Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?

php labda ni kwasababu soko la Tz linataka hivyo...
PHP haina complication nyingi pia ni secure kwa namna fulani kuitumia kuna mitego unaweza ukafunga kuifanya iwe secure kwa watumiaji kwenye zile if and if else na OOP ukijua kucheza nayo mchezo umeisha connect database push mzigo, ingawa pia Ina mapungufu yake
 
Nimeona hata kwenye mitihani ya programming ya recruitment secretariat, maswali ya php ni mengi, kuliko maswali ya programming languages zingine... Ikifuatiwa na java
 
Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?

Habari wana JF!

Ukiangalia websites nyingi hasa za hapa kwetu utaona zimetengezwa kwa kutumia php kwenye server side! Je kwanini developers wengi Tanzania wanapendelea kutumia PHP wakati kuna languages nyingine nyingi tu ambazo wangeweza kutumia kama...

Python(django, flask) inatumika na makampuni makubwa kama Quora, instagram, linkedln, Mozilla, Google(Youtube), IBM

Javascript (Node Js) inatumika na Microsoft, Mozilla

Ruby (RoR) inatumika na Twitter, bloomberg

Na nyingine nyingi tu!!

JF imetengenezwa kwa php, websites zote za serikali zote zimetengenezwa kwa php n.k.

Mgunduzi wa Quora (ambaye pia alikua anafanya kazi facebook) katika moja ya interview zake alisema, kama Facebook ingekua inaanza miaka hii basi wasingetumia PHP!!

Kwanini basi developers wengi Tanzania wanapenda kutumia php na sio python(django, flask, tornado) au ruby (RoR)??
Shida inakuja wa hadhiri wengi program languages wanazozijua ni za kizamani, nakumba jamaa Angu mmoja, alifanya system project yake kwa python language, walimu wote walimuogopa kumuuliza maswali ya semantic, wakabaki TU wanampigia jamaa makofi
 
Nimeona hata kwenye mitihani ya programming ya recruitment secretariat, maswali ya php ni mengi, kuliko maswali ya programming languages zingine... Ikifuatiwa na java
Recruitment secretariet ni mtihani gani hiyo mkuuu 🤔
 
Shida inakuja wa hadhiri wengi program languages wanazozijua ni za kizamani, nakumba jamaa Angu mmoja, alifanya system project yake kwa python language, walimu wote walimuogopa kumuuliza maswali ya semantic, wakabaki TU wanampigia jamaa makofi
Daaaah nimecheka kama fala 😂😂😂😂😂

Aseee eti walimuogopa 😁😁😁
 
Reason kubwa ni availability ya hosting worldwide php inakuwa hosted kirahisi zaidi kwa cost ndogo even company zinazo toa huduma ya hosting ni nyingi kwa lugha ya php
 
Nlisikia kuna sponsorship yakusoma certification za security ni kweli?
Yes ni kweli kama ww ni kichwa wahindi wanakupeperusha mambele chapu after 3rd year watu wanatoka kishenzi ni ukomavu wako tu

Na uzuri kila mwaka wanachukua kama 70 - 80 wanafunzi hawawajazi wengi

Hivyo uhakika wa kazi upo mi ni 1st year ndo nimeeingia semester ya 2 mwezi huu katikati hapa
 
Shida inakuja wa hadhiri wengi program languages wanazozijua ni za kizamani, nakumba jamaa Angu mmoja, alifanya system project yake kwa python language, walimu wote walimuogopa kumuuliza maswali ya semantic, wakabaki TU wanampigia jamaa makofi
Mbona python ndo rahisi zaidi kujifunza Sasa kuliko php
 
Back
Top Bottom