Kwanini Dr. Kikwete anahusishwa na sehemu kubwa ya ufisadi?

Huree nimetoka kwenye ban niliyosababishiwa na ritz juzi mods hawanipendi kweli!! Ngoja nikimbie thread hatarishi Kama hii hamnipati tena!!!!! CDM kwa kwenda mbele

Pole mkuu na karibu tena jamvini. Ukweli hauwezi kuepuka ban endapo utaendelea kusoma post za kina RITZ na REJAO. Thank God mimi niliishawaweka kwenye "Igore list" hivyo sina nafasi ya kusoma post zao. Vichefuchefu vitupu!!!

Tiba
 
Lack of controls...cha kujiuliza ni kwanini tunaruhusu mambo yaende yanavyoenda kama hakuna mwenyewe? Lazima accountability ya haya yote siku moja atabebeshwa mtu fulani....who that person is??
 
Back
Top Bottom