walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,796
- 5,520
Hicho kipande unachokizungumzia mkuu hakina vituo maalum na ndio chanzo Cha foleni kwenye hayo maeneoNenda kawasimamie daladala na bajaji wanaosimama na kupakia abiria hovyo bararani vituo vya Kimara, Korogwe, Bucha na Baruti uone Kama kutakuwa na foleni hapo kipande Cha Kibo hadi Kimara.
Kawaambie Askari usalama barabarani waliojazana Bucha kwa Thomas Lymo waache kusimamisha magari ovyo na kusababisha foleni. Waambie tunawaona wanavyopokea Ile ya kung'arisha viatu Toka kwa konda na madereva.
Foleni zingine ni ujinga wa madereva wetu.