Kwanini French speaking African nations ndio zina vita tu?

French-speaking countries sio french-colonies wadau.. Burundi, Rwanda speak french despite being ruled by the Belgium

Kwa swali lako jibu ni moja tu hizo nchi nyingi hapo masheikh ni wengi ndio maana vita haziishi huko. Unajua hawa watu hata wakiwa wao pekee nchi nzima kama Somalia bado hawaelewanu


Taratibu mkuu, kwa hio Burundi, Rwanda, Zaïre (D R Congo ), Afrika ya Kati, Congo Brazzaville Waislamu wengi ? Unaweza kutupa % ya hao MASHEIKH japo ya wikipédia kaka?
 
mmh.., naogopa kukubali moja kwa moja. labda chambua evidence kwa mifano hai ya nyongeza..

Kabla ya kuondolewa Ujerumani, Tanganyika ilikuwa mpaka wake na Belgian Congo ( leo ni DR Congo) Rwanda n'a Burundi zilikuwa ni ardhi za Tanganyika. Aliposhindwa Mjerumani vita ya Kwanza ya dunia , Wakaigawa Tanganyika, vikamegwa vile vipande na kipewa Ubelgiji , kwa hio Ubelgiji akawa n'a makoloni matatu, Congo DR , Rwanda n'a Burundi ( ambayo yalimegwa kutoka Tanganyika). Pia Mjerumani alipoteza makoloni yake yalobakia , Namibia akapewa kaburu ,
Wabelgiji wanaongea lugha gani?

Wanaongea lugha Tatu, kubwa ni mbili , kaskazini ya Ubelgiji lahaja za kiflamish ingawa lugha rasmi ya kaskazini ni kiholanzi (kidachi), kusini wanaongea Kifaransa 95% n'a Kijerumani 5% .
Zamani Kifaransa kilikuwa na nguvu sana ndio maana ikawa lugha ya kikoloni kwenye nchi walizotawala.
 
Na Wengi ni waislamu,Wanasema Alah kawaambia watawale Makafiri lakini kawanyima elm duniya.

Angalia boko Haram(Waislam) wanaua,wanabaka mama mbele ya mtoto huku wakisema mungu mkubwa,wanatia vitoto vya miaka tisa na kuvipa mimba,alafu wanapinga kila kitu cha magharibi ila wanatumia nguo,silaha,simu ,kondomu ,ARV za magharibi!

Kwa hio wale wanobaka D R Congo huku wakienda makanisani kila jumamosi /jumapili ni Nani ? Kibwetere alichoma kanisa lake na walikuwa wamejaa waumini wake , je Pia ni muislamu ? Au Kony wa Uganda unyama anaowafanyia watu kwa jina la dini ya kikristo , je tusemeje ? Usiangalie majanga ya umma kwa njia ya dini , kwa maana hamna hâta dini moja Kati ya Ukristo na Uislamu isiokosa watu wanaofanya unyama kwa jina la dini.
 
Lugha yenyeqe ukiongea ni vita at personal level
Na wao wenye luhha yao hasi si shwari Macron kakaliakuti kavu
 
Kwa hio wale wanobaka D R Congo huku wakienda makanisani kila jumamosi /jumapili ni Nani ? Kibwetere alichoma kanisa lake na walikuwa wamejaa waumini wake , je Pia ni muislamu ? Au Kony wa Uganda unyama anaowafanyia watu kwa jina la dini ya kikristo , je tusemeje ? Usiangalie majanga ya umma kwa njia ya dini , kwa maana hamna hâta dini moja Kati ya Ukristo na Uislamu isiokosa watu wanaofanya unyama kwa jina la dini.
hizo ni exception cases, let us talk on m,majority
 
1.) D.R.C CONGO - Has seen decades of violence especially in the north-east - French speaking
2.) C.A.R (Central African republic) - Has recently undergone a cope de tat - French speaking
3.) MALI - Recently was taken over by rebels in the Northen part, french troops intervened - French speaking
4.) SIERRA LEONE - has seen conflicts relating to diamond resources- French speaking
5.) IVORY COAST - Recently went through civil war involving laurant Bagbo - French speaking
6.) RWANDA - Has seen its share of violence, allegedly funds M23,gone through genocide - French speaking
7.) BURUNDI - Has seen its share of violence - French speaking
8.) CONGO BRAZAVILLE - Has seen its share of violence - French speaking

Take a look at the non-french speakers.. (After independence)

1.) TANZANIA - Peaceful - Swahili speaking
2.) KENYA - Peaceful - English/Swahili speaking
3.) SOUTH AFRICA - Peaceful -English speaking
4.) NAMIBIA - peaceful - English speaking
5.) ZAMBIA - Peaceful - English speaking
6.) MALAWI - Peaceful - English speaking
7.) MOZAMBIQUE - Peaceful - portuguese speaking
8.) BOTSWANA - peaceful -English speaking
Kwanza, fahamu kwamba Sierra Leone sio French Speaking ni English Speaking kwani ilikuwa ni Imperial British Colony.

Haya mataifa ya "La Francophonie" yana historia ya kuwa na majeshi yasiyo na nguvu sana na yamekuwa yakiitegemea sana Ufaransa kiulinzi tofauti na mataifa yaliyotawaliwa na Uingereza.

Lakini pia usisahau mapinduzi ya kijeshi nchini Nigeria, Ghana, Sierra Leone, The Gambia na Uganda na hata majaribio ktk nchi kama Tanzania 1964 na 1982; Kenya 1982; Zambia 1990.
 
Assimilation policy ndio jibu nililopewa mwaka 2013 wakati naanzisha huu uzi, ni kwamba hata Comoro kuna kisiwa kimeshakuwa assimilated na ufaransa, na wanatumia euro na kuongea kifaransa, kiufupi wanajiona wafaransa, basi kila mtu anataka aende huko hata kucheza soka tu.
Siyo Comoro ni Mayotte. Kipo Km 900+ kutoka Msumbiji. Baada ya kuzinguana na kuona umoja wa Afrika haueleweki wananchi wake wakaamua kupiga kura ya kuwa sehemu ya Ufaransa. Wengi wakashinda na sasa ni kati ya Majimbo ya Ufaransa.
 
Aliye watawala (ufaransa na ubelgiji) waliwapa magitaa na kuwafundisha kuvaa viuzuri na mwisho wa siku wamshtuka madini na mali zimeenda So wanajaribu kugawana wao kwa wao.

hawakuandaliwa kuongoza nchi zao.
 
Back
Top Bottom