Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,299
- 13,334
Sasa yesu ndiye muasisi wa ukristo? Acha ushamba bwanamimi najua Yesu kazaliwa Israel mengine ni juu yako
Sasa yesu ndiye muasisi wa ukristo? Acha ushamba bwanamimi najua Yesu kazaliwa Israel mengine ni juu yako
Yesu ni Kristo na huyo Yesu amezaliwa Israel.Hahahaaa! Ipo Asia ya magharibi sasa mkuu kwa akili zako ukristo umeanzia Israel?
Yesu ni Kristo.Sasa yesu ndiye muasisi wa ukristo? Acha ushamba bwana
ndo maana nikasema hayo mengine utajua mwenyewe .......kama Yesu Kristo alizaliwa Israel kwa wengine ndo muasisi wa Imani yetu ila kama wewe unasema ukristo umeanzia roma ni sawa pia uamuzi ni wakoSasa yesu ndiye muasisi wa ukristo? Acha ushamba bwana
kavuta asichokiwezaYesu ni Kristo.
Yesu alizaliwa Bethlehem nimji uliopo Palestine ila hawana mamlaka nao.Yesu ni Kristo na huyo Yesu amezaliwa Israel.
Mkuu naona mada yako yenyewe inakupiga chenga.Yesu ni Kristo.
Mimi ni mlutheri naomba niweke wazi kwanza alafu soma hapa kidogo👇 na uniambie ni wapi biblia imeandika yesu alianzisha ukristo labda Nazareth au Jerusalemndo maana nikasema hayo mengine utajua mwenyewe .......kama Yesu Kristo alizaliwa Israel kwa wengine ndo muasisi wa Imani yetu ila kama wewe unasema ukristo umeanzia roma ni sawa pia uamuzi ni wako
nimekuwekea inayoanzia mwanzoni kabisa maana wewe umekataMimi ni mlutheri naomba niweke wazi kwanza alafu soma hapa kidogo👇 na uniambie ni wapi biblia imeandika yesu alianzisha ukristo labda Nazareth au Jerusalem
.
Christianity emerged in the Roman Empire as an offshoot of Judaism during the 1st century CE. Major figures in early Christian history were the Twelve Apostles, disciples of Jesus who recorded and preached his teachings across the Middle East, Europe, Ethiopia, Transcaucasia, and some parts of Asia.
Until the 4th century, Christianity, along with many other religions, was the target of intense persecution by leaders of the Roman Empire. This continued until Constantine the Great converted to Christianity and decriminalized it via the Edict of Milan (313). The First Council of Nicaea followed in 325, a meeting of Christian bishops that established a uniform set of beliefs across the Roman Empire. By 380, the Roman Empire designated Christianity as the state religion.
unaongelea imani ya kikristo ama madhehebu ya kikristo?Mimi ni mlutheri naomba niweke wazi kwanza alafu soma hapa kidogo👇 na uniambie ni wapi biblia imeandika yesu alianzisha ukristo labda Nazareth au Jerusalem
.
Christianity emerged in the Roman Empire as an offshoot of Judaism during the 1st century CE. Major figures in early Christian history were the Twelve Apostles, disciples of Jesus who recorded and preached his teachings across the Middle East, Europe, Ethiopia, Transcaucasia, and some parts of Asia.
Until the 4th century, Christianity, along with many other religions, was the target of intense persecution by leaders of the Roman Empire. This continued until Constantine the Great converted to Christianity and decriminalized it via the Edict of Milan (313). The First Council of Nicaea followed in 325, a meeting of Christian bishops that established a uniform set of beliefs across the Roman Empire. By 380, the Roman Empire designated Christianity as the state religion.
Sasa bi faiza naomba nikuulize swali moja tu na usimung'uny'e maneno Nani ni muasisi wa Uisilamu?
.
Muasisi wa ukristo tunamjua ni Roma.
Egypt na Israel Mkuu.Mkuu dadavua vzuri, ni nchi gani hapa Africa?
Unaweza kuthibitisha kuwa Uislam ulianzia Asia. Maana Uislam upo kabla ya binaadam kuumbwa.
Kwanza neno Kristo maana yake ni mpakwa mafuta, kwa hio huyo mpakwa mafuta azaliwe Israeli na aanze mahubiri hapo halafu huo upakwa mafuta ukaanzie Roma ambako huyo mpakwa mafuta hajawahi kukanyaga kwa mujibu wa Biblia?Mkuu naona mada yako yenyewe inakupiga chenga.
.
Haujui Uikristu "Christianity" ni nini na ulianzia wapi embu Google tusichoshane ukishajua ulianzishwa na nani tafuta vitabu kumi tu ambavyo vilitolewa kwenye Bible uvipitie kwa wakati wako.
wanachanganya hawa ukristo na madhehebu ya kikristo kama ni madhehebu ya kikristo ni sawa yameanzia Roma ila imani ya kikristo imeanzia hapo mashariki ya katiKwanza neno Kristo maana yake ni mpakwa mafuta, kwa hio huyo mpakwa mafuta azaliwe Israeli na aanze mahubiri hapo halafu huo upakwa mafuta ukaanzie Roma ambako huyo mpakwa mafuta hajawahi kukanyaga kwa mujibu wa Biblia?
Kabisa wala hakuna ubishi katika hilo, leta ushahidi hapa kuwa ukristo ulianzia israel wangu huu hapa👇Kwanza neno Kristo maana yake ni mpakwa mafuta, kwa hio huyo mpakwa mafuta azaliwe Israeli na aanze mahubiri hapo halafu huo upakwa mafuta ukaanzie Roma ambako huyo mpakwa mafuta hajawahi kukanyaga kwa mujibu wa Biblia?
Navutiwa sana na watu waungwana kama wewe.Ndg khali'.. suali lako zuri!! Nachukuwa nafasi hii kukufikishia somo la uhakika na maandiko ktk vitabu 105 vyote vya imani!!
FYI.. uislam ni KUSALIM Amri kuwa Mwenyezi Mungu(Allah) ambae NI pekee na Muumba wa vyote..,Sasa siye ktk dini hatusemi Nani muasisi siye tunafuata na kutii maAmrisho ya M/Mungu (Allah).. iliyotumwa kwetu kupitia mitume na manabii AS..
Nabii Ibrahim AS alituita WaIslaam Kama vile wa awali !! Na baada ya miaka kadha... ndipo akaja Mtume na Nabii Muhammad SAW kuongoza Umma Huu wa Sasa kwa mafundisho ya mitume waliyotangulia !! Hivo dini iliyoteremshwa ni ISLAM ktk mifumo yote iwe "musalimu Amri zenu kwa Muumba mmoja"
Wengine wanaitwa Ahlu Al Kitaab !! Hao NI waliyoteremshewa kitabu ktk umma wao na wakati wao maalum!! (Lakino lengo ni kumtii na kumuabudu Meenyezi Mungu mmoja)
Karibu Sana.. bila kinyongo au kukwazana..