Alafu uwe unaangalia channels za HD
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Utajua nini wewe wakati hata mawazo yako yanaonekana ni ya kitumwa tumwa!
Alafu uwe unaangalia channels za HD
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Ni full starehe,HD channels za Super Sport ni balaa,tena uwe na Screen kubwa,unaona mpaka nyasi zinavyong,oka shuti likipigwa.DSTV ni wakongwe wa Digital.
Kuna watu wanashangaza sana,nimemwambia hao DSTV wana packages tofauti tofauti kama ulivyoolezea kwenye moja ya post zako huko nyuma.Yeye anataka premium package wakati uwezo hana,akiambiwa ukweli anaishia kutokwa povu!Mbona wewe unalialia upunguziwe bei ya kuangalia hizo channel za kitumwa?
Kama ni mzalendo nunua Star Times ya Serikali uangalie Chanel zisizo za kitumwa(Itv,Star TV,Clouds TV,TBC,Mlimani TV)
Nafikiria pia kuchange from PVR to EXPROLA! Wengine starehe zingine tumegive up just to make my sitting room very entertaining,weekends ni kukaa kwenye TV switching from One channel to another,raha ya DSTV especially with Premium Package.Yes mkuu and it's more than that just have a look of some of the features. This is DSTV explora bwana. Hiyo decoder ina HDD ya 2 terabytes just for smart recording pia kuna lots of movies kwenye catch up. It's real enjoyment.
Nafikiria pia kuchange from PVR to EXPROLA! Wengine starehe zingine tumegive up just to make my sitting room very entertaining,weekends ni kukaa kwenye TV switching from One channel to another,raha ya DSTV especially with Premium Package.
Kwa tuliopo Bongo tunaipataje hiyo service? Je pana channels zingine kama Documentaries,Movies na Cartoons for kids mbali hizo sports channels?Hakuna cha Dstv wala zuku Mambo yote bein sport chanel zaid ya 10 za hd ligi zote kubwa duniani... dola 300 kwa mwaka
Hakuna cha Dstv wala zuku Mambo yote bein sport chanel zaid ya 10 za hd ligi zote kubwa duniani... dola 300 kwa mwaka
Wana vifurushi vya aina tofauti cha chini kabisa ni Sh. 16,500/= Baada ya hapo kuna cha 33,000/=, 53,000/= , 85,000/= ambacho unapata pamoja na nyingine nyingi pia S3 na S7 na kile cha juu cha 140,000/= ambacho wanatiririsha channels zote. Jiachagulie kulingana na uwezo. Ila kama ni mpenzi wa mpira jichukulie hicho cha 85,000/= Lakini ukweli wanatakiwa washushe bei kidogo. Mimi nyakati zisizo za ligi hasa ya Uingereza huwa natumia hicho cha chini cha 16,500/= na ligi ikianza huwa nahamia hicho cha 85,000/=hivi hawa jamaa wa dstv kwanini bei zao ziko juu sana...ni kodi wanayolipa au nini ? Kama ni kodi wale GTV walikuwa hawalipi kodi ? Mimi sio mpenzi wa mpira na sisemi hivi kwa sababu nimeshindwa kulipia dstv.. basi tu nimekuwa nikijiuliza kwa nini hawa ghali sana..na wanaenda na dola kila siku wanaangalia rate ya dola.. nawaonea huruma wapenzi wa mpira wanavyoteswa na hawa dstv..kila chenye mwanzo kina mwisho ..itafikia tu siku watatafuta wateja na wasiwapate kama ilivyo mabenki sasa na mpesa ,tigopesa...yaani dstv ni kampuni kubwa sio tu tz africa nzima...nadhani hata wakifanya elfu 50,000 tshs kwa kila mteja na bado itawalipa..lakini bei zao za kubagua wasionacho...
hivi hawa jamaa wa dstv kwanini bei zao ziko juu sana...ni kodi wanayolipa au nini ? Kama ni kodi wale GTV walikuwa hawalipi kodi ? Mimi sio mpenzi wa mpira na sisemi hivi kwa sababu nimeshindwa kulipia dstv.. basi tu nimekuwa nikijiuliza kwa nini hawa ghali sana..na wanaenda na dola kila siku wanaangalia rate ya dola.. nawaonea huruma wapenzi wa mpira wanavyoteswa na hawa dstv..kila chenye mwanzo kina mwisho ..itafikia tu siku watatafuta wateja na wasiwapate kama ilivyo mabenki sasa na mpesa ,tigopesa...yaani dstv ni kampuni kubwa sio tu tz africa nzima...nadhani hata wakifanya elfu 50,000 tshs kwa kila mteja na bado itawalipa..lakini bei zao za kubagua wasionacho...
Mbona wewe unalialia upunguziwe bei ya kuangalia hizo channel za kitumwa?
Kama ni mzalendo nunua Star Times ya Serikali uangalie Chanel zisizo za kitumwa(Itv,Star TV,Clouds TV,TBC,Mlimani TV)
Mpenda bwerere wewe! Ukitaka kitu kizuri shurti ugharimike zaidi; Landrover 110 haiwezi kuwa na bei sawa na Discovery 4; wala Jaguar haiwezi kulingana bei na Vitz; katu CR7 na Messi hawawezi kulipwa mshahara sawa na Etoo au the so called Messi wa Simba ya Rage bana weeeee; wacha utani!! please be realistic; hata kama hupendi sports!!
Dstv ndio mpango wenyewe wengine wabangaizaji.
Ukiwa Arusha, Moshi, Mwanza, Zanzibar etc kuna ckampuni huwa zinasambaza hizi huduma kwa cable na wana chenel nzuri tu. Kama ni EPL utafaidi sawa na mwenye DSTV.Cha kushangaza Dar sijawahi ona, sijui kwa nini? Nahisi kuna mkono wa kifisadi hapa
Wana vifurushi vya aina tofauti cha chini kabisa ni Sh. 16,500/= Baada ya hapo kuna cha 33,000/=, 53,000/= , 85,000/= ambacho unapata pamoja na nyingine nyingi pia S3 na S7 na kile cha juu cha 140,000/= ambacho wanatiririsha channels zote. Jiachagulie kulingana na uwezo. Ila kama ni mpenzi wa mpira jichukulie hicho cha 85,000/= Lakini ukweli wanatakiwa washushe bei kidogo. Mimi nyakati zisizo za ligi hasa ya Uingereza huwa natumia hicho cha chini cha 16,500/= na ligi ikianza huwa nahamia hicho cha 85,000/=
Ukiwa Arusha, Moshi, Mwanza, Zanzibar etc kuna ckampuni huwa zinasambaza hizi huduma kwa cable na wana chenel nzuri tu. Kama ni EPL utafaidi sawa na mwenye DSTV.Cha kushangaza Dar sijawahi ona, sijui kwa nini? Nahisi kuna mkono wa kifisadi hapa