Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,732
- 6,632
Hapana, sikubaliani na wewe mkuu. Hiyo sio ''reality'' bali ni ''acting''. Sasa hivi ukienda kwenye website ya DSTV South Africa utakuta bei zao ziko chini kabisa. Hiyo ndio reality na sio vingine. Acha mawazo ya enzi za mawe mtu ana chawa mwili mzima na anakubaliana ha hali.....
Dah !!! Kama ni kweli southafrica dstv wanachaji dola 30 na sisi huku dola 78 sio haki kabisa....😡
cha ajabu channel nyingi za dstv,hawa star times wanazo. Labda ni hiyo hakimiliki ya kuonyesha world cup tu!
Kuna topic iliwahi kuwekwa humu juu ya gharama kubwa wanayotoza hawa DSTV kwa package zake. Nafikiri ni kwa kuwa hawana mshindani. Otherwise hizo gharama haziko justified. Kule North Africa na middle East wanatumia Eljazeera Sports siku hizi inaitwa "be in sports" malipo ni dola 12 kwa mwezi na wanaonyesha channel zile zile za mpira na michezo mingine. Kwa nini hapa kwetu iwe zaidi ya dola 70?
Tiba
Waambie serikali wapunguze kodi,bei ya petrol hapa ni sawa na South Africa?,hujiulizi ni kwa nini?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
DSTV ni habari nyingine! Acheni tu hawa jamaa wawe juu kwa malipo ya mwezi.
Hivi unahabari kuwa ile channel ya CI (170)kama sijakosea hawa jamaa wa DSTV wanailipia kwa mwezi TSHS million 47?
Sasa hapo hawajakuwekea malipo wanayolipia kuonyesha mechi moja ya premium league LIVE tena iwe big match like Arsenal na Man U...aise utakimbia yaani wanawalipa Sky sports ya UK zaidi ya TSHS million 70 kwa kuonyesha hiyo mechi.
Mkuu siyo kweli...na kama ni kweli basi itakuwa ni chini ya compact ambayo hata Dstv ya hapa Bongo wanachaji the same dola 30 lakini eti uniambie premier nakataa hadi asubuhi
naskia gharama za dstv wanayolipia south africa ni tofauti na tanzania
So let's get to solution now. Suggest a way to harmonise those rates between us and south Africa. If you have a better solution you just spit it out.
Hiyo Crime & Investigation ndio imenifanya niwe mtumwa wa Premium package,vipindi kama "The First 48 hrs" "Snapped" bila kusahau Super Sport HD channels na Discovery HD.Nilijaribu kin'amuzi cha Zuku nikajonea michosho tu nikarudi zangu DSTV.Kweli hawa ni wakongwe wa Digitali wengine watasubiri sana lol!DSTV ni habari nyingine! Acheni tu hawa jamaa wawe juu kwa malipo ya mwezi.
Hivi unahabari kuwa ile channel ya CI (170)kama sijakosea hawa jamaa wa DSTV wanailipia kwa mwezi TSHS million 47?
Sasa hapo hawajakuwekea malipo wanayolipia kuonyesha mechi moja ya premium league LIVE tena iwe big match like Arsenal na Man U...aise utakimbia yaani wanawalipa Sky sports ya UK zaidi ya TSHS million 70 kwa kuonyesha hiyo mechi.
Balozi Mpungwe.....Balozi Mpungweee!!!!
Kwa lipi mtakalowafanya hao Multchoice? Kumbuka hata magogoni wanaangalia DSTV sasa kama wao wameridhika wewe utafanya lipi? Isitoshe kuna packages tofauti tofauti umepewa kulingana na uwezo wako,ukitaka starehe kama ya kuangalia Super Sport basi kubali gharama.Hayo ndio mambo sasa... na sio unaibiwa na wewe unamchekea mwizi. Mtandao wao ni mpana na uko deep serikalini. Unajua kuna mashirika mengi ya uma na viongozi wengi wa serikali wanalipiwa gharama na serikali ndio maana hawana uchungu na huu wizi. Mkuu hii post haijaletwa kimakosa kwani kuna mkakati unaandaliwa kuona ni nini cha kufanya. Tusiseme mengi kwani bado ndio ramani zinachorwa... ukifika wakati utaona matokeo.
Kwa lipi mtakalowafanya hao Multchoice? Kumbuka hata magogoni wanaangalia DSTV sasa kama wao wameridhika wewe utafanya lipi? Isitoshe kuna packages tofauti tofauti umepewa kulingana na uwezo wako,ukitaka starehe kama ya kuangalia Super Sport basi kubali gharama.
Dah !!! Kama ni kweli southafrica dstv wanachaji dola 30 na sisi huku dola 78 sio haki kabisa....😡
Utajua nini wewe wakati hata mawazo yako yanaonekana ni ya kitumwa tumwa!
Asante sana Mr. Genius,na tuone ni nini utakifanya,Multichoice are here to stay,huwezi lipia Star times.
Alafu uwe unaangalia channels za HDDSTV ni level nyingine kabisa huwezi fananisha na vinga'muzi vingine aisee. Mfano Ukiwa na PVR EXPLORA aisee mkuu utajua nini nakwambia .......
Pana mtu hapa anataka kudanganya watu eti Thread hii umeletwa hapa makusudi na pana kitu kitafanyika,namuuliza atawafanya nini hao Multichoice? Kama huwezi DSTV lipia Digitek,Star times au Continental.Hii ni biashara huria,mtu hulazimishiw kung'ang'ania ambapo uwezo wako haufiti.Hapana tusidanganye watu jamani viwango vya malipo ya packege za dstv. Vinalingana kwa nchi zote Africa ambako inapatikana coverage ya dstv, ndo maana wanachaji kwa viwango vya usd. Kinacho tuumiza sisi sarafu yetu iko chini sana ukilinganisha na nchi za wenzetu kwa mfano kenya, ndo maana wenzetu wanaonekana wanalipa kidogo kuliko sisi kwa maelezo zaidi tembelea www.dstvmultchoiceafrica.com.