Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 782
Wakuu salama? Nadhani muwazima, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimekua nikijiuliza maswali mengi kuhusu dini zetu hapa duniani na sijawahi pata majibu, sasa nimeamua kuleta suala hili hapa ili tuweze kupeana mawili matatu yatakayonifanya niweze kupata ufahamu zaidi.
Hua najiuliza mwenyewe na kujipa majibu mwenyewe ambayo sidhani kama yana usahihi, jibu mojawapo ni kwamba ama kule Asia ndio wanadamu tumeanzia huko halafu tukasambaa Africa, Ulaya, America, na kwingineko, lakini naomba tung'amuane zaidi kwamba ililkuaje?
Nawasilisha, karibuni.