Kwanini DSTV ni ghali sana?


He he he he Mzee wa "Exposure"
 

NI GHALI SANA HAPA Tanzania KULIKO MALIPO WANAYOTOZA KWAO SOUTH AFRICA-WATANZANIA WANALIWA.
 
Tatzo wa2 mnatak kulinganisha chui na paka..yaan mnalinganisha nchi zlizowapita kmaendleo kam south na Tz..mfano bei ya iPhone 5 south ni kam laki 9 had 1.M kwa apple agent ila apa bongo ni milion 1.2 na 50 kwa apple agent..uchumi wetu haujafika uko mtakapo wajomba acheni siasa bna..kodi yetu bdo ni tegemeo kubwa la serikali
 
He he he he Mzee wa "Exposure"

Kabisa. Hata wewe unaweza kuwa mzee wa exposure na huo umbulula ukakutoka. Na usipumbazwe na channels za DSTV unashindwa hata kuona unavyoibiwa. Tembea uone wacha kujifungia uvunguni
 

Mkuu unalumbana na 'Wabara' ushamba tu unawasumbua! Siunajua kutoka familia masikini ghafla una pesa za michongo unaanza wadharau watu na kujidai matawi!

Unajadili jambo la msingi kuhusu matumizi holela ya kodi zetu kuwalipia gharama hizi kubwa viongozi wa Serikali,watendaji wa taasisi,maafisa wa juu wa vyombo vya ulinzi na usalama,nk,wao wanakubeza! Hizi ni pesa nyingi anavuna DSTV toka serikalini. Na kwasababu Viongozi hawalipii hawaoni machungu anayokumbana nayo Mtanzania anayeishi kihalali! Ujinga zaidi ya baadhi ya hawa wanaojadili utumbo hapa eti wanajiita wanamageuzi ambao ktk thread nyingine wanapinga matumizi ya hanasa ya serikali!!!
 
Kabisa. Hata wewe unaweza kuwa mzee wa exposure na huo umbulula ukakutoka. Na usipumbazwe na channels za DSTV unashindwa hata kuona unavyoibiwa. Tembea uone wacha kujifungia uvunguni
Nitembee kwenda wapi wakati maisha nayafurahia hapa hapa Bongo? Wewe uliyetembea umebaki na full stress za maisha ndio maana umebaki kulalama na vitu vidogo vidogo.Unashindwa kuona wizi mkubwa unaofanywa hapa Nchini unawatolea macho Multichoice wanaofanya ujasiriamali wao tena wala hujalazimishwa kutumia huduma zao? Hebu niende zangu kununua EXPROLA full HD! Kama vipi vimba mpaka upasuke,DSTV are here to stay! Mshweeeee!!!!
 
Ndio maana nimesema wewe ni mbulula bin IQ seven. Kwani hao watu wanaotalii kila kukicha maisha hawayafurahii kwenye nchi zao? Mimi nalalamika kwa sababu nachukia wizi (uwe mkubwa au mdogo) na huwa sifumbii macho wizi wa aina yoyote! Kwa maoni yako (ulivyo mbulula) kama DSTV ni 1. Wajasirimali 2. wanafanya wizi mdogo mdogo 3. kuna wizi mkubwa serikalini... basi watu wakae kimya na tusiwaseme. Du ndugu yangu shule ulisomea wapi! Mwisho mimi sijakukataza kutumia huduma zao lakini wizi wao lazima tuuhoji.
 
dstv wanyonyaji kama wanyonyaji wengine tukubali tukatae..maana hii nchi kila kitu kinageuza luxury ...kwaajili ya class fulani ..wakati simu zilipoingia issue ilikuwa hivi hivi...kwenye simu sasa wanatuumiza kwenye DATA huku ni balaa la wanajua watanzania wako desparate sana wanaona hawana pakusemea...

DSTV wamemonoply soko la paytv bongo simply ya haki mmiliki yakuonyesha soka kama EPL LA LIGA UCL etc...
nakuwa na tv content kama dsicovery,documentaries,histrory,na premium movies na music tunakubali kwamba wana quality nzuri kama wadau wanavyodai hapa...

jambo jingine wangestandardize bei ambayo inawezekana hasa kwenye mpira ambapo ndio wadau wengi wanaumia..

I wish Azam wapate haki mmiliki ya EPL tu halafu wachaji 50000 per month... (wakiweza kununua hii haki mmiliki) makaburu watashake kama kile kipindi cha gtv...

NYODO ya DSTV ni COORPARATE CUSTOMER hawa wanawalipa malipo kwa mwaka au mwezi sita.. hapo nyie wazee wakipato cha kati lazima mlie
CUSTOMER SERVICES MBOVU ... UNAPIGA SIMU UNALIPIA CUSTOMER SERVICES NA BADO HAWAPOKEI WANAKUSIKILIZISHA MUZIKI TUTAFIKA TU,, ANYWAYS....
 

True mkuu pokea like:thumbup::thumbup:
 

nakubaliana na ww mkuu ...ndo maana niliuliza swali humu kwann ITV waliacha kuonyesha champions league au dtv enz walikuwa wanaonyesha premier league hii yote ts bcoz ya gharama ya kuonyesha hizo mechi....lets jst let dstv iwe DSTV great entertainment ya kutosha
 

naomba ufafanuz wa huyo mzee mkuu
 
naomba ufafanuz wa huyo mzee mkuu

Ami Mpungwe

Ami Mpungwe was Tanzania’s first High Commissioner to South Africa in 1994, capping a distinguished career Tanzania’s diplomatic service. He was instrumental in attracting a large volume of foreign direct investment from South Africa into Tanzania in the mining, telecoms, retail and financial services sectors and continues to be highly sought after as an advisor to government and the private sector on investment policy. Ambassador Mpungwe holds Directorships in several companies including mining, banking, shipping, manufacturing and insurance. He is the current Chairman of the Tanzania Chamber of Minerals and Energy.
 

asantee mkuu
 

Kijana umesoma uchumi wapi? Mbona unatia aibu? Mtanzania analipia bei kubwa kwasababu ya Wizi unaofanywa na Wafanyabiashara kama hawa unaowatetea.
 

Changamsha bongo yako ktk issues kama hizi kwanini DSTV ina haki ya kuonyesha hizo Ligi na bado inatumia nguvu za pesa kuhakikishaTaasisi kama TCRA inazizua Tv stations nyingine zisionyeshe hizo Ligi hata kama wanarusha kupitia Tv washirika wengine. Ni rushwa tu na umasikini na ujinga wa watawala wetu wakiungwa mkono na mtu kama wewe.
 

wewe ambae huungi mkono kipi unefanya juu ya hilo...hahahahaha poleeeeee
 
Kijana umesoma uchumi wapi? Mbona unatia aibu? Mtanzania analipia bei kubwa kwasababu ya Wizi unaofanywa na Wafanyabiashara kama hawa unaowatetea.

Biashara huria hyo wala hulazmishwi kutumia DSTV..unaweza endelea na ving'amuzi vyako vya bei rahis..kuna azam tv,star time,continental etc..ww tu,wala ucumize kchwa na Dstv..
 

Kama una dstv decoder kubadili kwenda explore ni 350$ kama sikosei...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…