

JF-Expert Member
Joined May 27, 2015
423 250
Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiri au kutokujua google inavyofanya kazi. Ni dhahiri huelewi hata "latent semantic analysis", teknolojia inayotumiwa na google algorithms kutoa relevant SERP (search engine result pages) ni nini.

"Neural network analysis" ambayo imekuwa ni core architecture ya google algorithms kwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni tofauti na ile ya zamani iliyoitwa "Pagerank" au "link analysis" imekuwa ina favors results kutokana na kitu kinaitwa "social response" na geo targeting.

Social response based algorithms zinaangalia zaidi "user generated contents" sites kama Facebook, Youtube, Instagram n.k kuona nani anaongea nini kuhusu kitu fulani na yuko wapi.

Kwa lugha rahisi google hutoa SERP kutokana na mahali ulipo, sasa wewe umeona hiyo 67.9% poverty rate ukakurupuka na kuja kuanzisha mada. Usichokijua ni kuwa google amekupa hiyo SERP kwa kuwa inajua, baada ya kufanya "Neural network analysis", kuwa wakenya wanafurahia kuisema vibaya Tanzania na results hizi zitakuwa more favorable. Kwa ushamba wako ukadhani kila mtu duniani aki google "tanzania poverty rate" atapata resaults kama zako.

Keyword hiyo hiyo, niki search hapa Marekani napata results tofauti kabisa kwa kuwa google inajua watu wa hapa hawana shida na Tanzania na results za google zinakuwa sahihi zaidi.

Utaona kwenye reults hapo chini inaonesha umasikini ni 49.1% kwa mwaka 2011 kutoka 55.1% mwaka 2007 ikimaanisha kuwa kwa mwaka huu 2019 itakuwa imeshuka sana.

View attachment 1098107
Asante kwa ufafanuzi mkuu
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
2,187
Points
1,500
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
2,187 1,500
hahahaaaa...kwhyo ukiwa marekani ukim search rais wa north korea itatoa data tofauti kuliko yule jamaa aliye i search akiwa kenya....kwel elimu ya tanzania ni majanga
 
wilson255

wilson255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
229
Points
250
wilson255

wilson255

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
229 250
Kitu ingine hawajuagi ni kuwa google ni search ingine, inatoa taarifa kutoka blogs mbalimbali, hawajui kuwa hata mm naeza fungua blog Yangu nikaandika uwongo alafu ukaingia google ukaisearch ukaipata,
 
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
6,701
Points
2,000
Mr. MTUI

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
6,701 2,000
Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiri au kutokujua google inavyofanya kazi. Ni dhahiri huelewi hata "latent semantic indexing", teknolojia inayotumiwa na google algorithms kutoa relevant SERP (search engine result pages) ni nini.

"Neural network analysis" ambayo imekuwa ni core architecture ya google algorithms kwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni tofauti na ile ya zamani iliyoitwa "Pagerank" au "link analysis" imekuwa ina favors results kutokana na kitu kinaitwa "social response" na geo targeting.

Social response based algorithms zinaangalia zaidi "user generated contents sites" kama Facebook, JF, Youtube, Instagram n.k kuona nani yuko wapi na anaongea nini.

Kwa lugha rahisi google hutoa SERP kutokana na mahali ulipo, sasa wewe umeona hiyo 67.9% poverty rate ukakurupuka na kuja kuanzisha mada. Usichokijua ni kuwa google amekupa hiyo SERP kwa kuwa imebaini, baada ya kufanya "Neural network analysis", kuwa wakenya wanafurahia kuisema vibaya Tanzania na results hizi zitakuwa more favorable. Kwa ushamba wako ukadhani kila mtu duniani aki google "tanzania poverty rate" atapata results kama zako.

Keyword hiyo hiyo, niki search hapa Marekani napata results tofauti kabisa kwa kuwa google inajua watu wa hapa hawana shida na Tanzania na results za google zinakuwa unbiased.

Utaona kwenye results hapo chini inaonesha umasikini ni 49.1% kwa mwaka 2011 kutoka 55.1% mwaka 2007 kwa trend hiyo inamaanisha kwa mwaka huu, 2019 umasikini utakuwa umepungua zaidi.

View attachment 1098107
vilaza tu ndo ambao hawatakuelewa
 
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Messages
11,696
Points
2,000
mkorinto

mkorinto

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2014
11,696 2,000
Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiri au kutokujua google inavyofanya kazi. Ni dhahiri huelewi hata "latent semantic indexing" ni nini, teknolojia inayotumiwa na google algorithms kutoa relevant SERP (search engine result pages).

"Neural network analysis" ambayo imekuwa ni core architecture ya google algorithms kwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni tofauti na ile ya zamani iliyoitwa "Pagerank" au "link analysis" imekuwa ina favors results kutokana na kitu kinaitwa "social response" na geo targeting (geographic position).

Social response based algorithms zinaangalia zaidi "user generated contents sites" kama Facebook, JF, Youtube, Instagram n.k kuona nani yuko wapi na anaongea nini.

Kwa lugha rahisi google hutoa SERP kutokana na mahali ulipo, sasa wewe umeona hiyo 67.9% poverty rate ukakurupuka na kuja kuanzisha mada. Usichokijua ni kuwa google imekupa hiyo SERP kwa kuwa imebaini (baada ya kufanya Neural network analysis) kuwa wakenya wanafurahia kuisema vibaya Tanzania na results hizi zitakuwa more favorable kwa mtu aliye Kenya. Kwa ushamba wako ukadhani kila mtu duniani aki google "tanzania poverty rate" atapata results kama zako.

