Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,922
- 5,626
😀😀😀Kumbe ndo weye wa enzi zile na nyuzi zile zile? Haya basi mimi sipendi ligi, hivyo nitafuta post yangu ktk uzi huu.Kwanza bado mfandisha Pascal au mshaacha??
Niliuliza kutaka tu kujua ndugu!!
😀😀😀Kumbe ndo weye wa enzi zile na nyuzi zile zile? Haya basi mimi sipendi ligi, hivyo nitafuta post yangu ktk uzi huu.Kwanza bado mfandisha Pascal au mshaacha??
Niliuliza kutaka tu kujua ndugu!!
Na nyie mnatumia php?Drupal developers karibuni www.vanniglo.co.tz
No wala sio mimi!! na wala siko hapa kwa ajili ya ligi niko kwa ajili ya kujifunza!😀😀😀Kumbe ndo weye wa enzi zile na nyuzi zile zile? Haya basi mimi sipendi ligi, hivyo nitafuta post yangu ktk uzi huu.
😀😀😀Mkuu umeni-intimidate ili nijione mnyonge badala kujibu hoja yangu. Na mimi nguvu za kubishana sina, hivyo nakuachia uwanja utiririke.No wala sio mimi!! na wala siko hapa kwa ajili ya ligi niko kwa ajili ya kujifunza!
Nikutakie kila la heri ndugu, ila pia huko madarasani hata kama mnafundisha php pekee ila muwe mnawaambia duniani haiko php peke yake ziko nyingine sio wanatoka chuoni na kukomaa na php tu!!😀😀😀Mkuu umeni-intimidate ili nijione mnyonge badala kujibu hoja yangu. Na mimi nguvu za kubishana sina, hivyo nakuachia uwanja utiririke.
Ok, cool!No sijamaanisha hivyo! Huo ulikua ni mfano tu kiongozi!
Nadhani kuna notion ambayo si sahihi kuwa mtu akifanya kazi katika Big Techies za SV basi anakuwa Techie Leader. I beg to differ on that. Kuwa Facebook au Google, et al inakupa upper hand ya kuwa na tools available kwenda mbali. Lakini haiufanyi automatically uwe Tech Leader. Pili unaweza kuwa leader wa Lugha moja na usiwe authority kwenye nyingine. Mfano, Guid VR akisema kitu kwenye Python au Matsumoto kwenye Ruby inabidi utege sikio vizuri. Its likely kuna kikubwa cha kusikiliza. Lakini hao hao wakija kwenye let say PHP ni watu wa kawaida sana maana sio authority huko.Uko sahihi, lakini ni mmoja wa watu waliokua wanafanya kazi kama top technical leaders,
Swali ni je, kwanini baada ya kuondoka facebook hakuenda kutumia php aliyokua ameizoea kwenye kazi zake akiwa fb?
Asante mkuu kwa kuendelea kunitisha, by the way, sipo tena chuoni. Nipo Msanga nalima matikiti maji na mananasi, huenda ndo maana sijajua kama kuna scripting language mpya zimegunduliwa hivi karibuni.😛😛. Karibu kwenye kilimo, kinalipa kuliko kukesha na code huku mtoto wa watu kalala peke yake kitandani😉.Nikutakie kila la heri ndugu, ila pia huko madarasani hata kama mnafundisha php pekee ila muwe mnawaambia duniani haiko php peke yake ziko nyingine sio wanatoka chuoni na kukomaa na php tu!!
What's wrong with using PHP..?Kwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?
Habari wana JF!
Ukiangalia websites nyingi hasa za hapa kwetu utaona zimetengezwa kwa kutumia php kwenye server side! Je kwanini developers wengi Tanzania wanapendelea kutumia PHP wakati kuna languages nyingine nyingi tu ambazo wangeweza kutumia kama...
Python(django, flask) inatumika na makampuni makubwa kama Quora, instagram, linkedln, Mozilla, Google(Youtube), IBM
Javascript (Node Js) inatumika na Microsoft, Mozilla
Ruby (RoR) inatumika na Twitter, bloomberg
Na nyingine nyingi tu!!
JF imetengenezwa kwa php, websites zote za serikali zote zimetengenezwa kwa php n.k.
Mgunduzi wa Quora (ambaye pia alikua anafanya kazi facebook) katika moja ya interview zake alisema, kama Facebook ingekua inaanza miaka hii basi wasingetumia PHP!!
Kwanini basi developers wengi Tanzania wanapenda kutumia php na sio python(django, flask, tornado) au ruby (RoR)??
