Kwanini Dini zote zimetokea au kuanzia Asia?

Sasa bi faiza naomba nikuulize swali moja tu na usimung'uny'e maneno Nani ni muasisi wa Uisilamu?
.
Muasisi wa ukristo tunamjua ni Roma.
Roma siyo muasisi wa ukristo pls,baada tu ya Yesu kupaa na kwenda mbinguni wanafunzi wake walianza kuhubiri habari zake,na hapo ndipo ukristo ulipoanza(Ukristo maana yake ni ufuasi wa kristo)
 
Bidada, yesu alikuwa muumini wa kiyahudi, wanafunzi wa yesu wotee 12 walikuwa wayahudi sasa huo ukristo waliujuaje?
.
Unajua nguvu ya Rumi kwa wakati ule na hata leo acha masikhara wewe.
 
Kwahiyo wakristo sio wafuata mafundisho ya Yesu(wafuasi wa Yesu) au kwamba wameongeza mambo ambayo hayakuwa mafundisho ya Yesu?
 
Back
Top Bottom