Kwanini Google inawaonea waTanzania hivi??

Tatizo lako ni uwezo mdogo wa kufikiri au kutokujua google inavyofanya kazi. Ni dhahiri huelewi hata "latent semantic indexing" ni nini. Kiufupi ni teknolojia inayotumiwa na google algorithms kutoa relevant search engine result pages (SERP ).

"Neural network analysis" ambayo imekuwa ni core architecture ya google algorithms kwa miaka ya hivi karibuni ikiwa ni tofauti na ile ya zamani iliyoitwa "Pagerank" au "link analysis" imekuwa ina favors results kutokana na kitu kinaitwa "social response" na geo targeting (geographic position).

Social response based algorithms zinaangalia zaidi "user generated content sites" kama Facebook, JF, Youtube, Instagram n.k kuona nani yuko wapi na anaongea nini.

Kwa lugha rahisi google hutoa SERP kutokana na mahali ulipo, sasa wewe umeona hiyo 67.9% poverty rate ukakurupuka na kuja kuanzisha mada. Usichokijua ni kuwa google imekupa hiyo SERP kwa kuwa imebaini (baada ya kufanya Neural network analysis) kuwa wakenya wanafurahia kuisema vibaya Tanzania na results hizi zitakuwa more favorable kwa mtu aliye Kenya. Kwa ushamba wako ukadhani kila mtu duniani aki google "tanzania poverty rate" atapata results kama zako.

Keyword hiyo hiyo, niki search hapa Marekani napata results tofauti kabisa kwa kuwa google inajua watu wa hapa hawana shida na Tanzania kwa hiyo results za google zinakuwa unbiased.

Utaona kwenye results zangu hapo chini inaonesha tofauti na zako, umasikini ukiwa 49.1% kwa mwaka 2011 kutoka 55.1% mwaka 2007. Kwa trend hiyo inamaanisha kwa mwaka huu, 2019 umasikini utakuwa umepungua zaidi kama page ya worldbank inavyothibitisha hapo chini.

View attachment 1098107
Mkamate sana elimu usimwache aende zake. Hongera mkuu
 
Mkuu uongo wako huo!! Tofauti yako na yeye ni website zilizokuja na data. Wewe Wikipedia yeye The Borgen project. Hata mimi hapa niki google kwenye Wikipedia itakuja kama yako. Acha kupotosha

Hiyo "niki google kwenye Wikipedia" ndiyo nini?
 
Command google itoe results za Wikipedia kama priority. Andika *Tanzania poverty rate wikipedia*
Kumbe unaongelewa conditional search kama hii site:wikipedia.com Tanzania poverty rate. Hiyo haiwezi toa results sawa na zile general search term.
 
Kwa hiyo umeelewa kuwa jamaa percent zake hazijaangalia location bali source ya data?
 
Hujaelewa mpaka saa hizi. 67% ni majibu ya website inaitwa The Borgen project. Ile 49% ya Chamoto ni ya Wikipedia. Hapo google location ime decide where to fetch the data na sio accuracy ya data
MBONA hata Chamoto haja Command?
nimegugo poverty Kenya Ina niletea 67 %
na Bila command yeyote
 
It's social engineering, some people have tricked google into believing that the word idiot and Trump are synonymous.
Hehe it seems that knowledge or information now has a gatekeeper, and the gatekeeper(Google) decides who gets it and at what location..Even the very basic power of deciding what is True or false has been handed over to google, they decide
 
You're admitting to not knowing much about search.

You really think google will tell the truth about their business secrets on the website? Your naivety is beyond measure.
What you are stating is pure speculation not fact and I have worked for google kenya while our IT and communication Cabinet secretary was the head of Google in east africa. I worked there for 4 years and no such thing ever existed. In fact we took the same mantra of "Don't be evil" in the Kenyan office and i apply it now in my company. Does google have a lot of data on people? Yes. Do they use it for anything nefarious like spreading misinformation based on region? NO.
 
And you really believed in "don't be evil" slogan? You're so naive, so easily deceived.
 
Hehe it seems that knowledge or information now has a gatekeeper, and the gatekeeper(Google) decides who gets it and at what location..Even the very basic power of deciding what is True or false has been handed over to google, they decide
You got that right, Christopher Steiner wrote a book called "Automate this how algorithms came to rule our world", check it out.
 
See! You're not keen enough... Google results is full of third party ads placed as normal search results, how is that not evil?
If you did not know that is their business, i expected that to be self evident, or else you would have to pay for it. Using a person's search history to sell ad space is neither nefarious nor criminal, or else google and facebook would not be huge companies today. I do a similar thing with shops where i collect information from my point of sale (which is free), and i then use the information of their sales to do consumer behavior analysis and i sell that information to manufacturers where is the crime in that? even movies , TV and radio do native advertising difference with google is that google will actually show you that this is an advertisement
 
See! You're not keen enough... Google results is full of third party ads placed as normal search results, how is that not being evil?
I think google is very secrectly "evil" just not openly biased..
There was this case of Google suppressing search engines from rivals and paying manufacturers to pre install its own search engine in android devices..👇👇👇
Intresting story, they paid $5b for unfair practises

Similar Discussions

Back
Top Bottom