Hahahhaa!Asante mkuu kwa kuendelea kunitisha, by the way, sipo tena chuoni. Nipo Msanga nalima matikiti maji na mananasi, huenda ndo maana sijajua kama kuna scripting language mpya zimegunduliwa hivi karibuni.😛😛. Karibu kwenye kilimo, kinalipa kuliko kukesha na code huku mtoto wa watu kalala peke yake kitandani😉.
Wabongo bana, yeye ameuliza swali na wewe unauliza badala ya kujibu!!What's wrong with using PHP..?
swala la uchaguzi wa language ni developer choice kama inameet requirement zake sion tatizo hapo halafu kingine php ni very powerful language ambayo popular hivyo mazingira ya kulearn ni rahisi kwa developer wengiKwanini developers wengi Tanzania wanapenda kutumia PHP?
Habari wana JF!
Ukiangalia websites nyingi hasa za hapa kwetu utaona zimetengezwa kwa kutumia php kwenye server side! Je kwanini developers wengi Tanzania wanapendelea kutumia PHP wakati kuna languages nyingine nyingi tu ambazo wangeweza kutumia kama...
Python(django, flask) inatumika na makampuni makubwa kama Quora, instagram, linkedln, Mozilla, Google(Youtube), IBM
Javascript (Node Js) inatumika na Microsoft, Mozilla
Ruby (RoR) inatumika na Twitter, bloomberg
Na nyingine nyingi tu!!
JF imetengenezwa kwa php, websites zote za serikali zote zimetengenezwa kwa php n.k.
Mgunduzi wa Quora (ambaye pia alikua anafanya kazi facebook) katika moja ya interview zake alisema, kama Facebook ingekua inaanza miaka hii basi wasingetumia PHP!!
Kwanini basi developers wengi Tanzania wanapenda kutumia php na sio python(django, flask, tornado) au ruby (RoR)??
Hakuna wabunifu hapa Tanzania ndiyo sababu kuu kila mtu anataka kutengeneza apps kwa mfumo ule ule hakuna wa kubuni tofauti.
Stefano Mtangoo ivi java EE inaweza kutumika badala ya php..node js... Django...kwenye simple au complex website??
The Java EE platform is built on top of the Java SE platform. The Java EE platform provides an API and runtime environment for developing and running large-scale, multi-tiered, scalable, reliable, and secure network applications.[1]
Una maana php ni powerful kuliko python? Au una maanisha nin unaposema powerful??swala la uchaguzi wa language ni developer choice kama inameet requirement zake sion tatizo hapo halafu kingine php ni very powerful language ambayo popular hivyo mazingira ya kulearn ni rahisi kwa developer wengi
Shukran kwa jibu lako murua kabisa. Nimekupata mkuu wangu!!Soma hapa:
Kifupi ni kuwa inatoa platform kwa ajili ya application za Enterprise (sijui kiswahili chake). Unaweza kui abuse na kutengeneza website kwa kuitumia lakini ni kama kuua nzi kwa risasi. Hapa naongelea simple website. Complex website (web apps actually) kama company sites ambazo zina Intranet na some internal apps integrated, Java EE iliundwa kuzilenga hizo!
So while Java EE inaweza kufanya yale ya PHP, Django na NodeJs, haikuwa designed kuzi replace (zingine hazikuwa zimezaliwa kabisa)
Sina hakika kama nimekuelewa vyema ila nimejitahidi kuelewa na kujibu!
1. Differences between Java EE and Java SE - Your First Cup: An Introduction to the Java EE Platform
sina maana hiyo namanish php unaweza kumix with html docs wile python mpaka uweke tempt kingine python haina private keyword kingine php ni rahisi kulearn host yake ni cheapUna maana php ni powerful kuliko python? Au una maanisha nin unaposema powerful??
By design. Check this out especially hii nukuu:kingine python haina private keyword
Q: Why doesn't Python have interfaces, abstract classes and private variables?
Guido: I see two reasons:
1) Truth is, you don't really need them.
2) They are quite hard to implement because there is no type checking during compilation. Furthermore, I wasn't a huge fan of OOP. I just wanted to get a simple language and it became object-oriented only because things went that way.
There are private members in Python. Prepending a double underscore to the method in question makes it private.
Try this:
PHP:class A: def __m(): print("__m") a = A() a.__m()
This will result in
PHP:Traceback (most recent call last): File "test.py", line 5, in <module> a.__m() AttributeError: 'A' object has no attribute '__m'
Hii ni subjective.kingine php ni rahisi kulearn host yake ni cheap
PHP ni most popular hapa Bongo kwenye web development
Php haiezi kutengenezea application kama whattsap au telegram.. Sio nzuri sana katika kunandle multi-billion server requests ndo maana haitumiki hukoWhat's wrong with using PHP..?