Kwanini Dini zote zimetokea au kuanzia Asia?

Wewe turkey mpaka leo hii bado hajakubaliwa kujiunga na jumuiya ya umoja wa ulaya Sasa unaponiambia ziko ulaya nashindwa kuelewa najua timu za mpira za Israel na turkey zinashiriki uefa
Sizingumzii EU mkuu kumbuka urusi nayo ipo ulaya ila haipo kwenye EU (umoja wa ulaya) kama ilivyokuwa kwa Cape verde nadhani haikuwepo kwenye umoja wa afrika ila haimaani haikuwa afrika.
.
Tambua kuanzia leo Uturuki, israel na mrusi ni watu wa ulaya mashariki.
 
Kimabara wanahesabika ulaya au Asia
 
Japo ipo kwenye African plate
stock-vector-plate-tectonics-world-map-with-ma.jpg
 
Saa zingine hua nafikiri kua huenda Dini ilikua moja huko Asia, baada ya hapo zikaanza na zingine kuiga huko huko Asia ndio zikasambaa dunia nzima, Mfano Uyahudi, Uislamu, Uhindu, Ubudha na Ukristo, na dini zote hizo ukisoma kwenye vitabu mwanzo wake ni huko huko Asia.
Unaweza kuthibitisha kuwa Uislam ulianzia Asia. Maana Uislam upo kabla ya binaadam kuumbwa.
 
Back
Top Bottom