Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 782
Mkuu dadavua vzuri, ni nchi gani hapa Africa?Ukristu umeanzia Africa
Mkuu kosa langu sikufafanua vizuri, ni dini kubwa duniani.Mkuu ni dini nyingi ila sio dini zote
Ukristo umeanzia wapiii?😨Saa zingine hua nafikiri kua huenda Dini ilikua moja huko Asia, baada ya hapo zikaanza na zingine kuiga huko huko Asia ndio zikasambaa dunia nzima, Mfano Uyahudi, Uislamu, Uhindu, Ubudha na Ukristo, na dini zote hizo ukisoma kwenye vitabu mwanzo wake ni huko huko Asia.
Mkuu hebu fafanua vizuri umeanzia wapi?Acha kudanganya wajinga Ukristo haujawahi na hautokaa uwahi kuanzia Asia.
Matapeli wa mwanzo kabisa walitokea huko,usishangae sana.Wakuu salama? Nadhani muwazima, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekua nikijiuliza maswali mengi kuhusu dini zetu hapa duniani na sijawahi pata majibu, sasa nimeamua kuleta suala hili hapa ili tuweze kupeana mawili matatu yatakayonifanya niweze kupata ufahamu zaidi.
Hua najiuliza mwenyewe na kujipa majibu mwenyewe ambayo sidhani kama yana usahihi, jibu mojawapo ni kwamba ama kule Asia ndio wanadamu tumeanzia huko halafu tukasambaa Africa, Ulaya, America, na kwingineko, lakini naomba tung'amuane zaidi kwamba ililkuaje?
Nawasilisha, karibuni.
Hapo mashariki ya Kati ni Bara gani?Acha kudanganya wajinga Ukristo haujawahi na hautokaa uwahi kuanzia Asia.
Ukristo haujaanzia mashariki ya kati mkuu acha kujifanya huelewi ukristo umeanzishwa na Roman empire italia! Na kwa kuweka rekodi sawa israel ipo mashariki ya kati ila haiko bara la Asia ipo Europe Syria ipo mashariki ya kati ila haipo Europe.Hapo mashariki ya Kati ni Bara gani?
Ukristo umeanzia ulaya mkuu katika mji wa Roma nchini Italia chini ya utawala wa Roman empire.Mkuu hebu fafanua vizuri umeanzia wapi?
Ukristo haujaanzia mashariki ya kati mkuu acha kujifanya huelewi ukristo umeanzishwa na Roman empire italia! Na kwa kuweka rekodi sawa israel ipo mashariki ya kati ila haiko bara la Asia ipo Europe Syria ipo mashariki ya kati ila haipo Europe.
.
Nakushauri ukasome tena Ukristo ulianzia wapi na hii mada uifutilie mbali au ihariri
Jerusalem iko wapi mkuu? Na yesu wetu Alizaliwa eneo Gan? Fafanua MkuuAcha kudanganya wajinga Ukristo haujawahi na hautokaa uwahi kuanzia Asia.
Kuna Jerusalem mbili moja iko upande wa Palestine na nyingine Israel.Jerusalem iko wapi mkuu? Na yesu wetu Alizaliwa eneo Gan? Fafanua Mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
ipo Ulaya bisha kwa hoja yata turkey ipo ulaya pengine hujui na hiliMkuu Israel iko Bara gani eti?
Wewe turkey mpaka leo hii bado hajakubaliwa kujiunga na jumuiya ya umoja wa ulaya Sasa unaponiambia ziko ulaya nashindwa kuelewa najua timu za mpira za Israel na turkey zinashiriki uefaipo Ulaya bisha kwa hoja yata turkey ipo ulaya pengine hujui na hili