Keyword hiyo hiyo, niki search hapa Marekani napata results tofauti kabisa kwa kuwa google inajua watu wa hapa hawana shida na Tanzania na results za google zinakuwa unbiased.

Utaona kwenye results zangu hapo chini inaonesha tofauti na yako, umasikini ukiwa 49.1% kwa mwaka 2011 kutoka 55.1% mwaka 2007 kwa trend hiyo inamaanisha kwa mwaka huu, 2019 umasikini utakuwa umepungua zaidi kama page ya worldbank inavyothibitisha hapo chini.

View attachment 1098107
Umeshawahi kuweka 4k video kwenye itel ya gb 1,storage???, ndio hiki umefanyia wakenya leo.

Hayashiki kitu.
 
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2018
Messages
2,187
Points
1,500
komora096

komora096

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2018
2,187 1,500
MKORINTO...gb 1 ni nn?
google data za uongo huaga ni tanzania tu...na chamoto usitufanye km hatujawai toka nje ya nchi bana
 
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
7,217
Points
2,000
Age
26
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
7,217 2,000
hahahaaaa...kwhyo ukiwa marekani ukim search rais wa north korea itatoa data tofauti kuliko yule jamaa aliye i search akiwa kenya....kwel elimu ya tanzania ni majanga
I never know you people don't know these things, am shocked, the searching results are different geographically and other sorts of cyber technicalities ni kama trending feeds kwenye social media, do you think YouTube Trending videos of Kenya are exactly the same as Tanzania?

Fool go school
 
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Messages
3,294
Points
2,000
Mkikuyu- Akili timamu

Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2018
3,294 2,000
Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiri au kutokujua google inavyofanya kazi. Ni dhahiri huelewi hata "latent semantic indexing" ni nini, teknolojia inayotumiwa na google algorithms kutoa relevant SERP (search engine result pages).

"Neural network analysis" ambayo imekuwa ni core architecture ya google algorithms kwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni tofauti na ile ya zamani iliyoitwa "Pagerank" au "link analysis" imekuwa ina favors results kutokana na kitu kinaitwa "social response" na geo targeting (geographic position).

Social response based algorithms zinaangalia zaidi "user generated contents sites" kama Facebook, JF, Youtube, Instagram n.k kuona nani yuko wapi na anaongea nini.

Kwa lugha rahisi google hutoa SERP kutokana na mahali ulipo, sasa wewe umeona hiyo 67.9% poverty rate ukakurupuka na kuja kuanzisha mada. Usichokijua ni kuwa google imekupa hiyo SERP kwa kuwa imebaini (baada ya kufanya Neural network analysis) kuwa wakenya wanafurahia kuisema vibaya Tanzania na results hizi zitakuwa more favorable kwa mtu aliye Kenya. Kwa ushamba wako ukadhani kila mtu duniani aki google "tanzania poverty rate" atapata results kama zako.

Keyword hiyo hiyo, niki search hapa Marekani napata results tofauti kabisa kwa kuwa google inajua watu wa hapa hawana shida na Tanzania na results za google zinakuwa unbiased.

Utaona kwenye results zangu hapo chini inaonesha tofauti na yako, umasikini ukiwa 49.1% kwa mwaka 2011 kutoka 55.1% mwaka 2007 kwa trend hiyo inamaanisha kwa mwaka huu, 2019 umasikini utakuwa umepungua zaidi kama page ya worldbank inavyothibitisha hapo chini.

View attachment 1098107
😂😂😂 hii inaitwa technical knockout(TKO) wewe hakika hauendi mbinguni😂😂😂
 
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
2,920
Points
2,000
Age
32
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
2,920 2,000
Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiri au kutokujua google inavyofanya kazi. Ni dhahiri huelewi hata "latent semantic indexing" ni nini. Kiufupi ni teknolojia inayotumiwa na google algorithms kutoa relevant search engine result pages (SERP ).

"Neural network analysis" ambayo imekuwa ni core architecture ya google algorithms kwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni tofauti na ile ya zamani iliyoitwa "Pagerank" au "link analysis" imekuwa ina favors results kutokana na kitu kinaitwa "social response" na geo targeting (geographic position).

Social response based algorithms zinaangalia zaidi "user generated contents sites" kama Facebook, JF, Youtube, Instagram n.k kuona nani yuko wapi na anaongea nini.

Kwa lugha rahisi google hutoa SERP kutokana na mahali ulipo, sasa wewe umeona hiyo 67.9% poverty rate ukakurupuka na kuja kuanzisha mada. Usichokijua ni kuwa google imekupa hiyo SERP kwa kuwa imebaini (baada ya kufanya Neural network analysis) kuwa wakenya wanafurahia kuisema vibaya Tanzania na results hizi zitakuwa more favorable kwa mtu aliye Kenya. Kwa ushamba wako ukadhani kila mtu duniani aki google "tanzania poverty rate" atapata results kama zako.

Keyword hiyo hiyo, niki search hapa Marekani napata results tofauti kabisa kwa kuwa google inajua watu wa hapa hawana shida na Tanzania na results za google zinakuwa unbiased.

Utaona kwenye results zangu hapo chini inaonesha tofauti na yako, umasikini ukiwa 49.1% kwa mwaka 2011 kutoka 55.1% mwaka 2007 kwa trend hiyo inamaanisha kwa mwaka huu, 2019 umasikini utakuwa umepungua zaidi kama page ya worldbank inavyothibitisha hapo chini.

View attachment 1098107
Huu ni uonevu!! Umemfanya jamaa aonekane bado yupo chekechea (vidudu)
 
Forum statistics

Threads 1,296,165
Members 498,559
Posts 31,236,940
Top